Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

hahahahah mkuu mzawa098 umeongea busara sana. Tufungukeni hapa na tuache woga na unafiki, Mungu pia anapenda watu wawazi na jasiri kuhoji. inaonesha ukomavu wa imani siyo ndiyo mzeee kila kitu ndiyo mzeeee acheni hizoooo... thiiiiiiiiiiink and argue critically

Kama ndo huyu Mungu aliumba hizi law zote za physics basi kwa aliyoyafanya sidhani kama ana mind tukijiuliza. Ye mwenyewe atakua anasubiri lini tutajiuliza? Maana alitupa free will na ndio kazi yake sasa.
 
Nawashangaa watu wanaotokwa mapovu huku na wengine kuanza kuhukumu! kimsingi Mjumbe kauliza maswali yenye kuleta changamoto na yenye uhitaji wa kutafakati kwa kina, msipende kukariri mambo, wakati mwingine upeni ubongo kutafakari! Yakupasa uwe ni mtu wa ku-reasoning na sio mtu wa kupokea poke tu! Vitabu hivyo vyote mnavyo-cite vililetwa na mzungu na tukakaririshwa na tukaamini, Imani tu ndio inatuponya... mwingine huku nae akasema ''Vyote vitabadilika lakini ujinga na upumbavu wa Mtanzania utabakia pale pale'' kwa upande mwingine nakubaliana nae!

Kuhoji sio dhambi...Wakati mwingine huwa mimi najiwazia peke yangu na huwa nakosa majibu na kupiga kimya! huwa nami najiuliza mengi sana, huwa najiuliza hivi, kama Mungu anasema yeye ni Mungu wa viumbe vyote, tena wa Amani, Huruma na vyote vizuri mvijuavyo ninyi ambavyo anajiita, je kwa nini anawaacha watu wake waendele kufa kwa njaa, vita na magonjwa? huruma yake hapo iko wapi?

Uwezo wangu wa kufikiri huwa unaishia pale kwenye ule mstari usemao ''MAWAZO YA MUNGU SI SAWA SAWA NA MAWAZO YA BINADAMU''
 
Mungu amekupa akili na maarifa kwann ufe na njaa kakupa mikono
 
Mwanzo 3:15 Mwanzo 3:15
[15]nami nitaweka UADUI kati YAKO na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.

+++++++++++++++++++++++++++

Zingatia huo mstari..

Wisdom 2:24

But by the ENVY of the devil, death entered the world,
and they who are allied with him experience it.

Biblia. Wagalatia 4:4
[4]Hata ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwanawe ambaye amezaliwa na *
mwanamke, amezaliwa chini ya sheria,

uzao wa Mwanamke..

Biblia. 1 Yohana 3:8
[8]atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili MWANA WA MUNGU alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi.

Kupitia Kristo wamezaliwa wama wengi

Yohana 1:13
[13]waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.
-----------------------------------------------------

Biblia. Ufunuo wa Yohana 20:2
[2]Akamshika yule joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ni Ibilisi na Shetani, akamfunga miaka elfu;

Tutazame uzao wa ibilisi:-

Biblia. Ufunuo wa Yohana 12:7
[7]Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule *joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake;*

Mathayo 25:41
[41]Kisha atawaambia na wale walioko mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, mwende katika moto wa milele, aliowekewa tayari Ibilisi na malaika zake;

Uzao mwingine wa ibilisi. Ni wale wanaozaliwa na wanadamu lakini hawayatendi mapenzi ya Mungu.

Yohana 8:44
[44] Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.

Lakini Mungu amekuja na Agano jipya ambapo ametangaza rasmi kisasi cha Hukumu dhidi ya adui yake.

Kisasi hiki ni jahanum ya Moto wa Milele.

Isaya 42:1
[1]Tazama mtumishi wangu nimtegemezaye; mteule wangu, ambaye nafsi yangu imependezwa naye; nimetia roho yangu juu yake; naye atawatolea mataifa hukumu.

Mathayo 12:18
[18]Tazama, mtumishi wangu niliyemteua; Mpendwa wangu, moyo wangu uliyependezwa naye; Nitatia roho yangu juu yake, Naye atawatangazia Mataifa hukumu.

Mathayo 23:33
[33]Enyi nyoka, wana wa majoka, mtaikimbiaje hukumu ya jehanum?

Conclusiom
Uwepo wa shetani ni matokeo ya adhabu ya bustani ya Eden.
Na kua Mungu hakumuondoa bali alimuacha ili awe adui yetu. Ila alitupa uwezo wa kumponda kichwa. ila yeye akawa na uwezo wa lituchubua kisigino.

Luka 10:19
[19]Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.
 
Katika hizo picha hao watoto ni watoto halali wa baba na mama lakini wengine wamezaliwa wakiwa pure wazungu (caucian)na wazazi ni pure negro. Na genetical wamefanya trace wakakuta hakuna asili yoyote katika kizazi chao. Ni mutatiom tu imetokea.
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ogomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwani kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwani anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATING THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================
MWENYE ENZI MUNGU HANA MAKOSA HATA PUNJE. .... usifanye mchezo naye asije akakushusha kiburi cha uzima. ...tafuta toba haraka sana. ..
 
Ebana jamaa una akili nyingi saana...dah
 
Hahaha
Nimecheka kwa masikitiko wengi naona mnatetea kwa hisia, mihemko na mizuka lakin si kwa logic
Mambo mengine yaliyo andikwa kwenye vitabu vitakatifu ni haya make sense.
Na walio tuletea vitanu hivo wali tujemgea nidhamu ya uoga wa kufikiri sasa ni ttzo kubwa
Nilicho gundua
Religion is emotion entity and not a reasoning entity
 
Safi sana
Bible is the oldest book in the whole world.
Kitabu cha kwanza kuchapichwa na Gutternburg printing Press.
Kitabu ambacho kinaeleza kuhusu asili ya Mwanadamu

Kwanza kinatambua kua uwe mzungu, mchina Mwafrika tuna asili moja.
You can imagine, hata kabla watu kugundua chromosome hiki kilishaeleza kua sisi wanadamu regardless ya races zetu, tuna asili moja.

Na ndio kitabu kinachoeleza baadhi ya magonjwa yanayojulikana leo hii
Yakiwemo magonjwa ya mimea na wanyama.

Kinatoa matukio ya kweli kuwahi kugunduliwa kama faraoh kuzama bahari ya sham. Na relics zao zipo

Kina toa incite ya ancient civilization ilivyokua na mtazamo.wao kuhusu umbile la dunia.
Kabla ya enlightment.

Kwa bahati mbaya sana sisi waafrika hatuna oldest civilization ambayo tutatafutia vyanzo vyetu.
We only left with oduvai george.
Nayo ni michoro tu haina insight kubwa.

Kule amerika ya kusini, amerika ya kaskazini, Bermuda triangle chini ya maji, china, india, Australia misri, na middle east wana pyramids za zamani kabisa kuwahi kujengwa na mwanadamu.
Kwa mfano kupitia wachina na dini yao ya Budha wamehifadhi relics za zamani sana.

Kuhusu Bibilia, wanasayansi mbalimbali duniani bila kujali itikadi zao za kidini, wameweza ku trace umri wa kila matukio katika Bibilia kupitia Carbon 14.

Zipo library mfano England zimehifadhi matukio ya kweli ta kihistoria.

Hata hivyo, Kwa bahati mbaya sana kuna matukio wameanza kuyaficha kwasababu ya muingiliano wa imani ya uislamu katika ulaya, yanaweza kuleta vurugu. Mfano kauli za wistorn churchill dhidi ya uislamu, na historia mbalimbali za uislamu nk.

Bahati nzuri sana bibilia imeeleza hadi mambo ya Mungu na Mungu. Ma ndipo topic yetu inapokutana na vyanzo vya bibilia.

Mwanzo 3:15
[15]nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.

Kuhusu kukopi kwa wamisri lisikupe tabu.
Hata sisi tunapofanya research lazima tufanye reference kwa waliotangulia.
Misri ni sehemu ambayo civilization ililua imeendelea kulilo sehemu yoyote duniani during ancient times.
Na kupitia wao ni vyema watu wakijifunza kule baadhi ya mambo yalivyokua.
Fahamu tu, wanahistoria sio makapuku. Wanafanya analysis kitaalamu ili kuepuka kujidanganya.
2013:
hio biblia unayoifanyia reference unajua kama mzungu amekopi na kupest kutoka kwa Mmisri? you are not supposed to back them up, you are supposed to know your history..
soma origin of christianity hapa >>> KEMETIC - EGYPTIAN ORIGIN OF CHRISTIANITY
 
2013:
ukitaka kujifunza kitu kipya jifunze kitu ambacho hukijui, sio kitu ambacho kinasapot your argument, huna unachojifunza.. BIBLE NI PURE PLAGIARISM DONE BY THE WHITE MAN.

Dont try to compete, try to Learn, most importantly your history.

mzungu kaja afrika, kambaka babu yako, kambaka bibi yako, kawafunga minyororo, kawaua, kawaita masokwe, and hear you are, trying to defend him..

Biblia chimbuko lake ni Misri, white man gave us what he took from us, and claims its his!!!
 
Hizo dhambi asili yake wapi???? ziliishi wapi kabla ya kuja kwetu???? Kati ya Mungu na Shetani nani alijua hizi zambi zilikoishi kabla hatujatupiwa kesi????? Majibu plz, usilete uliyokaririshwa hapa. LET YOUR BRAIN THINK come on
kwanza Asili ya dhambi ni katika bustani ya Eden mwanzo 1:17 hapa tunaona jinsi Mungu anatoa angalizo juu ya ulaji wa matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya kuwa mtu atakaye kula kufa na atakufa hakika pia ukisoma mwanzo 3:1-14 utaona jinsi mwanadamu alivyoshindwa kuitii sauti ya Mungu na mwisho akala matunda ya ule mti wa ujuzi wa mema na mabaya inamaana hapa ndipo dhambi ilipo anzia hakuna mahali panaonyesha dhambi iliishi mahali flani ila dhambi ni matokeo ya kitu flani kwamba liko agizo mwanadamu aliagizwa alifanye na Mungu lkn akashindwa kulifanya na ndio mwisho likazaa dhambi sidhani kama kusudi la Mungu lilikuwa ni mwanadamu atende dhambi kabisaa ila kutokana na kutokutii kwa mwanadamu ndio ikawa hivyo na sisi tukaichukua adhabu ya dhambi kupitia kwa adamu lkn ashukuriwe Mungu kwa huruma na Rehema zake tena kwetu akatupa Yesu kuwa limbuko la dhambi zetu yaani ujio wa Yesu tunaweza sema ni golden chance tuliopewa. niishie hapa Mungu akubariki na zaidi akupe kumjua yy na kumtafuta yy zaidi na si kasoro zake Amen.unachopaswa kujua ni kuwa Mungu anatuwazia mema na anatupenda pia.
 
Siyo kweli kuwa mungu anatuwazia mema, mbona anayajua mabaya yatakayonikabili huko mbeleni? kwanin asizuie??? mnaongea kirahisi sana. Halafu mwanadamu hakujua chochote walka dhambi, je ufahamu wa kumkosea Mungu waliutoa wapi???? Where did the knowledge of sin came from??? was not something planted by God himself into human being mind bila binadam kujua chochote??? why tusikubali tuu japo ni ukweli mchungu kuwa Mungu anatuchezesha binadamu kama game kama play station????????? coz he knows the future much than he can determine our past, sasa utende wema Mungu anajua, utende ubaya pia alijua utautenda, je kosa la mwanadam lipo wapi jmn???
 
hahahaha Szczesny karibu kwenye jukwaa hili mkuu. watu waoga afu watenda dhambi afu wanajidai kumtetea wasiomwamini wala kufanya yasiyo mapenzi yake.

Hahaha
Nimecheka kwa masikitiko wengi naona mnatetea kwa hisia, mihemko na mizuka lakin si kwa logic
Mambo mengine yaliyo andikwa kwenye vitabu vitakatifu ni haya make sense.
Na walio tuletea vitanu hivo wali tujemgea nidhamu ya uoga wa kufikiri sasa ni ttzo kubwa
Nilicho gundua
Religion is emotion entity and not a reasoning entity
 
Nawashangaa watu wanaotokwa mapovu huku na wengine kuanza kuhukumu! kimsingi Mjumbe kauliza maswali yenye kuleta changamoto na yenye uhitaji wa kutafakati kwa kina, msipende kukariri mambo, wakati mwingine upeni ubongo kutafakari! Yakupasa uwe ni mtu wa ku-reasoning na sio mtu wa kupokea poke tu! Vitabu hivyo vyote mnavyo-cite vililetwa na mzungu na tukakaririshwa na tukaamini, Imani tu ndio inatuponya... mwingine huku nae akasema ''Vyote vitabadilika lakini ujinga na upumbavu wa Mtanzania utabakia pale pale'' kwa upande mwingine nakubaliana nae!

Kuhoji sio dhambi...Wakati mwingine huwa mimi najiwazia peke yangu na huwa nakosa majibu na kupiga kimya! huwa nami najiuliza mengi sana, huwa najiuliza hivi, kama Mungu anasema yeye ni Mungu wa viumbe vyote, tena wa Amani, Huruma na vyote vizuri mvijuavyo ninyi ambavyo anajiita, je kwa nini anawaacha watu wake waendele kufa kwa njaa, vita na magonjwa? huruma yake hapo iko wapi?

Uwezo wangu wa kufikiri huwa unaishia pale kwenye ule mstari usemao ''MAWAZO YA MUNGU SI SAWA SAWA NA MAWAZO YA BINADAMU''

nimekwelewa sana comrade MKANDAHARI , haya ndiyo majanga ya africa yetu na vizazi vyake. no thinking, ni kumeza tuu na kuitikia baaasi. siamini kama kujiuliza haya maswali haya ni kumkosea Mungu na Mungu kama ni mwaminifu anajibu kwa njia zake tuu
 
Bible is the oldest book in the whole world.
Kitabu cha kwanza kuchapichwa na Gutternburg printing Press.
Kitabu ambacho kinaeleza kuhusu asili ya Mwanadamu

Kwanza kinatambua kua uwe mzungu, mchina Mwafrika tuna asili moja.
You can imagine, hata kabla watu kugundua chromosome hiki kilishaeleza kua sisi wanadamu regardless ya races zetu, tuna asili moja.

Na ndio kitabu kinachoeleza baadhi ya magonjwa yanayojulikana leo hii
Yakiwemo magonjwa ya mimea na wanyama.

Kinatoa matukio ya kweli kuwahi kugunduliwa kama faraoh kuzama bahari ya sham. Na relics zao zipo

Kina toa incite ya ancient civilization ilivyokua na mtazamo.wao kuhusu umbile la dunia.
Kabla ya enlightment.

Kwa bahati mbaya sana sisi waafrika hatuna oldest civilization ambayo tutatafutia vyanzo vyetu.
We only left with oduvai george.
Nayo ni michoro tu haina insight kubwa.

Kule amerika ya kusini, amerika ya kaskazini, Bermuda triangle chini ya maji, china, india, Australia misri, na middle east wana pyramids za zamani kabisa kuwahi kujengwa na mwanadamu.
Kwa mfano kupitia wachina na dini yao ya Budha wamehifadhi relics za zamani sana.

Kuhusu Bibilia, wanasayansi mbalimbali duniani bila kujali itikadi zao za kidini, wameweza ku trace umri wa kila matukio katika Bibilia kupitia Carbon 14.

Zipo library mfano England zimehifadhi matukio ya kweli ta kihistoria.

Hata hivyo, Kwa bahati mbaya sana kuna matukio wameanza kuyaficha kwasababu ya muingiliano wa imani ya uislamu katika ulaya, yanaweza kuleta vurugu. Mfano kauli za wistorn churchill dhidi ya uislamu, na historia mbalimbali za uislamu nk.

Bahati nzuri sana bibilia imeeleza hadi mambo ya Mungu na Mungu. Ma ndipo topic yetu inapokutana na vyanzo vya bibilia.

Mwanzo 3:15
[15]nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.

Kuhusu kukopi kwa wamisri lisikupe tabu.
Hata sisi tunapofanya research lazima tufanye reference kwa waliotangulia.
Misri ni sehemu ambayo civilization ililua imeendelea kulilo sehemu yoyote duniani during ancient times.
Na kupitia wao ni vyema watu wakijifunza kule baadhi ya mambo yalivyokua.
Fahamu tu, wanahistoria sio makapuku. Wanafanya analysis kitaalamu ili kuepuka kujidanganya.
Naomba nipingane na wewe kwenye baadhi ya sehemu, kwanza kabla ya yote, unaamanaisha unaposema afrika haikuwahi kuwa na oldest civilization? yaani mkuu olduvai golge ndo oldest civilization iliyobaki? Mheshimiwa hivi unafahamu kwamba semitic languages kama (hebrew, arabic, phoenic,aramaic etct) ni tawi ya afroasiatic languages kwa maana chimbuko lake ni afrika? kuna sehemu nyingi sikubaliani na wewe ila naomba unijibu maswali yangu kwanza labda utakuwa unamaanisha kitu kingine.
 
Sijamdhihaki nimesema kweli. Kwani kuna uongo hapo??
Mkubwa sana. Kuna kijana mmoja alimkosea adabu babaye. Babaye akajuta sana kumzaa akesema ni bora ningepiga nyeto ikaliwa na sisimizi au siafu kuliko kuzaa mtoto wa namna hii. Tafakari aisee. Biblia inasema kuna watu waliokwisha andikiwa kwenda jehanaum tangu mwanzo sikulielewa andiko hilo mpaka niliposoma post yako ndio nimeelewa lilimaanisha nini. Hata kisa alichokifanya Yuda Iskalioti sikukielewa mpaka leo niliposoma post yako. Viumbe vyote kasoro wanyama Mungu amevipa uchaguzi Mungu sio dikteta aliviumba viumbe vyote vikiwa vikamilifu hata shetani alikuwa mkamilifu ila akachagua mwenyewe kuwa shetani wala katika hili Mungu hana makosa wa kasoro yoyote.

Katika dunia ya enzi hizo kila taifa lilikuwa na miungu yake ambayo waliiamini na kuitumia katika kupanua mipaka yao na kuongeza maslahi ya Taifa lao hata wana wa Israel walitumikishwa na kuteswa na Wamisri kwa muda mrefu lakini walipomwita Mungu wao akawa na nguvu kuliko miungu ya Wamisri na kuwaokoa hata walipoyaendea mataifa hawakukubalika wala kupokewa kama wageni bali walitendwa jeuli na Mungu wao akawaokoa kwa mkono ulio hodari.

Mungu wa Israel ndiye Mungu wenye nguvu zaidi ya miungu yote hata wewe ukimwamini hakuna mwovu atakayethubutu kusimama mbele yako iwe wachawi, waganga, magonjwa n.k hayataweza kukudhuru kabisaa. Ila haya yote utayapata kupitia Kristo Yesu wa Nazarethi.
 
Back
Top Bottom