Mimi huyo 😃😃😃Aliyetoa jina la Abel kamsababishia tabu mtoto wetu 🤦♀️
Tajiri hauna baya ishi sana happy new yearMalengo yangu ni mawili tu na hua hayabadiliki,
1.Love the life you live
2.Live the life you love.
Likewise mkuu,mmiliki wa ghorofa mtarajiwa pande za Kigamboni.Tajiri hauna baya ishi sana happy new year
Hapo na ongezea na dungu kutoka UK hapo kitaani kwako kutoka kwa brother Chris LukosiLikewise mkuu,mmiliki wa ghorofa mtarajiwa pande za Kigamboni.
Hi people,
Heri ya mwaka mpya
Malengo yetu ya 2026 ni kupata mtoto wetu wa kwanza, napata mimba mwaka huu na kujifungua mwaka huu
Nachowaza ni kulea....sina experience ya kulea,sijawahi kukaa na mtoto mdogo kwa hata lisaa
Kingine nikiwaza kuchanika kei wakati wa kupush nachoka mimi
Kingine napenda utulivu,nikimpata mtoto anayelia lia sijui itakuwaje
Mambo ni mengi lakini yote kwa yote mwaka huu lengo kuu ni mtoto...nipo very excited actually
Wewe je?
Uzi bado....
View: https://youtu.be/Nm8d5ekU6Bs?si=rFwlEcjHFTpWTE8Q

Dungu ni nini mkuu?Hapo na ongezea na dungu kutoka UK hapo kitaani kwako kutoka kwa brother Chris Lukosi
Range Rover SportDungu ni nini mkuu?
Basi ulitakiwa kutoka kwenye mitandao ya kijamii, uwe bize kumpikia dikodiko mumeo ili mbegu zipate rutuba zaidi.Ndio
Utavuka inshallahKufanikiwa kiuchumi na kusimama mwenyewe independently.
Ila Sasa njia yangu mie nnayopitia ni maporomoko miinuko,Kuna mda utanishangaa
Ila Naamini ntavuka
Sio lazima mkuu, maisha hayana formulaFunga ndoa kwanza, ndipo uzae