Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

Nyie endeleen tu kumchambua ukitekwa na kutolewa kucha hatuna kusiitikia wala kutoa rambirambi
Kosa lake kutangaza wazi wazi kumpa support urais EL.Sasa Anashughulikiwa pole pole na Membe
 
Benki ya CRDB iko njiani kufilisi mali za mheshimiwa Kapteni John Komba kutokana na kushindwa kulipa deni . Ikiwepo shule zake kupigwa mnana.
Jumla ya deni lote ni shilingi bilioni moja za kitanzania.

Pesa Zote Kachukua Lulu Na Bila Shaka Atamsaidia Kumlipia Pengine Kwa Kuiuza Ile Nyumba Nzuri, Kubwa Na Ya Kifahari Aliyojengewa Na Komba Mbezi Kimara Ambapo Sasa Mama Yake Anaishi Pamoja Nae. Kapteni Hapa Kakamatika!
 
Hapa ndipo unapochemkaga kaka kila kitu lazima ukitwist kwenye uchadema na uccm why? Hivi CRDB nayo ni ya Chadema au?

Achana naye hajielewi huyo,ubongo wake unaakisi jina lake la MSALANI!
 
Komba yupi jamani!!! huyu huyu jamaa wa matotozi!!! kumbe ana deni kubwa hivi halafu bado anaendekeza kula raha na matotoz ya mjini..........Acha wamfilisi tu
 
Front page lead story Rais Mwema...bila shaka atakuwa tayari msituni akijiandaa kuja kupambana na 'wadeni' wake.

Watamtambua kwa kumdai mwanajeshi yule ohoooo.

Akishindwa hivyo bila shaka atawatungia nyimbo...wataimbiwa kwaya na kusahau kudai deni.

Makene,
Sijaliona tamko lako la kuwakana wale jamaa wa Tabora na Singida wanaotaka Mabilioni ya CHADEMA yahakikiwe na yaliwe kwa adabu
 
Hiyo haiwezi kutokea nipo tayari ku bet na mtu humu ndani. Labda CCM iwe imezaliwa upyaa
 
Hana impact atakifilisiwa gamba mkubwa very womenizer shit.
 
Benki ya CRDB iko njiani kufilisi mali za mheshimiwa Kapteni John Komba kutokana na kushindwa kulipa deni . Ikiwepo shule zake kupigwa mnana.

Jumla ya deni lote ni shilingi bilioni moja za kitanzania.

Kumbe aliposema ataingia msituni, alitaka kukimbia deni!

Safi sana benki yetu ya kizalendo CRDB!
 
Benki ya CRDB iko njiani kufilisi mali za mheshimiwa Kapteni John Komba kutokana na kushindwa kulipa deni . Ikiwepo shule zake kupigwa mnana.

Jumla ya deni lote ni shilingi bilioni moja za kitanzania.

dah!
najickia raha sana leo kwa habari hii
 
Back
Top Bottom