Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
Hapa maphoto sikuyaona ila yaliongelewa, we nenda kwenye ule uzi ucheki movie nzimaNa maphoto yalikuwepo? 😹😹
Nitumie pm mahi nisafishe macho 🤣
Wengine wa umbea wa selfika nao walikuwepo kwenye uzi, wanaitana kuchochea kuni moto uendelee kuwaka 😂 😂 , mambo yalikua mengiNimuogopeeee Depal? 😹😹
Wee umenijua jana kumbe..!!
Simuogopi na mwenyewe anajua, toka selfika huko kwenye mishengesha yetu wambea tupo nao lele lelee wanavyotupiana makombola na mke mwenzie..!! 😹😹😹
😹😹😹 kwani analiwa yeye analiwa hawara ake..!!