Unaweza kuthibitisha Adamu alikuwepo?Basi tueleze Adamu alitokawapi.vituvyote tuvionavyo navisiyo onekana vilitokawapi?
Genesis ni hadithi zimetungwa na Wayahudi tu.@Kieanga, una amini in Genesis ??...... ila, nipe jibu kama tuna share Imani moja !..... kama sivyo, sitahitaji jibu !!
Nimekwambia uthibitishe unachoamini,kama huna chochote unachoamini sema sina ninachoamini,basi ni rahisi tu kiasi hicho.Unaweza kuthibitisha naamini?
Ndiyo.Unajua kuna tofauti kati ya "uongo" na "uongo kwako"?
Why are you shifting goals?
Ni uzushi katika upande gani? Maana kuna maoni ya wataalamu mbalimbali kuhusu hivyo vitabu yenye kuhusiana na taaluma zao.Nakubali kwa asilimia zote biblia is just as illusion thing hadi kuraan vyote ni uzushi tup
1.Kipi kimekufanya uanze kusema nina ninachoamini?Nimekwambia uthibitishe unachoamini,kama huna chochote unachoamini sema sina ninachoamini,basi ni rahisi tu kiasi hicho.
Tofauti ni nini?Ndiyo.
Ni uzushi kwa sababu vitabu vinajipinga vyenyewe.Ni uzushi katika upande gani? Maana kuna maoni ya wataalamu mbalimbali kuhusu hivyo vitabu yenye kuhusiana na taaluma zao.
Sasa wewe ukitumbia ni uzushi tu kijumla jumla hivyo utakuwa umewadharau hata hao wataalamu wenye taaluma zao.
Hakuna anayeamini kitu huku anajua kuwa hichi ninachokiamini ni uongo.1.Kipi kimekufanya uanze kusema nina ninachoamini?
2. Kwa nini habari ya ninachoamini iwe na umuhimuikiwa naweza kuamini chochote, cha uongo na cha kweli?
3. Nikiwa siwezi kuthibitisha ninachoamini, hilo linathibitishaje Mungu yupo?
Mimi nakwambia, ukiwa Dar, kuifuatia barabara ya Kilwa, kwenda kusini, si njia ya mojakwa moja kwenda kwenye Mlima Kilimanjaro.
Wewe unasema hiyo ndiyo njia ya moja kwa moja.
Nakwambia thibitisha, huwezi.
Kisha unaniuliza, nithibitishe kama kutoka Dar kwenda Kigoma ndiyo njia ya moja kwamojakwenda kuliko Mlima Kilimanjaro.
Swalilako ni la kipuuzi.
Sijasemanaweza kuthibitisha hilo, kwa nini unaniuliza swali la kuthibitisha kitu ambacho sijasema naweza kuthibitisha?
Sijasema imani ni ukweli unaoweza kuthibitishwa, kwa nini unanitaka nithibitishe?
Wewe unayesema Mungu unayemuamini ni wa kweli, una wajibu wa kumthibitisha yupo kweli.
Unaweza kuthibitisha Mungu wako unayemuamini yupo kweli?
Sijasema kuna Mungu wa Wakatoliki wala Sijasema kuwa mimi binafsi naamini kuna Miungu wengi, Laa! Bali nimekwambia mtu A anaweza akaamini kuna Mungu na kumwabudu kwa namna fulani ambayo yeye anaona ndo sahihi; halafu mtu B nae akaamini MwenyeziMungu ni mmoja vilevile lakini namna ya kumwabudu ikipingana na ile ya mwenzake tayari watakuwa kila mmoja anaona kama mwenzie anakosea na atatafsiri kuwa anaabudu Mungu mwingineKwenye Post yako nimejifunza yafuatayo
1.kuna mungu wa wakatoliki
2.kuna mungu wa waislam
Kifupi tuaweza kusema mungu wako wengi na wanapokua wengi jina hubadilika kutoka kwenye mungu kwenda kwenye miungu
Swali je ni mungu gani kati ya hao tajwa hapo juu aliyeleta yale mafuriko kwa ajili ya kumkomoa mgiriki?
Haujajibu swali,nimeuliza ni uzushi kwa upande gani? Lipi ndiyo la uzushi humo?Ni uzushi kwa sababu vitabu vinajipinga vyenyewe.
Hapa unaambiwa Mungu ana ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote, mtakatifu sana.
Pale unaambiwa Mungu ana wivu kama Mwanamke wa Kindengereko aliyeambiwa anatafutiwa mke mdogo!
Pale unaambiw aMungu kakasirika kaua wanyama na watu karibu wote, wengine hata hawana hatia.
Kule unaambiwa Mungu ana upendeleo kichizi, kachagua watu fulani wawe taifa lake maalum.
Uongo na ujinga mwanzo mwisho.
Labda hujui kusoma.Ni uzushi kwa sababu Mungu huyo hayupo.Haujajibu swali,nimeuliza ni uzushi kwa upande gani? Lipi ndiyo la uzushi humo?
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.
2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.
3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.
4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!
5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?
6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?
7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?
8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?
9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.
10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?
TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!
===================
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?Huyo ndugu aliyeandika makosa hiyo habari chafu dhidi ya Mungu, na nimuulize swali kwamba:- Mungu kumuumba yeye hadi ameweza "kumkosoa" alivyomkosoa je, Mungu alikosea kumuumba au amepatia kumuumba??. Kama huyo ndugu yupo na ajibu hilo swali.
Hivi unajua kuwa hivyo vitabu kuna mambo mengi yameandikwa humo? Sasa wewe ukisema tu kiujumla uzushi,hatuwezi kuelewa ni yapi ni ya uzushi kwenye maelezo yaliyojaa humo. Maelezo yote kwenye hivyo vitabu ni uzushi kwamba hakuna hata jambo moja la kweli au baadhi ndiyo uzushi?Labda hujui kusoma.Ni uzushi kwa sababu Mungu huyo hayupo.
Angekuwepo, habari za kuwepo kwake zisingepingana zenyewe.
Hakuna anayeamini kitu huku anajua kuwa hichi ninachokiamini ni uongo.
Thibitisha kitu chochote unachoamini.
Mbona nimeshataja hapo juu habari za Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuwa na wivu kama mke wa Kindengereko aliyeambiwa analetewa mke wa pili?Hivi unajua kuwa hivyo vitabu kuna mambo mengi yameandikwa humo? Sasa wewe ukisema tu kiujumla uzushi,hatuwezi kuelewa ni yapi ni ya uzushi kwenye maelezo yaliyojaa humo. Maelezo yote kwenye hivyo vitabu ni uzushi kwamba hakuna au baadhi ndiyo uzushi?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Nishakujibu kuwa siamini Mungu kwa sababu nina uthibitisho,na uliniuliza kama siwezi kuthibitisha nikakujibu wazi tu kuwa ndio siwezi ila ajabu bado unaendelea kuuliza swali hilo hilo!!! Na ndiyo maana nikakuomba uthibitishe wewe jambo unaloamini lolote lile.Kuamini ni nini?
Unajuaje kwamba hakuna anayeamini kitu huku anajua kuwa anachoamini ni uongo? Unaingia kwenye mawazo ya kila mtu na kuchunguza hilo?
Kuamini ni kamaswichi ya taa, on/off ? Hakuna ngazi fulani ya shaka shaka?
Kwa niniunanilazimisha nithibitishe ninachoamini wakati kwangu kuamini sikitu muhimu na wala si lazima kiwe kweli hivyo hata kama kikishindikana kuthibitika si ajabu, kwa sababu si lazima kiweze kuthibitika, kwa sababu si lazima kiwe kweli?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?