Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Wewe una mamlaka gani wa kuweka masharti? Masharti gani? yana mantiki gani? Yako wapi? Kwa niniunayatajasasa?

Hujamalizia kuelezea ya masharti usharukia maswali mengi sana?

Una matatizo ya akili wewe?

Mimi nikishindwa kukujibu swalilolote hilo si la ajabu.

Unanielewa?

Katika ulimwengu ambao haujaumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, watu wengi tu tutakuwa hatujui majibu ya maswali mengi tu.

Hivyo, nikikwambia sijui jibu la swal lolote, si kitu cha ajabu.

Cha ajabu ni pale, wewe unayesema ulimwengu huu umeumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, halafu ukashindwa kujibu swali lolote.

Hapo utakuwa unatupacontradiction, ulimwengu ulioumbwa na Mungu huyo unatakiwakuwa na watu wenye ukamilifu wa elimu kw amaswali yote wanayoweza kuulizana.

Kutokuwa na majibu kwa baadhi ya maswali ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Nikishindwa kulijibu swalihili, huo ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo asingekuwa mchoyo hivyo kuninyimajibu, kwa sababu uwezo wa kunipa jibu anao, upendo wa kunipa jibu anao, ujuziwa kunipa jibu anao, kwa nini aninyime jibu?

Mungu wako mchoyo?

Mtu yeyote kuwa na swali lolote asilo na jibu lake ni ishara kwamba huyo Mungu hayupo. Inabidi tutafute majibu wenyewe.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Nikikwambia sijui jibu, hilo halithibitishi Mungu yupo.

Linathibitisha Mungu hayupo.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Hahaha,sicheki kwa mazuri bro,bali nafurahishwa na majabu ya elimu. Sijaiona kesho bro na sina uwezo huo,ila sababu nawajua nyinyi nilijua ya kuwa swali hili huwezi kulijibu,japokuwa umezunguka sana ila ukweli ni kwamba umekiri kiaina ya kwamba huna jibu la swali hilo.

Hapa nakupa hongera. Sasa unatakiwa ukiri wazi kila mtu aone ya kuwa swali la muda liko nje ya uwezo wako.

Kuna mwanachuoni fulani alipata kusema "Kusema sijui juu ya jambo usilolijua ni nusu ya elimu". Bro sijawahi kuona ajabu kwa mtu yeyote kushindwa kujibu swali kwani ni jambo la kawaida,ninacho wastaajabia nyie ni kujitutumua kwa mambo msiyoyaweza.

Ila hapa mpaka akili ziwakae sawa.
 
Wewe ndiye hujuikujadiliana.

Nimekuuliza masharti gani? Hujayataja.

Hata waganga wanataja masharti.

Wewe una masharti gani yasiyojulikana?

Unataka nifuate masharti ambayo hutaki kuyataja?

Una akili wewe?
Naona unaelekea kiulaini,kumbe huwa unajitoa tu ufahamu. Nakukimbusha tu ulipotoka,ulitokea hana "Wewe una mamlaka gani mpaka uweke masharti...". Au kama ulivyosema.

Na hapa muda huu unataka uyaone masharti niliyoyaweka. Utaelewa tu mwisho wa siku.

Masharti niliyaweka kitambo sana na watu waliyaona. Labda niyaweke tena ili twende sawa.
 
Wewe ndiye hujuikujadiliana.

Nimekuuliza masharti gani? Hujayataja.

Hata waganga wanataja masharti.

Wewe una masharti gani yasiyojulikana?

Unataka nifuate masharti ambayo hutaki kuyataja?

Una akili wewe?
Huyo ni mfuasi wa dini mojawapo za kikoloni, hawezi kukuelewa, keshakariiri vitabu vya akina saidina Abubakari, wazee wa biashara
 
Hahaha,sicheki kwa mazuri bro,bali nafurahishwa na majabu ya elimu. Sijaiona kesho bro na sina uwezo huo,ila sababu nawajua nyinyi nilijua ya kuwa swali hili huwezi kulijibu,japokuwa umezunguka sana ila ukweli ni kwamba umekiri kiaina ya kwamba huna jibu la swali hilo.

Hapa nakupa hongera. Sasa unatakiwa ukiri wazi kila mtu aone ya kuwa swali la muda liko nje ya uwezo wako.

Kuna mwanachuoni fulani alipata kusema "Kusema sijui juu ya jambo usilolijua ni nusu ya elimu". Bro sijawahi kuona ajabu kwa mtu yeyote kushindwa kujibu swali kwani ni jambo la kawaida,ninacho wastaajabia nyie ni kujitutumua kwa mambo msiyoyaweza.

Ila hapa mpaka akili ziwakae sawa.
Swali lako ni irrelevant.

Nikiweza au nisipoweza kulijibu, halithibitishi Mungu yupo.

Pia hata nikianza kujadikiana nawe habari za muda, huna ubongo wa kuelewa.

Kwa sababu unatakiwa kuelewa Einsteins Relativity.

Na wewe Kiingereza hujui.

Na Relativity haijaandikwa Kiswahili.

Sasa nitajipa kazi ya kukufundisha wewe guluguja kupiga gitaa.

Sitaki ujinga.
 
Huyo ni mfuasi wa dini mojawapo za kikoloni, hawezi kukuelewa, keshakariiri vitabu vya akina saidina Abubakari, wazee wa biashara
Bro leta hoja acha kulalamika. Mwenzako huko ameshakiri kwamba hajui MUDA ulianza lini.
 
Leo mnanipa raha sana,mnakimbia maswali na kulalama kwa mbali. Ila mnajazana ujinga kinoma noma.
Swali gani nimelikimbia? Umeuliza swali kuhusu muda, nimekuuliza muda ni nini? Muda wa wapi? kwa mujibu wa nani?

Hujajibu.

Huelewi muda ni nini, huelewi Einstein's Relativity.

Nitaanzaje kukuelezea kuhusu muda?
 
Swali lako ni irrelevant.

Nikiweza au nisipoweza kulijibu, halithibitishi Mungu yupo.

Pia hata nikianza kujadikiana nawe habari za muda, huna ubongo wa kuelewa.

Kwa sababu unatakiwa kuelewa Einsteins Relativity.

Na wewe Kiingereza hujui.

Na Relativity haijaandikwa Kiswahili.

Sasa nitajipa kazi ya kukufundisha wewe guluguja kupiga gitaa.

Sitaki ujinga.
Kaka mpaka nimekuuliza swali ambalo huwezi kulijibu lazima ukubali kwamba nimekuzidi katika hili.

Usiende mbali leta hoja tuzijadili.
 
Kaka mpaka nimekuuliza swali ambalo huwezi kulijibu lazima ukubali kwamba nimekuzidi katika hili.

Usiende mbali leta hoja tuzijadili.
Swali gani siwezi kulijibu?

Do you even know how to read?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Swali gani nimelikimbia? Umeuliza swali kuhusu muda, nimekuuliza muda ni nini? Muda wa wapi? kwa mujibu wa nani?

Hujajibu.

Huelewi muda ni nini, huelewi Einstein's Relativity.

Nitaanzaje kukuelezea kuhusu muda?
Hivi mtu akikuuliza umwambie MUDA ulianza lini ? Na wewe ukamuuliza muda nini ?

Hivi unaleta picha gani bro ?

Sasa nakufafanulia kinachojitokeza katika swali lako hilo baada ya wewe kuulizwa MUDA ulianza lini.

Hapa kw maneno hako mwenyewe umethibitisha ya kuwa MUDA huujui ndio unataka nikujibu ili unijibu MUDA ulianza,sasa jambo hili haliwezekani katika ulimwengu wa kielimu.

Ndio maana ukaamua kukubali mwenyewe kiaina ya kwamba muda huujui.
 
Swali gani siwezi kulijibu?

Do you even know how to read?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Swali la muda huwezi kulijibu ndio maana mpaka muda huu hujalijibu.

Bro uwe unatunza kumbukumbu tusichoshane kwa mambo ya kitoto sampuli hii.

Nimekuuliza mara ngapi kuhusu suala la Muda hujalijibu ?
 
Hivi mtu akikuuliza umwambie MUDA ulianza lini ? Na wewe ukamuuliza muda nini ?

Hivi unaleta picha gani bro ?

Sasa nakufafanulia kinachojitokeza katika swali lako hilo baada ya wewe kuulizwa MUDA ulianza lini.

Hapa kw maneno hako mwenyewe umethibitisha ya kuwa MUDA huujui ndio unataka nikujibu ili unijibu MUDA ulianza,sasa jambo hili haliwezekani katika ulimwengu wa kielimu.

Ndio maana ukaamua kukubali mwenyewe kiaina ya kwamba muda huujui.

Wewe maskini hata hujuikwamba si kila anayekuuliza swali hajuijibu la swali hilo.

Huelewi "Socratic method" ni kitu gani.

Ndiyo maana hatuwezi kuelewana.

Thibitisha Mungu yupo, acha longolongo.
 
Swali la muda huwezi kulijibu ndio maana mpaka muda huu hujalijibu.

Bro uwe unatunza kumbukumbu tusichoshane kwa mambo ya kitoto sampuli hii.

Nimekuuliza mara ngapi kuhusu suala la Muda hujalijibu ?
Unajua vipi kwamba swali la muda siwezi kulijibu wakati naanza kukujibu kwa kukuuliza utoe definition ya muda, wewe mwenyewe umeshindwa ku define kitu unachouliza.

Maana yake, wewe mwenyewe unauliza muda ulianza lini, wakati hujui muda ni nini!

Sasa nikianza kukwambia kwamba swali lako hali make sense, na hivyohalijibiki, kwa sababu hata wewe mwenyewe hujui kuuliza swali, kwa sababu hujui muda ni nini, utasemaje?

Thibitisha Mungu yupo.
 
Wewe maskini hata hujuikwamba si kila anayekuuliza swali hajuijibu la swali hilo.

Huelewi "Socratic method" ni kitu gani.

Ndiyo maana hatuwezi kuelewana.

Thibitisha Mungu yupo, acha longolongo.
Hilo nalijua ndio na mimi ndio nilicho kifanya kwako juu ya swali la muda.

Ila swali lako limethibitisha wazi ya kuwa hujui lolote kuhusu muda sababu hujalijibuswalo langu la MUDA.

Bro mimi ukinitajia Socrates nakuona mjinga wa mwisho sababu Socrates haingii kwa wale wasomi waliotukuka na ukitaka nikuthibitishie hili nitakuthibitishia katika mada pweke.
 
Hilo nalijua ndio na mimi ndio nilicho kifanya kwako juu ya swali la muda.

Ila swali lako limethibitisha wazi ya kuwa hujui lolote kuhusu muda sababu hujalijibuswalo langu la MUDA.

Bro mimi ukinitajia Socrates nakuona mjinga wa mwisho sababu Socrates haingii kwa wale wasomi waliotukuka na ukitaka nikuthibitishie hili nitakuthibitishia katika mada pweke.
Thibitisha Mungu yupo.
 
Unajua vipi kwamba swali la muda siwezi kulijibu wakati naanza kukujibu kwa kukuuliza utoe definition ya muda, wewe mwenyewe umeshindwa ku define kitu unachouliza.

Maana yake, wewe mwenyewe unauliza muda ulianza lini, wakati hujui muda ni nini!

Sasa nikianza kukwambia kwamba swali lako hali make sense, na hivyohalijibiki, kwa sababu hata wewe mwenyewe hujui kuuliza swali, kwa sababu hujui muda ni nini, utasemaje?

Thibitisha Mungu yupo.
Daah,kaka mkubwa usiruke swali,jibu swali nililokuuliza. Muda ulianza lini ?

Nakukumbusha tu,swali langu hilo linaubusiano mkubwa sana na uwepo wa Mola muumba na ninajua nini ninakilenga.

Sababu wewe ueshindwa kujibu swali dogo hilo na kuleta nahau za kukwepa swali,nataka niache kujadiliana na wewe,nianze kukifundisha.

Naanzia hapa...!
 
Akili za kibidamu hazijawahi kumuelewa na haziwezi kumuelewa, fikiria ni mambo mangapi ya kidunia ambayo yanakuchanganya na huyaelewi! Sasa vipi wataka kumuelewa MUUMBA WAKO kwa akili zako ndogo za kibinadamu!
 
Daah,kaka mkubwa usiruke swali,jibu swali nililokuuliza. Muda ulianza lini ?

Nakukumbusha tu,swali langu hilo linaubusiano mkubwa sana na uwepo wa Mola muumba na ninajua nini ninakilenga.

Sababu wewe ueshindwa kujibu swali dogo hilo na kuleta nahau za kukwepa swali,nataka niache kujadiliana na wewe,nianze kukifundisha.

Naanzia hapa...!
Muda ni nini? Muda ulianza lini wapi?

Unaelewa kwamba muda si absolute na ni relative?

Unaelewa Relativity ya Einstein?

Unaelewa muda ni nini?

Unaweza ku define muda ni nini ili ninapokujibu muda ulianza lini nijue unachouliza ni kipi?

Kama unaweza, muda ni nini, nijibu.

Kama huwezi, unawezaje kuuliza muda ulianza lini wakati hujui muda ni nini?
 
Back
Top Bottom