umerogwa wewe
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 417
- 566
Mimi ukinifata hovyo hovyo lazima nikutulize.. Unajua mimi nani??
Hospital, Bank etc sinaga kupanga foleni.
Hospital, Bank etc sinaga kupanga foleni.
I OWN A FLEET.Hongera kwa kumiliki gari lililotumika kwa zaidi ya miaka kumi japani pili nikwambie tu kwamba unatakiwa uwe na busara unapodeal na crown pale double tree kuna diplomatic office shirika la umoja wa mataifa la uhamiaji huwezi kuwa na elimu ya barabarani ukasimamisha gari nje ya ofisi hizi za kibalozi mbona jeshini huwa hampaki hivyo vi passo vyenu na akitokea mwanajeshi akakwambia toa gari huwa hamuulizi alama iko wapi....sasa wewe ongea ila mwenzio ndio kalala oysterbay na vx lake liko nje siyo jeki wala siyo gari I OWN A FLEET.
Mkuu umeeleza vizuri.... kikwetu kwetu sijaona kosa lolete gari kupaki pale.... labda kwa sbb hamna pavement na hao majembe wanahurimia gari lisipate pancha....Kwanza Mods inafaa hii ihamishwe/iunganishwe.. kwenye uzi husika . Pili wewe hujui kilichotokea umebuni kwa kujidai ni mganga wa kutafsir clip...Hivi wapi imeandikwa kwamba ukijibizana na mtu aliyekuwa kiongozi unakoki silaha?
Ushauri kwa mamlaka..askali polisi wahakikiwe vyeti na waliofoji uwekwe mpango...Askali wa leo anatakiwa aende na sayansi na technolojia sio kutoa silaha hadharani. Hivi katika hali ya kawaida wewe kama unamiliki silaha unaitoa au kuitumia wakati upi. Moja pili, katika umma wa watz wapi inastahili kutoa silaha hadharani ..pale kwa malima are you mad?
Hemb nendeni zenu sijui mnatetea upuuz gani...pale kama ni makaz ya watu unawafundisha nn? watoto, raia, unadhan pale nini kimejenga kuwa ishu, malima au polisi kupiga risasi juu..
Kisheria pale anapiga mashine ile juu ili ikapige nini kule juu...dah jamani tusomeni shule ni muhimu.
katik mazingira ya kawaida askal wa namna hii hawawezi kufanya mazingira ya utendaaji kazi wa rais kuwa salama, ni kumpa hedeki tu amiri jeshi..na kumtega...labda ili MKUU WA POLISI ACHUKUE HATUA RAIS AIBARIKI..MNASABABISHA WAKUBWA WAPATE WAKATI MGUMU.
simtetei malima..ni kosa acha askal miaka hii hata mtoto mchanga ukikutana kam hajakusalimia msalimie....dogo hujambo ili akupe shikamoo au asikupe ..lkn wewe umemsalimu hiki ndio kizazi cha sasa
askali ni kama dogo malima alikuwa aombe radhi na kuomba apewe heshma yake ya zamani kuwa wzir , msomi nk..huku akiheshimu wenzie...
lkn askali sio kupiga mashine juu, acheni ujinga ..askali alikosea sana..na malima kwa upande wake..
KUHUSU majembe..hawa siwapendi na kwa nionavyo mzee magu hajafikia huko tuu atapiga marufuku, majembe sijui nani...ni wanyanyasaji..sasa unaona badla ya kudeal na wasumbufu MAJEMBE mnagombana watu wa kawaida askali vs malima. na kuacha ishu ya msingi kupotezewa...
The clip says otherwise
Achana naye huyo. Atakuwa ana fleet ya bajaji na boda.Ondoa utaahira wako na kejeli za gari lililotumika miaka 10 Japan, yaelekea unaugua kwa kupanda madaladala.
Barabarani kuna sheria zake nazo hazitafsiriwi kwa hisia. Hapo Double Tree hakuna katazo lolote la kupaki. Adhabu hizi hamzijui kwa kuwa sio maeneo yenu ndio maana umekuwa mwepesi kutingisha shanga jukwaani na maneno ya kejeli.
Polisi sio kazi yao kuwakera wananchi. Na ndio maana umeona response ile kutoka kwa umma. Tusiache hoja ya msingi tukakimbilia kwenye hisia na sijui machozi na mapovu ya polisi.
Nenda na wewe kanunue gari jipya basi CMC ndio uje kujadili kero usizojijua
Hongera kwa kumiliki gari lililotumika kwa zaidi ya miaka kumi japani pili nikwambie tu kwamba unatakiwa uwe na busara unapodeal na crown pale double tree kuna diplomatic office shirika la umoja wa mataifa la uhamiaji huwezi kuwa na elimu ya barabarani ukasimamisha gari nje ya ofisi hizi za kibalozi mbona jeshini huwa hampaki hivyo vi passo vyenu na akitokea mwanajeshi akakwambia toa gari huwa hamuulizi alama iko wapi....sasa wewe ongea ila mwenzio ndio kalala oysterbay na vx lake liko nje siyo jeki wala siyo gari I OWN A FLEET.
Watu walizoea kitwa wakubwa hata kama kavunja sheria analazisha aogopwe binafsi yule askari hakua na nia ya kuua bali kujihami na kwa upande mwingine kuwaonesha wasiojua kuwa ni hatari kumbishia mwenye silaha na kumzonga wakati akitekeleza majukumu yake nampongeza dogo angehamaki kungetomea vifoInawezekana kabisa ukawa umemzidi askari umri, kipato nakadhalika lakini tuheshimu mipaka ya kazi ya kila mmoja askari kazi yake ni kusimamia sheria zilizotungwa na bunge ,,?.
Huyu mzee amekwenda kuegesha gari sehemu isiyoruhusiwa akitumia cheo chake maagizo ma maelekezo aliyo pewa akashindwa ku comply ikapelekea watu wasiokuwa na shughuli kujaa na kuwa tayari kwa lolote....ukisikiliza maneno vizuri kwenye clip inayosambaa watu wana washutumu polisi nyie mmezidi ukimuangalia vizuri dereva wa malima aliyevaa shati kama la jeans ana pandisha hasira mpaka anajipiga makofi mkononi.
Ni dhahiri kabisa kwamba hawa watu wasiokuwa na shughuli walikuwa wako tayari kuwavamia hawa polisi angalia kwa makini clip, hawa yono kila siku wanatukamata na tunalipa faini mbona haiwi ishu huyu anamwambia polisi unajua mimi ni nani?
Polisi anaongea kwa uchungu anasema mbona nyinyi hamheshimu serikali mimi nimeapa ninamkanda wa bendera, lakini watu wasiokuwa na shughuli wanaendelea kubeza...huu ni utawala mwingine yale mambo ya unajua unaongea na nani hayapo tena nchi inaongozwa na taratibu kanuni na sheria ukikiuka ...
Utapigwa tu hope alilala oysterbay police hakuna mtu aliye juu sheria
Heri usiandike chochote kuliko kupotosha watu.We usie na matatizo mbona hamna cha maana ulichoandika
Humiliki hata Jeki Pengine Ndio sababu hujui Ushenzi na ushenzi wa Hawa majembe na Askari
Yeyote Mwenye kumiliki Gari Jijini Dsm anajua Kero za Hawa Askari
Sehemu isiyoruhusiwa ku Park inatambuliwa kwa kibao cha 'No Parking' na Dereva Hana haja ya
Kutafuta kibao cha 'Parking' anaweza ku Paki popote pasipo na Maelekezo asipaki ilimradi iwe Nje ya Barabara.
Gari ya Malima ilikuwa na Dereva ndani ya Gari kitu
Kunachoashiria ilikuwa wameegesha kwa
Muda Mfupi tu
Inawezekana kabisa ukawa umemzidi askari umri, kipato nakadhalika lakini tuheshimu mipaka ya kazi ya kila mmoja askari kazi yake ni kusimamia sheria zilizotungwa na bunge ,,?.
Huyu mzee amekwenda kuegesha gari sehemu isiyoruhusiwa akitumia cheo chake maagizo ma maelekezo aliyo pewa akashindwa ku comply ikapelekea watu wasiokuwa na shughuli kujaa na kuwa tayari kwa lolote....ukisikiliza maneno vizuri kwenye clip inayosambaa watu wana washutumu polisi nyie mmezidi ukimuangalia vizuri dereva wa malima aliyevaa shati kama la jeans ana pandisha hasira mpaka anajipiga makofi mkononi.
Ni dhahiri kabisa kwamba hawa watu wasiokuwa na shughuli walikuwa wako tayari kuwavamia hawa polisi angalia kwa makini clip, hawa yono kila siku wanatukamata na tunalipa faini mbona haiwi ishu huyu anamwambia polisi unajua mimi ni nani?
Polisi anaongea kwa uchungu anasema mbona nyinyi hamheshimu serikali mimi nimeapa ninamkanda wa bendera, lakini watu wasiokuwa na shughuli wanaendelea kubeza...huu ni utawala mwingine yale mambo ya unajua unaongea na nani hayapo tena nchi inaongozwa na taratibu kanuni na sheria ukikiuka ...
Utapigwa tu hope alilala oysterbay police hakuna mtu aliye juu sheria
Kuna siku nishuhudia askari polisi akilipua kabaruti baada ya hasira alipotukanwa na mwanafunzi. Wengi tulibaki tumeduwaa coz wanafunzi walo wengi cku hizi hupita jkt na kule matusi ni lugha ya kawaida. Sasa huyu kuitwa m*s*ng* akapanic! Yaani tukabaki tunashangaa. Leo hii mtukane polisi uone kama hufikishwi mahakamani. Mimi nafikiri curriculum ya training ya police ipitiwe, ninaomba matusi wapate wakiwa mafunzoni ili wazoee waachane na hasira za ajabu ajabu. Mbona cc tunatukanwa na hatujali?Kwanza Mods inafaa hii ihamishwe/iunganishwe.. kwenye uzi husika . Pili wewe hujui kilichotokea umebuni kwa kujidai ni mganga wa kutafsir clip...Hivi wapi imeandikwa kwamba ukijibizana na mtu aliyekuwa kiongozi unakoki silaha?
Ushauri kwa mamlaka..askali polisi wahakikiwe vyeti na waliofoji uwekwe mpango...Askali wa leo anatakiwa aende na sayansi na technolojia sio kutoa silaha hadharani. Hivi katika hali ya kawaida wewe kama unamiliki silaha unaitoa au kuitumia wakati upi. Moja pili, katika umma wa watz wapi inastahili kutoa silaha hadharani ..pale kwa malima are you mad?
Hemb nendeni zenu sijui mnatetea upuuz gani...pale kama ni makaz ya watu unawafundisha nn? watoto, raia, unadhan pale nini kimejenga kuwa ishu, malima au polisi kupiga risasi juu..
Kisheria pale anapiga mashine ile juu ili ikapige nini kule juu...dah jamani tusomeni shule ni muhimu.
katik mazingira ya kawaida askal wa namna hii hawawezi kufanya mazingira ya utendaaji kazi wa rais kuwa salama, ni kumpa hedeki tu amiri jeshi..na kumtega...labda ili MKUU WA POLISI ACHUKUE HATUA RAIS AIBARIKI..MNASABABISHA WAKUBWA WAPATE WAKATI MGUMU.
simtetei malima..ni kosa acha askal miaka hii hata mtoto mchanga ukikutana kam hajakusalimia msalimie....dogo hujambo ili akupe shikamoo au asikupe ..lkn wewe umemsalimu hiki ndio kizazi cha sasa
askali ni kama dogo malima alikuwa aombe radhi na kuomba apewe heshma yake ya zamani kuwa wzir , msomi nk..huku akiheshimu wenzie...
lkn askali sio kupiga mashine juu, acheni ujinga ..askali alikosea sana..na malima kwa upande wake..
KUHUSU majembe..hawa siwapendi na kwa nionavyo mzee magu hajafikia huko tuu atapiga marufuku, majembe sijui nani...ni wanyanyasaji..sasa unaona badla ya kudeal na wasumbufu MAJEMBE mnagombana watu wa kawaida askali vs malima. na kuacha ishu ya msingi kupotezewa...
Hivi unaelewa ulichokiandika mkuu
Mimi ni mwalimu wa hili somo kwa wahandisi wa barabara.We una matatizo makubwa sana.