Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

Makosa tuyafanyayo ndani ya JF

🤣🤣 Hata nikisema msaada unao? Umeshindwa kutoa msaada kwe** *** anyway sirushi silaha zangu Baharini Mimi. Labda uendelee kuipumzisha ile🤣🤣
Polee sana naanza ku feel maumivu yako mtu akikukuna ipasavyo lazima na asipatikane wa kuziba pengo mwisho hua hivi 😢
Pole sana huenda atarudi usikate tamaašŸ˜Ž
 
Polee sana naanza ku feel maumivu yako mtu akikukuna ipasavyo lazima na asipatikane wa kuziba pengo mwisho hua hivi 😢
Pole sana huenda atarudi usikate tamaašŸ˜Ž
Guy guy maumivu 🤣 Mimi ground yangu ilikua simple sana, ila ulivyo turn mpaka imekuakuchukua bwana kweli umewahi sana🤣🤣🤣🤣 mjinga akiwah seat mwerevu hashtuki
 
Kuna mtu ana kichaa cha mapenzi anasema kachukuliwa bwana sijui mume 😁😁 alooooo
🤣🤣Nguvu unazotumia kudefend na kuspread wallah mbona ndio nilikupa 🤣🤣🤣 unamgeukia muuza silaha🤣🤣🤣
 
Guy guy maumivu 🤣 Mimi ground yangu ilikua simple sana, ila ulivyo turn mpaka imekuakuchukua bwana kweli umewahi sana🤣🤣🤣🤣 mjinga akiwah seat mwerevu hashtuki
Pole meza Panadol dear
Mimi ni mjinga ila wewe ni mjinga pro
Pole atarudi usijali sawa halafu acha kucheka kwa keyboard huku huko uliko unabubujikwa machozi 😢
 
sema nini mwanetu,, let it be inatoshaa usibishane tena, ukiweza mpe tu ushindi yaishe,,, hiyo njia alotumia kukufananisha ndo hiyo hiyo atakayo itumia kujua sio wewe vingine jiongeze,, au unapenda ugomvi?
Huyu mpuuzi siwezi kumuacha na ushindi simpi but now nimechagua kumbembeleza hope atakaa sawa šŸ¤”
 
Pole meza Panadol dear
Mimi ni mjinga ila wewe ni mjinga pro
Pole atarudi usijali sawa halafu acha kucheka kwa keyboard huku huko uliko unabubujikwa machozi 😢
🤣 Kwa hiyo I'd? 🤣🤣 Wallah ningebubujikwa machozi Lucas akasome kama ingekua ile I'd .ningejua sasa nimekuza mwana haswa🤣🤣
 
Huyu mpuuzi siwezi kumuacha na ushindi simpi but now nimechagua kumbembeleza hope atakaa sawa šŸ¤”
haina haja inatosha, kwenye ule uzi umesema kakufananisha na D alf wew sio huyo mtu kwanini uendelee kubembeleza ili ueleweke?, mi sioni kama kuna faida ya kuchochea ugomvi wakati unajua anae zungumziwa sio wew,, ujue mda mwingine ukimya unasaidia,,

alf dada nimechoka kuandika essešŸ˜… kiufupi sipendi kuona watu wanagombana,, unaweza kushangaa huko mwishoni mnakua marafiki wakubwa🤣
 
haina haja inatosha, kwenye ule uzi umesema kakufananisha na D alf wew sio huyo mtu kwanini uendelee kubembeleza ili ueleweke?, mi sioni kama kuna faida ya kuchochea ugomvi wakati unajua anae zungumziwa sio wew,, ujue mda mwingine ukimya unasaidia,,

alf dada nimechoka kuandika essešŸ˜… maishakiufupi sipendi kuona watu wanagombana,, unaweza kushangaa huko mwishoni mnakua marafiki wakubwa🤣
Kama umechoka kuandika kaa pembeni mdogo wangu ulishawahi kuitwa malaya tena PM na kutishiwa maisha ? Huyu akiacwa atazoea
 
Kama umechoka kuandika kaa pembeni mdogo wangu ulishawahi kuitwa malaya tena PM na kutishiwa maisha ? Huyu akiacwa atazoea
mbona umenipush kwa nguvu hivyošŸ˜…šŸ˜…,, sasa kutishiwa maisha PM ndo uogope kiasi hicho jamni,,, nikukumbushe kuwa anaetishiwa maisha ni D na sio S hata mkikutana barabarani hana cha kukufanya maana target yake ni D,,

mi nimeshauri kwa kusema 'inatosha", maana ushaeleza sio wew, vingine vibaki kwa muhusika aamini au kuto kuamini
 
Back
Top Bottom