Kwani waarabu wameendelea?
Hujaenda uarabuni wewe, ingia Dubai, Abu Dhabi au Qatar utaona rich families ni zile ambazo zina relationship na mfalme, Saudi Arabia sijafika sitopaongelea ila najua uarabuni wote walewale tu, wanafanikiwa kwa kukandamiza wenzao, kama ndivyo mungu anavyowatuma basi huyo mungu kilaza, ukiona unaongozana na mwanamke ambaye siyo mke wako wala dada yako unafungwa.
Alafu Dubai asilimia kubwa ya pesa inayoingia pale ni foreign investment, watu toka US, Europe na Asia wamejazana pale, zunguka mwenyewe uone sio unakaa kuguess.