Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Wapi?

Thibitisha.

Kusema siyo lazima useme kwa mdomo hata matendo nayo pia husema (body language).

Jinsi Unavyompinga Mungu ni ishara kuwa Yeye yupo kwa sababu Kuku hawezi hata siku moja kupinga uwepo au kutouwepo kwa Mungu,

It is only human being who is capable of denying or confessing the existence of God just out of his/her "intelligence" which he/she did not create by his/ her own WILL for him/herself.

Alas, Baada ya kupata hiyo intelligence KIDUCHU tu, basi mtu kawa "a very big disputant" badala ya kuwa mwenye Shukrani kwa Yule aliyempa hiyo akili ya kujitambua yeye ni nani !! 🤔🤔.

Tena anapinga katika kadamnasi ya watu zaidi ya 400,000 !!, labda awe na udhuru fulani hapo Mungu atamsamehe, lakini vinginevyo You will pay the price of your denial publicly, however, God knows the best.
 
Ukitaka kuamini dini imevuruga watu sanasana Afrika pitia comments, yaani watu wamedata balaa, point alizosema mleta mada ziko sawa kabisa, huyu mungu mnayesema ni perfect turns out yuko ovyo sana, akikasirika tu anaua kila mtu, wengine kwa maji, wengine kwa moto. Anakaa kusema yeye katengeneza kila kitu kizuri, sasa vibaya vyote vilitokea wapi?

Alafu ati yeye ni mjuaji wa vyote alafu anakaa kukuwekea mtego wa mti ambao anajua utakula, yaani vitabu vya dini vimejaa contradiction kibao mtu ukiangalia unabaki kucheka tu, wabongo hii generation inabidi wafe wote wanaokuja wakitupilia dini mbali wakasoma labda nchi itaendelea la si hivyo mtaishia kuomba tu hela zishuke. Ovyo kabisa
 
Kuwepo kwa matatizo ya akili duniani ndio kuna zidi onyesha kama mungu hayupo

Mungu mwenye hekima na busara hawezi kuumba ulimwengu halafu akawapa aliowaumba wengine awape akili nzuri na wengine akawapa matatizo ya akili

Hiyo hekima na busara kufanya fair katika aliowaumba iko wapi? mfano mzuri mtoto mchanga anazaliwa tu ana Cerebral Palsy amemkosea nini mungu mpaka amuumbe na CP

Eti, mtoto kazaliwa na CP, eti iwe ni sababu ya kumkanusha Mungu!!, Wazazi wafanye makosa na wazae mtoto mwenye deformity halafu alaumiwe Mungu??, kama hiyo ni point kwanini basi Mungu asiwepo kwa sababu watoto wengi sana wanazaliwa bila CP.

Wewe huoni kuwa hiyo hoja yako ni 'self contradictory "??😁😁😁
 
Ukitaka kuamini dini imevuruga watu sanasana Afrika pitia comments, yaani watu wamedata balaa, point alizosema mleta mada ziko sawa kabisa, huyu mungu mnayesema ni perfect turns out yuko ovyo sana, akikasirika tu anaua kila mtu, wengine kwa maji, wengine kwa moto. Anakaa kusema yeye katengeneza kila kitu kizuri, sasa vibaya vyote vilitokea wapi?

Alafu ati yeye ni mjuaji wa vyote alafu anakaa kukuwekea mtego wa mti ambao anajua utakula, yaani vitabu vya dini vimejaa contradiction kibao mtu ukiangalia unabaki kucheka tu, wabongo hii generation inabidi wafe wote wanaokuja wakitupilia dini mbali wakasoma labda nchi itaendelea la si hivyo mtaishia kuomba tu hela zishuke. Ovyo kabisa

Wewe ni mzima kweli??, unajua unachoongea??🤔🤔
 
Huyo Mungu ametoamtihani kama hajui majibu, wakati yeye ndiye anajua kila kitu.

Sasa anatoa mtihaniiliiweje wakati yeye anajua kila kitu na anaweza kufanya anavyotaka?

Anajitekenya mwenyewe halafu anacheka mwenyewe?

Unadhani Mungu ni kama yule mwalimu wako wa falsafa aliyekupa zawadi ya A+ nje ya chumba cha mtihani??!!😁😁

Madhali Mungu kakuleta hapa duniani bila ya wewe kuwa na hiyari ni lazima ufuate masharti Yake ama sivyo jinyonge.

Tii masharti yake yaani Muabudu Yeye kwa faida yako ya hapa duniani na akhera, mfano fanya kazi ili upate ujira wako kwa manufaa yako na watoto wako na kwa manufaa ya taifa lako.
 
Kusema siyo lazima useme kwa mdomo hata matendo nayo pia husema (body language)..

Wapi?

Hujajibu. Hujanionesha wapi. You are being an imbecilic douche bag right now.

.
Jinsi Unavyompinga Mungu ni ishara kuwa Yeye yupo kwa sababu Kuku hawezi hata siku moja kupinga uwepo au kutouwepo kwa Mungu,.

This is an interesting combination of a priori fallacy, a logical non sequitur and a deus ex machina.

Kama mimi kupinga Mungu kuwepo ni ishara Mungu yupo, wewe kupinga Mungu kutokuwepo ni ishara Mungu yupo.

Stupid.

.
It is only human being who is capable of denying or confessing the existence of God just out of his/her "intelligence" which he/she did not create by his/ her own WILL for him/herself..

Logical non sequitur. The fact that humans did not create their intelligence has nothing to do with the proof of the existence of God.

If God does not exist, it does not matter how humans became intelligent.

God will still not exist.

Whether human intelligence was gained through a probabilistic process or quantum fluctuations.

You are introducing completely irrelevant issues in the discussion, this shows your lack of grasp of what is the essential issue at hand.

.
Alas, Baada ya kupata hiyo intelligence KIDUCHU tu, basi mtu kawa "a very big disputant" badala ya kuwa mwenye Shukrani kwa Yule aliyempa hiyo akili ya kujitambua yeye ni nani !! 🤔🤔..

Sipendi kuwa mtovu wa fadhila, kama kweli Mungu yupo.

Ila, sitaki kumshukuru Mungu ambaye hayupo. Huo utakuwa ni ujinga.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

.
Tena anapinga katika kadamnasi ya watu zaidi ya 400,000 !!, labda awe na udhuru fulani hapo Mungu atamsamehe, lakini vinginevyo You will pay the price of your denial publicly, however, God knows the best.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Unadhani Mungu ni kama yule mwalimu wako wa falsafa aliyekupa zawadi ya A+ nje ya chumba cha mtihani??!!😁😁

Madhali Mungu kakuleta hapa duniani bila ya wewe kuwa na hiyari ni lazima ufuate masharti Yake ama sivyo jinyonge.

Tii masharti yake yaani Muabudu Yeye kwa faida yako ya hapa duniani na akhera, mfano fanya kazi ili upate ujira wako kwa manufaa yako na watoto wako na kwa manufaa ya taifa lako.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Uthibitishiwe mara ngapi??.

Wewe mwenyewe na upinzani wako ni uthibitisho tosha kuwa Mungu yupo!!, kwa nini tuandikie mate ilhali wino upo??.
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================

UMESAHAU MOJA, AMEKUWA MUUNGWANA KUKUWEKA MPAKA SASA UPO HAI, UNA AKILI, UNA UWEZO WA KUMDHIHAKI KWA KIWANGO HIKI
 
Uthibitishiwe mara ngapi??.

Wewe mwenyewe na upinzani wako ni uthibitisho tosha kuwa Mungu yupo!!, kwa nini tuandikie mate ilhali wino upo??.
Hhahahahaah.

Eti mimi upinzani wangu ni uthibitisho kuwa Mungu yupo.

Kama hivyo, basi na wewe upinzani wako kwangu ni uthibitisho tosha kwamba Mungu hayupo.

Nyambaff.
 
Wewe ni mzima kweli??, unajua unachoongea??🤔🤔

Najua vizuri nachokiongea, nimezunguka nchi nyingi sana duniani, nchi zenye shida ni hizi zilizokalia dini, huyo mungu wenu hawaokoi tu? nchi nyingine zote amani watu wanaishi kwa raha sio kama bongo mmekaa kula vumbi tu na kuomba badala ya kufanya kazi.
 
Wapi?

Hujajibu. Hujanionesha wapi. You are being an imbecilic douche bag right now.

.

This is an interesting combination of a priori fallacy, a logical non sequitur and a deus ex machina.

Kama mimi kupinga Mungu kuwepo ni ishara Mungu yupo, wewe kupinga Mungu kutokuwepo ni ishara Mungu yupo.

Stupid.

.

Logical non sequitur. The fact that humans did not create their intelligence has nothing to do with the proof of the existence of God.

If God does not exist, it does not matter how humans became intelligent.

God will still not exist.

Whether human intelligence was gained through a probabilistic process or quantum fluctuations.

You are introducing completely irrelevant issues in the discussion, this shows your lack of grasp of what is the essential issue at hand.

.

Sipendi kuwa mtovu wa fadhila, kama kweli Mungu yupo.

Ila, sitaki kumshukuru Mungu ambaye hayupo. Huo utakuwa ni ujinga.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Huo mdomo wako unaotoa "shits" kama "shit hole" umeuumba wewe??.🤔🤔

Mimi ni mwanaume, ebu Kiranga rafiki yangu niambie wewe ni jinsia ipi??
 
Huo mdomo wako unaotoa "shits" kama "shit hole" umeuumba wewe??.🤔🤔

Mimi ni mwanaume, ebu Kiranga rafiki yangu niambie wewe ni jinsia ipi??
Hujathibitisha Mungu yupo.

Unaleta "logical non sequitur" tu.

Nipe mama yako nilale naye atakuhadithia mimi ni jinsia gani.
 
Hhahahahaah.

Eti mimi upinzani wangu ni uthibitisho kuwa Mungu yupo.

Kama hivyo, basi na wewe upinzani wako kwangu ni uthibitisho tosha kwamba Mungu hayupo.

Nyambaff.

Kuku au Mbuzi hawezi kujadili uwepo au kutokuwepo kwa Mungu ni nafsi yenye intelligence to inaweza kufanya hilo jambo, who then created the intelligence?? Is it probability??
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Unaleta "logical non equitur" tu.

Nipe mama yako nilale naye atakuhadithia mimi ni jinsia gani.

Nimejua kuwa Wewe ni mwanaume sasa, jibu swali hili sasa iweje mwanaume mzima upewe A+ ya falsafa na prof, wa kiume nje ya chumba cha mtihani??, ungekuwa ni mwanamke nisingekuwa na mashaka.😁😁😁.

Jibu hilo swali ukitambua kuwa siku zote hakuna chakula cha bure!!🤣🤣🤣🤣
 
Kuku au Mbuzi hawezi kujadili uwepo au kutokuwepo kwa Mungu ni nafsi yenye intelligence to inaweza kufanya hilo jambo, who then created the intelligence?? Is it probability??
Kuku na Mbuzi hawawezi kujadili uwepo wa Mungu kwa sababu Mungu hayupo.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, kuku, mbuzi na wewe wote mngekuwa na uwezo wa akili mmoja.

Mungu huyo asingefanya kitendo kilichokosa haki cha kuumba viumbe wengine hawana akili ya kujadili uwepo wake, wengine wana akili ya kujadili uwepo wake.

Tofauti ya akili kati ya viumbe inaonesha Mungu wako hayupo.

Haioneshi Mungu wako yupo.

Umeelewa hilo somo?
 
Wewe huwezi kumpangia Mungu afanye lipi !! kama jinsi ulivyoshindwa kumpangia wewe uwe na jinsia ya kiume ndivyo ilivyo alivyopanga mpango wake dunia iwe hivyo, kama hutaki umba dunia yako na uweke viumbe wote wa aina moja wenye uniformity tuone itakuaje!!!😁😁😁

That would be a sher embecillity world of yours😫😫
 
3 words.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Wewe ni bingwa sana wa kutukana na ndiyo maana nimegundua sababu ya A+ falsafa "uliyozawadiwa" na prof wako ni kwa ajili hiyo. Halafu kwanini unakuwa mkali hivyo kwa kitu ulichisema wewe mwenyewa??😁😁, kanusha basi kama hujasema??

Sorry bro, for touching your sensibilities.

Do not flatter yourself.

Your bulb is not bright enouh to reach my sensibilities.

Thibitisha Mungu yupo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom