Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Unaelewa kwamba hujaelewa hoja yangu?

Nakuuliza kwa nini Mungu kaumba ulimwengu ambao ugonjwa wa akili unawezekana kuwepo?

Unaniambia ugonjwa wa akili una dawa.

Unaelewa hujajibu swali nililouliza, na swali ulilojibu sijauliza?

Bro kuwa serious aisee,tunachoshana kwa mambo madogo sana,usiwe mvivu wa kufikiri aisee.

Wewe ndio maana nakuona muongo na hauko serious sababu unafikiri kwa mlengo mmoja.

Wewe unapo lalamika kuhusu mabalaa na matatizo inabidi ujue kwamba kuna sababu,tiba na kinyume chake yote hayo yapo.

Kadhalika hujaonyesha kosa alilolifanya Mola katika uumbaji na hauta weza.

Lazima ujiulize mbona kuna magonjwa na kuna tiba. Hapa ndipo jibu la swali lako lilipo

Bro nakudai ujue swali langu kuhusu MUDA.
 
Kuwepo kwa matatizo ya akili duniani ndio kuna zidi onyesha kama mungu hayupo

Mungu mwenye hekima na busara hawezi kuumba ulimwengu halafu akawapa aliowaumba wengine awape akili nzuri na wengine akawapa matatizo ya akili

Hiyo hekima na busara kufanya fair katika aliowaumba iko wapi? mfano mzuri mtoto mchanga anazaliwa tu ana Cerebral Palsy amemkosea nini mungu mpaka amuumbe na CP
Naona mnazidi kupuyanga. Mbona hujiulizi kwanini kuna magonjwa na kwanini kuna tiba ?

Halafu mbona hamthibitishi kutokuwepo kwake,mnabambia hoja ?

Embu leo mthibitishe kutokuwepo kwake jwa hoja yakinifu,na nitawaelekeza ni namna gani unatakiwa kujenga kwa kuvunja hoja nyingine.

Karibuni sana.
 
Kuwepo kwa matatizo ya akili duniani ndio kuna zidi onyesha kama mungu hayupo

Mungu mwenye hekima na busara hawezi kuumba ulimwengu halafu akawapa aliowaumba wengine awape akili nzuri na wengine akawapa matatizo ya akili

Hiyo hekima na busara kufanya fair katika aliowaumba iko wapi? mfano mzuri mtoto mchanga anazaliwa tu ana Cerebral Palsy amemkosea nini mungu mpaka amuumbe na CP

Mitihani kwa Mola si mpaka uwe umemkosea,hapa sahihisha ufahamu wako.
 
Wanaosema Mungu yupo hawajibu maswali kama haya.

Kwa sababu hawawezi.

Kwa sababu Mungu hayupo.
Unakumbuka kuna siku niliweka masharti kadhaa tulijadili jambo la Uwepo wa Mola muumba,ukapita wima ?

Halafu nina kudai maswali mengi sana.

Mimi kuna muda huwa nakuuliza maswali sio kwamba natarajia unijibu la hasha,sababu najua huwezi kunijibu. Ila lengo langu ni kuwafikishia habari wale wasemaji mengine waone madhaifu yenu.

Hili swali la kuhusu MUDA ulianza lini najua huna huwezo wa kulijibu hata wakubwa zako ukiwapa swali hawawezi kulijibu.

Nafanya hivi kuwaonyesha wasomaji ya kuwa nyinyi ni waongo na mnakariri hoja ndio maana maswali na hoja zenu ni hizi hizi,yaani mkitegwa kidogo mnapoteana mazima.

Sasa swali la kuhusu MUDA nimekuuliza zaidi ya masaa matatu nyuma mpaka muda huu hujalijibu.
 
Watakuambia mungu ametoa mtihani,Sasa najiuliza kitoto kimezaliwa leo unampa mtihani unampima kitu gani?

Lengo la mtihani ni kujua kama mtu ameelewa kwa yale aliyofundishwa

Sasa kitoto kichanga kina uelewa gani mpaka ukipe mtihani?

Huu ndio mghafala uliowakumbuka nyinyi.

Allah anasema "Hakika mali na watoto ni mtihani kwenu". Au kama alivyosema.

Kuna mitihani mingine tunapewa sisi wanaume kupitia wale tunao wamiliki.

Mtoto mdogo hapo anakuwa mtihani kwa mzazi wake au mlezi ,sababu mtoto mdogo chini ya baleghe haandikiwi chochote katika madhambi wala malipo.

Madhambi na malipo ni kwa wenye akili timamu. Mathalani wewe ikithibitika ni chizi na hali ya kuwa umeshabaleghe kalamu huwa inasimama kwa muda.

Bro,unaweza kumsaidia mwenzako swali nililo muuliza ?

Nilimuuliza hivi "Muda ulianza lini ?"

Hajanijibu swali hili,sasa kama unaweza kumsaidia itakuwa vizuri au kama mnaweza kumpelekea mkubwa wenu katika huu ubazazi awasaidie itakuw vyema zaidi.

Nasubiri majibu.
 
Bro kuwa serious aisee,tunachoshana kwa mambo madogo sana,usiwe mvivu wa kufikiri aisee.

Wewe ndio maana nakuona muongo na hauko serious sababu unafikiri kwa mlengo mmoja.

Wewe unapo lalamika kuhusu mabalaa na matatizo inabidi ujue kwamba kuna sababu,tiba na kinyume chake yote hayo yapo.

Kadhalika hujaonyesha kosa alilolifanya Mola katika uumbaji na hauta weza.

Lazima ujiulize mbona kuna magonjwa na kuna tiba. Hapa ndipo jibu la swali lako lilipo

Bro nakudai ujue swali langu kuhusu MUDA.
Unaelewa kwamba hujajibu swali langu bado?

Kwa nini huyo mnayemsema Mungu kaumba ulimwengu ambaounaruhusu mabaya?

Kinga ya kuzuia tsunami ni nini?
 
Hapa natakiwa kucheka bro....!
Ukiwa huna utashina upevu wa kuelewa matatizo, utacheka sana tu.

Hata nyumba ikiwa inaungua moto, utacheka tu.

Utaona kichekesho.

Kwa sababu ya uzuzu.
 
Turudi katika mada bro,nilikuuliza MUDA ulianza lini ?

Hujanijibu swali hili.
 
Usipojibu hilo swali nitakuja nikuonyeshe ni jinsi gani ya kuthibitisha jambo.
 
Unakumbuka kuna siku niliweka masharti kadhaa tulijadili jambo la Uwepo wa Mola muumba,ukapita wima ?

Wewe una mamlaka gani wa kuweka masharti? Masharti gani? yana mantiki gani? Yako wapi? Kwa niniunayatajasasa?

Halafu nina kudai maswali mengi sana.

Hujamalizia kuelezea ya masharti usharukia maswali mengi sana?

Una matatizo ya akili wewe?

Mimi kuna muda huwa nakuuliza maswali sio kwamba natarajia unijibu la hasha,sababu najua huwezi kunijibu. Ila lengo langu ni kuwafikishia habari wale wasemaji mengine waone madhaifu yenu.

Mimi nikishindwa kukujibu swalilolote hilo si la ajabu.

Unanielewa?

Katika ulimwengu ambao haujaumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, watu wengi tu tutakuwa hatujui majibu ya maswali mengi tu.

Hivyo, nikikwambia sijui jibu la swal lolote, si kitu cha ajabu.

Cha ajabu ni pale, wewe unayesema ulimwengu huu umeumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, halafu ukashindwa kujibu swali lolote.

Hapo utakuwa unatupacontradiction, ulimwengu ulioumbwa na Mungu huyo unatakiwakuwa na watu wenye ukamilifu wa elimu kw amaswali yote wanayoweza kuulizana.

Kutokuwa na majibu kwa baadhi ya maswali ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Hili swali la kuhusu MUDA ulianza lini najua huna huwezo wa kulijibu hata wakubwa zako ukiwapa swali hawawezi kulijibu.

Nikishindwa kulijibu swalihili, huo ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo asingekuwa mchoyo hivyo kuninyimajibu, kwa sababu uwezo wa kunipa jibu anao, upendo wa kunipa jibu anao, ujuziwa kunipa jibu anao, kwa nini aninyime jibu?

Mungu wako mchoyo?

Mtu yeyote kuwa na swali lolote asilo na jibu lake ni ishara kwamba huyo Mungu hayupo. Inabidi tutafute majibu wenyewe.

Nafanya hivi kuwaonyesha wasomaji ya kuwa nyinyi ni waongo na mnakariri hoja ndio maana maswali na hoja zenu ni hizi hizi,yaani mkitegwa kidogo mnapoteana mazima.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Sasa swali la kuhusu MUDA nimekuuliza zaidi ya masaa matatu nyuma mpaka muda huu hujalijibu.

Nikikwambia sijui jibu, hilo halithibitishi Mungu yupo.

Linathibitisha Mungu hayupo.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Usinioneshe jinsi ya kuthibitisha jambo.
Thibitisha Mungu yupo.
Ndio nataka nikufundishe sasa,ili hata wewe ukiambiwe uthibitishe kukuwepo kwa Mola uthibitishe kweli,sio unasema "Mola hayupo kwa sababu hayupo". Hii inakuwa ni kuikosea elimu na watu na watu wake.
 
Turudi katika mada bro,nilikuuliza MUDA ulianza lini ?

Hujanijibu swali hili.
Nikikwambia sijui, hilo linathibitishaje Mungu yupo?

Mimi nataka uthibitishe Mungu yupo.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Ndio nataka nikufundishe sasa,ili hata wewe ukiambiwe uthibitishe kukuwepo kwa Mola uthibitishe kweli,sio unasema "Mola hayupo kwa sababu hayupo". Hii inakuwa ni kuikosea elimu na watu na watu wake.
Donot flatter yourself.

Do not make me curse you out in words you cannot pronounce.

Do not patronize and condescend me.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Wewe una mamlaka gani wa kuweka masharti? Masharti gani? yana mantiki gani? Yako wapi? Kwa niniunayatajasasa?

Hujamalizia kuelezea ya masharti usharukia maswali mengi sana?

Una matatizo ya akili wewe?

Mimi nikishindwa kukujibu swalilolote hilo si la ajabu.

Unanielewa?

Katika ulimwengu ambao haujaumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, watu wengi tu tutakuwa hatujui majibu ya maswali mengi tu.

Hivyo, nikikwambia sijui jibu la swal lolote, si kitu cha ajabu.

Cha ajabu ni pale, wewe unayesema ulimwengu huu umeumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, halafu ukashindwa kujibu swali lolote.

Hapo utakuwa unatupacontradiction, ulimwengu ulioumbwa na Mungu huyo unatakiwakuwa na watu wenye ukamilifu wa elimu kw amaswali yote wanayoweza kuulizana.

Kutokuwa na majibu kwa baadhi ya maswali ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Nikishindwa kulijibu swalihili, huo ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo asingekuwa mchoyo hivyo kuninyimajibu, kwa sababu uwezo wa kunipa jibu anao, upendo wa kunipa jibu anao, ujuziwa kunipa jibu anao, kwa nini aninyime jibu?

Mungu wako mchoyo?

Mtu yeyote kuwa na swali lolote asilo na jibu lake ni ishara kwamba huyo Mungu hayupo. Inabidi tutafute majibu wenyewe.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Nikikwambia sijui jibu, hilo halithibitishi Mungu yupo.

Linathibitisha Mungu hayupo.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Bro kiukweli sina mamlaka,ila kaa ujue na uwakumbushe wenzio ukweli huu,Elimu haina mwenyewe bali elimu ina watu wake.

Niliwahi kuododosa kidogo elimu ya majadiliano kama wewe huna elimu hiyo,inabidi ukubali kosa kwamba unaingia sehemi ambayo hukupaswa uingie mpaka uwe na elimu busika.

Bro suala la masharti umuhimu wake uko wazi sana na maarufu kiasi aambacho ikawa si lazima kielezea maana ya masharti.

Kaka mkubwa leo bila masharti usingekuwepo jf,bila masharti mambo mengi yasingeenda sawa.

Ina maana hujui umuhimu wa masharti mpaka leo ?
 
Suala la masharti nilishalielezea kitambo sana na nikayaweka masharti hayo,ila hapa narudia kwa faida yangu na wengine.

Sijarukia maswali mengi bali nimekukumbusha juu ya maswali ninayo kudai,sasa hapa utaona kati yangu na wewe nani baradhuri.
 
Hana majibu huyo, huyo Mungu enyewe miaka kibao hajawahi hata kutoa tuu sauti huko mawinguni [emoji848]
 
Bro kiukweli sina mamlaka,ila kaa ujue na uwakumbushe wenzio ukweli huu,Elimu haina mwenyewe bali elimu ina watu wake.

Niliwahi kuododosa kidogo elimu ya majadiliano kama wewe huna elimu hiyo,inabidi ukubali kosa kwamba unaingia sehemi ambayo hukupaswa uingie mpaka uwe na elimu busika.

Bro suala la masharti umuhimu wake uko wazi sana na maarufu kiasi aambacho ikawa si lazima kielezea maana ya masharti.

Kaka mkubwa leo bila masharti usingekuwepo jf,bila masharti mambo mengi yasingeenda sawa.

Ina maana hujui umuhimu wa masharti mpaka leo ?
Wewe ndiye hujuikujadiliana.

Nimekuuliza masharti gani? Hujayataja.

Hata waganga wanataja masharti.

Wewe una masharti gani yasiyojulikana?

Unataka nifuate masharti ambayo hutaki kuyataja?

Una akili wewe?
 
Suala la masharti nilishalielezea kitambo sana na nikayaweka masharti hayo,ila hapa narudia kwa faida yangu na wengine.

Sijarukia maswali mengi bali nimekukumbusha juu ya maswali ninayo kudai,sasa hapa utaona kati yangu na wewe nani baradhuri.
Wewe ni pungueni ngumbaru.

Kwa sababu umepewa platform yenye hypertext links na numbered posts in threads, ungeweza kunionesha, masharti niliyoyasema haya hapa, ukanipalink.

Hujafanya hivyo.

Kwa sababu ni punguani ngumbaru usiyeheshimu specificity.

Unatapatapa tu all over the place unajiharishia.

Ndiyo maana hatuwezi kuelewana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom