Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Do not flatter yourself.

Your bulb is not bright enouh to reach my sensibilities.


Thibitisha Mungu yupo



I have touched your sensibilities that's why you are furious when I talk about the reward of an A+ your prof, confer you freely ---free of charge 😁😁😁 only for your God denial.

If not that you said, then debunk!
 
I have touched your sensibilities that's why you are furious when I talk about the reward of an A+ your prof, confer you freely ---free of charge 😁😁😁 only for your God denial.

If not that you said, then debunk!
My reflex actions are furious to your half a birdbrain.

Thibitisha Mungu yupo.
 
My reflex actions are furious to your half a birdbrain.

Thibitisha Mungu yupo.



Yours is the "full bird brain"-- why compare with my human brain??

Mungu yupo na ndiye aliyekupa hilo domo lako chafu, Yule prof, amekuharibu bure A+ nje ya chumba cha mtihani??, hata huoni aibu kutamka jambo hilo hadharani bila kujua watu waliomo humu ndani wanaufahamu wa kiasi gani juu ya huo UWONGO WAKO MKUBWA, shame on you.

Halafu unakuja hapa kudai eti, Mungu hayupo, aping the Marxist theory of communism 😁😁😁
 
Najua vizuri nachokiongea, nimezunguka nchi nyingi sana duniani, nchi zenye shida ni hizi zilizokalia dini, huyo mungu wenu hawaokoi tu? nchi nyingine zote amani watu wanaishi kwa raha sio kama bongo mmekaa kula vumbi tu na kuomba badala ya kufanya kazi.



Umezunguka nchi nyingi sawa, lakini hapa ndugu yangu tunazungumzia juu ya kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu na siyo dini, hao unaowaona kuwa wameendelea na wana raha na starehe, mfano Marekani hujaona katika sarafu yao ya dollar wameandika maneno:- " In god we trust" ?? au pamoja na kutembea nchi zote America hujafika??😁😁
 
Yours is the "full bird brain"-- why compare with my human brain??

Mungu yupo na ndiye aliyekupa hilo domo lako chafu, Yule prof, amekuharibu bure A+ nje ya chumba cha mtihani??, hata huoni aibu kutamka jambo hilo hadharani bila kujua watu waliomo humu ndani wanaufahamu wa kiasi gani juu ya huo UWONGO WAKO MKUBWA, shame on you.

Halafu unakuja hapa kudai eti, Mungu hayupo, aping the Marxist theory of communism

Hiyo A+ yangu ambayo nilishaisahau mimi inaonekana imekuharibu akili na inakusumbua sana kwa muda mrefu sana.

Huwezi kuielewa, hujasoma Marekani.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Najua vizuri nachokiongea, nimezunguka nchi nyingi sana duniani, nchi zenye shida ni hizi zilizokalia dini, huyo mungu wenu hawaokoi tu? nchi nyingine zote amani watu wanaishi kwa raha sio kama bongo mmekaa kula vumbi tu na kuomba badala ya kufanya kazi.



Umezunguka nchi nyingi sawa, lakini hapa ndugu yangu tunazungumzia juu ya kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu na siyo dini, hao unaowaona kuwa wameendelea na wana raha na starehe, mfano Marekani hujaona katika sarafu yao ya dollar wameandika maneno:- " In god we trust" ?? au pamoja na kutembea nchi zote America hujafika??😁😁
Thibitisha Mungu yupo.




Kanusha pia uwongo wako kwamba ulizawadiwa A+ na prof, wako wa falsafa nje ya chumba cha mtihani kwa kukanusha uwepo wa Mungu, kama uliteleza ili kujipatia umaarufu na sifa kwa watu kwamba kiranga ni "very brainy" sema tu ili tuende mbele na safari.

How can an object be on this very earth with no purpose or reasons ??, if no purposes then the whole creation is non sensible.
 
Huu ndio mghafala uliowakumbuka nyinyi.

Allah anasema "Hakika mali na watoto ni mtihani kwenu". Au kama alivyosema.

Kuna mitihani mingine tunapewa sisi wanaume kupitia wale tunao wamiliki.

Mtoto mdogo hapo anakuwa mtihani kwa mzazi wake au mlezi ,sababu mtoto mdogo chini ya baleghe haandikiwi chochote katika madhambi wala malipo.

Madhambi na malipo ni kwa wenye akili timamu. Mathalani wewe ikithibitika ni chizi na hali ya kuwa umeshabaleghe kalamu huwa inasimama kwa muda.

Bro,unaweza kumsaidia mwenzako swali nililo muuliza ?

Nilimuuliza hivi "Muda ulianza lini ?"

Hajanijibu swali hili,sasa kama unaweza kumsaidia itakuwa vizuri au kama mnaweza kumpelekea mkubwa wenu katika huu ubazazi awasaidie itakuw vyema zaidi.

Nasubiri majibu.


"INNAA AMUWALAKUM WA AULADAKUM FITNA"

Hujaelewa hili andiko hata kidogo nakupa nafasi ya pili soma vizuri maelezo yako hapo juu hayaendani sawa na hilo andiko
 
Bro kuwa serious aisee,tunachoshana kwa mambo madogo sana,usiwe mvivu wa kufikiri aisee.

Wewe ndio maana nakuona muongo na hauko serious sababu unafikiri kwa mlengo mmoja.

Wewe unapo lalamika kuhusu mabalaa na matatizo inabidi ujue kwamba kuna sababu,tiba na kinyume chake yote hayo yapo.

Kadhalika hujaonyesha kosa alilolifanya Mola katika uumbaji na hauta weza.

Lazima ujiulize mbona kuna magonjwa na kuna tiba. Hapa ndipo jibu la swali lako lilipo

Bro nakudai ujue swali langu kuhusu MUDA.

Hakuna mtu anayejua muda nini kila mtu anaweza kutafsiri muda kulingana anavyouona yeye mwenyewe kutokana na mazingira yake

Usipoteze kutafuta maana ya muda hutopata jibu n'goo
 
Eti, mtoto kazaliwa na CP, eti iwe ni sababu ya kumkanusha Mungu!!, Wazazi wafanye makosa na wazae mtoto mwenye deformity halafu alaumiwe Mungu??, kama hiyo ni point kwanini basi Mungu asiwepo kwa sababu watoto wengi sana wanazaliwa bila CP.

Wewe huoni kuwa hiyo hoja yako ni 'self contradictory "??😁😁😁


Hapo ndio nimekuonyeshea kama mungu hayupo

CP haisababishwi na mungu,kama mungu angakuwepo watoto wachanga wasingezaliwa na CP hata kidogo wangazaliwa wazima wote
 
Kuwepo kwa matatizo ya akili duniani ndio kuna zidi onyesha kama mungu hayupo

Mungu mwenye hekima na busara hawezi kuumba ulimwengu halafu akawapa aliowaumba wengine awape akili nzuri na wengine akawapa matatizo ya akili

Hiyo hekima na busara kufanya fair katika aliowaumba iko wapi? mfano mzuri mtoto mchanga anazaliwa tu ana Cerebral Palsy amemkosea nini mungu mpaka amuumbe na CP
Hekima unaijua kweli mkuu?

Hebu jiulize watu ambao wamezaliwa wazima kabisa na hawana tatizo ni kipi walichokifanya kumfurahisha Mungu hadi wakazaliwa wazima bila tatizo?lazima tujiulize hili.
 
Wanaosema Mungu yupo hawajibu maswali kama haya.

Kwa sababu hawawezi.

Kwa sababu Mungu hayupo.
Hayo maswali hata ukijibiwa mwishoni utasema hakuna Mungu.

Je,unaweza kutueleza ni vp hakuna Mungu?
 
Ukitaka kuamini dini imevuruga watu sanasana Afrika pitia comments, yaani watu wamedata balaa, point alizosema mleta mada ziko sawa kabisa, huyu mungu mnayesema ni perfect turns out yuko ovyo sana, akikasirika tu anaua kila mtu, wengine kwa maji, wengine kwa moto. Anakaa kusema yeye katengeneza kila kitu kizuri, sasa vibaya vyote vilitokea wapi?

Alafu ati yeye ni mjuaji wa vyote alafu anakaa kukuwekea mtego wa mti ambao anajua utakula, yaani vitabu vya dini vimejaa contradiction kibao mtu ukiangalia unabaki kucheka tu, wabongo hii generation inabidi wafe wote wanaokuja wakitupilia dini mbali wakasoma labda nchi itaendelea la si hivyo mtaishia kuomba tu hela zishuke. Ovyo kabisa
Ingekuwa unayoyasema ni kweli basi waarabu ndio wangekuwa nyuma kimaendeleo kuliko waafrika.
 
Hakuna mtu anayejua muda nini kila mtu anaweza kutafsiri muda kulingana anavyouona yeye mwenyewe kutokana na mazingira yake

Usipoteze kutafuta maana ya muda hutopata jibu n'goo
Kwa mwendo huu ninao wapeleka lazima mnyoshe maelezo. Sema wewe na wenzako ndio hamjui muda ni nini ?

Halafu nakukumbusha tu sijakuuliza muda ni nini,japokuwa muda unafahamika ni nini,nimekuuliza Muda ulianza lini ?
 
Hiyo A+ yangu ambayo nilishaisahau mimi inaonekana imekuharibu akili na inakusumbua sana kwa muda mrefu sana.

Huwezi kuielewa, hujasoma Marekani.

Thibitisha Mungu yupo.



Kweli umesoma marekani mimi nimesoma kijijini tena na elimu yangu ni ndogo, wewe unayo elimu kubwa kuliko mimi " an A+ credit philosophy graduant from say, Havard or wherever,

Sasa huko Marekani wanatoa credits nje ya vyumba vya mitihani??, si bora uje huku kijijini tu uonekane hujasoma!!, what good is it to go to abroad to get ignorance in stead of education??.

Kiranga kauli yako kwamba ulipewa A+ katika falsafa nje ya chumba cha mtihani ina mashaka sana, wewe itengue kwanza halafu ndipo hoja yako ya kutokuwepo Mungu labda itakuwa na mashiko wala usihofu kwa sababu sisi watu "we are always prone to shortcomings".

Unapokuwa muongo na mbaya zaidi uongo huo ukauunganisha na hoja yako ya kutokuwepo mungu hapo ndipo "credibility" yako juu ya unachosema "in that case" inatia mashaka "on how you are!!".

Muongo anazaa uongo, na mkweli anazaa ukweli na ili tusikuone muongo kanusha kwamba ilikuwa ni uongo uliposema kwamba ulizawadiwa ile A+, kumbuka kwamba ulinijibu mimi nilipokuuliza juu ya hiyo imani yako ya kukanusha uwepo wa mungu hapahapa jf.

Unasema Mungu hayupo kutokana na calamities, disasters, na disparities hapa duniani, sasa umba dunia yako isiyokuwa na hayo mambo, ingawa hapo pia kuna falsafa kubwa mno kwa akili yako kutambua.

Umejifungia kisimani kama chura huku ukitamba kuwa "hakuna bahari kubwa kuliko maji ya kisima"😁😁, you confine yourself your understanding while blaming none!!😁😁😁
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================
Nakuona Ajenti wa shetani upo kazini utawapata wajinga kama wewe
 
Huyo ndugu aliyeandika makosa hiyo habari chafu dhidi ya Mungu, na nimuulize swali kwamba:- Mungu kumuumba yeye hadi ameweza "kumkosoa" alivyomkosoa je, Mungu alikosea kumuumba au amepatia kumuumba??. Kama huyo ndugu yupo na ajibu hilo swali.
Ukweli umekuwa habari chafu
 
Ukweli umekuwa habari chafu



Hiyo ni habari chafu, utamkosoaje yule aliyekuumba??, wewe hata huwezi kuumba "single celled creature".

Badala ya kutafuta hekima ya uumbaji na utendaji wa mambo hapa duniani "the grand cosmic context", wewe unapinga na kumkosoa aliyekupa hiyo akili 🤔🤔😫😫!!

Vipi ndugu??!!
 
Back
Top Bottom