MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,510
hahahaa unakurupuka tena.. je utasema mungu amekosea kukuumba hivyoNani kakurupuka?
hahahaa unakurupuka tena.. je utasema mungu amekosea kukuumba hivyoNani kakurupuka?
Duh!wewe kweli Mwalla.hahahaa unakurupuka tena.. je utasema mungu amekosea kukuumba hivyo
Bado hoja ya msingi haijapatiwa ufumbuzi.
Hata ukisema anapendelea,bado nauliza ni kwa lipi walilofanya hao wengine hadi awapendelee? Maana kupendelea kuna sababu hauwezi kupendelea bila ya kuwa na sababu,kama haujui kwanini anapendelea basi utakuwa unazusha kusema anapendelea.
Mbona haueleweki,umetoka kusema Mungu anaumba kwa upendeleo mara sasa hivi tena hana majibu kwanini anaumba watu wengine walemavu!!!Niulize mm sasa kwanini kichanga kinazaliwa na CP au mtu kwanini anzaliwa na ulemavu
Maana hilo swali mungu wako hana majibu
Kaka mkubwa sijapata munasaba wa hizi picha na wewe ni quote. Nipe faida katika hili.
Kaka tuliza akili. Unaweza kumuuliza mtoto kuhusu muda akakueleza au mmbwa ?Muda kila mtu anauona anavyoujua mwenyewe mfano mbwa anaona muda anavyoujua yeye au mtoto wa miaka 2 anaujua muda anavyouona mwenyewe kila kitu kinaona muda kwa angle yake
Sasa muda gani unaozungumzi wewe?
America nimefika, na hiyo ni kwa sababu ya politics tu, ukizunguka US hukutani na watu wanakaa kuongelea mungu mungu kila kitu mungu, labda ukizunguka streets ambazo wamejaa watu weusi ndiyo utasikia story za mungu, hata US sehemu zinazoongoka umaskini zimejaa ndiyo unasikia watu wanataja mungu, ila pita kama Sillicon Valley kama utasikia mtu anapoteza muda kuongelea mungu.
Mungu hayupo, ni story tu zilikuwepo toka zamani watu mkazibeba kama zilivyo, hivi ukisoma kitabu cha dini huoni kinajipinga chenyewe kila wakati? Yaani paragraph hii inasema 1+1=2 inayofuata inasema 1+1=3. Alafu watu mkiulizwa mnakaa kusema god works in mysterious ways, huyo mungu ni stupid kiasi hicho?
Bro mada ni makosa 10 ya Mola. Hayo ya kutokuwepo kwake ni matokeo ya maoni ya watu.Ndugu yangu hivi unaelewa vyema mada iliyopo?? Mada iliyopo ni je Mungu yupo??.
Unasema:- "ukizunguka Marekani hukutani na watu wakizungumza juu Mungu labda katika streets za watu weusi"
Hapo hujakanusha kwamba Mungu hayupo ila umeunga mkono kwa kutaja watu weusi kwamba nao wanakubali kuwa yupo na kwa watu weupe hujaonesha wapi walipopinga uwepo wa Mungu isipokuwa wao hawana muda tu wa kumjadili Mungu.
Unasema;- " ukisoma kitabu cha dini huoni kinajipinga chenyewe kila wakati"
Hapo hujafafanua ni kitabu kipi cha Mungu, kwani kuna dini nyingi na vitabu vingi.
Hatuwezi kuwepo hapa duniani without any purpose and there must be a creator of the grand scheme of all those disciplinary phenomena which are going on in the world. Wewe mwenyewe kumkanusha Mungu akili hiyo umeipata wapi??, Mbuzi anaweza kumkanusha Mungu??![]()
Kaka mkubwa hawa wanaojidai kumkana Mola hawakuwahi kuthibitisha kutokuwepo kwake,ndio maana hata uwezo wa kujibiaswali hawana wanalialia.Ndugu yangu hivi unaelewa vyema mada iliyopo?? Mada iliyopo ni je Mungu yupo??.
Unasema:- "ukizunguka Marekani hukutani na watu wakizungumza juu Mungu labda katika streets za watu weusi"
Hapo hujakanusha kwamba Mungu hayupo ila umeunga mkono kwa kutaja watu weusi kwamba nao wanakubali kuwa yupo na kwa watu weupe hujaonesha wapi walipopinga uwepo wa Mungu isipokuwa wao hawana muda tu wa kumjadili Mungu.
Unasema;- " ukisoma kitabu cha dini huoni kinajipinga chenyewe kila wakati"
Hapo hujafafanua ni kitabu kipi cha Mungu, kwani kuna dini nyingi na vitabu vingi.
Hatuwezi kuwepo hapa duniani without any purpose and there must be a creator of the grand scheme of all those disciplinary phenomena which are going on in the world. Wewe mwenyewe kumkanusha Mungu akili hiyo umeipata wapi??, Mbuzi anaweza kumkanusha Mungu??![]()
Duuuuh !We hanithi uliyejaa laana acha kujiona keki.
Hapo ndio nimekuonyeshea kama mungu hayupo
CP haisababishwi na mungu,kama mungu angakuwepo watoto wachanga wasingezaliwa na CP hata kidogo wangazaliwa wazima wote
ha ha haaHapo nimetania tu. Kikubwa ni kwamba hakuna Mungu na hakujawahi kuwa na Mungu na hakutakuja kuwe na Mungu.
Ishi tu vizuri na watu wenzako huku ukijua huyo anaeitwa Mungu aliumbwa na wanadamu kwenye mind zao.
HAKUWEZEKANI KUWE NA MUNGU MSHENZI NAMNA HIYO
wa bongo wengi hatupendi ku think deep " mtoa mada ni critical thinker aiseeSafi sanaa...sasa watu wajibu maswali.hayo kutokana na vifungu vyao....jamaa umeuliza sanaa
Ah ah ah ah gadaf tuu aliweza.badili jangwa sasa yy kawapeleka ardh ya watu mpk leo wanauwana??
Huu ukweli uwafikie popote walipo.Kila jambo lina mipaka yake
Bro kuna kupatia katika kufikiri na kinyume chake.wa bongo wengi hatupendi ku think deep " mtoa mada ni critical thinker aisee
MM MWENYEWE NIMESHANGAA KWA KWELIDuh! We kweli mtambo! Nimesoma tu herufi kubwa!
Thibitisha Mungu yupo.Kweli umesoma marekani mimi nimesoma kijijini tena na elimu yangu ni ndogo, wewe unayo elimu kubwa kuliko mimi " an A+ credit philosophy graduant from say, Havard or wherever,
Sasa huko Marekani wanatoa credits nje ya vyumba vya mitihani??, si bora uje huku kijijini tu uonekane hujasoma!!, what good is it to go to abroad to get ignorance in stead of education??.
Kiranga kauli yako kwamba ulipewa A+ katika falsafa nje ya chumba cha mtihani ina mashaka sana, wewe itengue kwanza halafu ndipo hoja yako ya kutokuwepo Mungu labda itakuwa na mashiko wala usihofu kwa sababu sisi watu "we are always prone to shortcomings".
Unapokuwa muongo na mbaya zaidi uongo huo ukauunganisha na hoja yako ya kutokuwepo mungu hapo ndipo "credibility" yako juu ya unachosema "in that case" inatia mashaka "on how you are!!".
Muongo anazaa uongo, na mkweli anazaa ukweli na ili tusikuone muongo kanusha kwamba ilikuwa ni uongo uliposema kwamba ulizawadiwa ile A+, kumbuka kwamba ulinijibu mimi nilipokuuliza juu ya hiyo imani yako ya kukanusha uwepo wa mungu hapahapa jf.
Unasema Mungu hayupo kutokana na calamities, disasters, na disparities hapa duniani, sasa umba dunia yako isiyokuwa na hayo mambo, ingawa hapo pia kuna falsafa kubwa mno kwa akili yako kutambua.
Umejifungia kisimani kama chura huku ukitamba kuwa "hakuna bahari kubwa kuliko maji ya kisima", you confine yourself your understanding while blaming none!!
![]()