Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
Yani, acha nikalale jamani 😂tutakutetea sisy😅😅😅😅
Anagombaniwaje wakati huyo fake ni rafiki tu, ila ndiyo amecharuka kama huyo kaka ni mumewe.Codes zangu ziligonga humo humo kwa Depal na bwana anayegombaniwa huyo certified hater 😹😹😹😹
Hebu nipe, mbona sielewi elewiHao wana bifu toka kitambo aaahh huo ubuyu naujua mwanakwetu…!! 🤣
Kafiwa na baba mzaziKwahiyo Depal alifiwa na mtoto au nani??
Hapo ndo sijajua..!!
Binti mdogo bado teketeke, we bi kizee mwenzangu tulia tu, huo mnato sie wazee hatuna 😂😂Ila D humu ndani anaonekana wa moto sana anatuhiwa sana kubeba vichwa vya wenzie..!! Atakuwa mtramu huyu..!! Atupe tips anatumia nini na sie tutumie kwa wahalifu wetu..!! 😹😹😹
Marry J ndiyo nini?D Igweeeeeeeeeeeee
We demu mtundu mtundu sana!!
Au Marry J nyingi unazifukiza mpk kwenye nonino🤣😹😹😹