Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

Siku hizi nachoka sana kuuza vijora, kweli natakiwa ku retire umbea..!! 😹😹😹
Acha kabisa mimi nilipitiwa usingizi 😀, nakuja kuamka sa 8 hivi nakuta mbea umeshafanya yako 😂😂

Sasa nataka nilog out kheee!! Zikashushwa Essay hizo nikaendelea kukesha 😅😀🙌
 
Acha kabisa mimi nilipitiwa usingizi 😀, nakuja kuamka sa 8 hivi nakuta mbea umeshafanya yako 😂😂

Sasa nataka nilog out kheee!! Zikashushwa Essay hizo nikaendelea kukesha 😅😀🙌
😹😹😹😹 Hao lazima niwarudishe ili nitangaze mshindi..!!

Ila huyo bwana ana kitru sio bure kajua kuwagombanisha hiyo milupo yake..!! 🤣
 
Nilivyoandika ile warning ulielewa kweli? 🤣🤣 Ni sababu ya kuita jina na(name calling) na sio wrong target. I have never miss my shot guy guyyyy.
Wewe kelele zote za nini na inaonyesha bwana hakutaki lakini mahi 😹😹😹

Huoni wenzio wameungana wanakuchora, bwana anabembeleza mkewe na soon wanasema unapewa kadi ya harusi ukaudhurie huoni km unajinonino mwenyewe..!! 😹😹😹

Ila nimecheka sana!!
Wewe bibi una hekaheka huzeeki tu..!!
 
Hivi wambea wenzangu kweli nyie wa kukosa kunishtua hata kwa simu nije nishuhudie wake wenza wakichambana?? 😹😹😹

Fake P na ShesRise_1 Niwafungulie uzi?
Mimi haya mambo vitu zangu napentraa kweli mahi zangu..!!

Kama mpo online njooni bana tulianzishe shengesha upya..!! 🤣😹😹
We nae ulikua wapi mda wote hivyo vijora unauza mpka weekend 😅😅

Mi namtaka huyo bwana nimuonje🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom