Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Ttazo unajaribu kuweka daraja kati ya mungu na mwanadamu wakati haiko hivyo ndo maana unamchukulia mungu ni MTU mwingine wakati hujaelewa tu mfano wake
 
hukitaka kumjua mungu kwa maelezo utajaza vitabu dunia na bila kupata jibu.upo chembe ya mbigu hata ya kwanza ujafika je mbingu saba unazijua
 
Ukipractice kua yeye you will be like a god ttzo wanadamu tunafuata our own way kama shetan alivyofanya
 
Ndo mana nkakwambia maishani mwetu ona watu wana tafuta watoto kwa hali na Mali kwa kuamini ni faraja lakin mtoto huyo huyo anakuja kukutukana je ulikua ukiliwaza hilo?
una uelewa mdogo sana ,mfano unaotoa ni mfu jarbu kutafuta mfano mwingine
 
Aliamini watakua mfano wake coz tunaambiwa sisi ni mfano wake kumbuka hata shetani hakuumbwa alikua malaika ni kama wewe ukazaa mtoto do you expect mtoto wako atakua jambazi? No nadhan umenielewa hapo nmesimamiaje biblia tu
Mungu ndo chanzo chakila kitu kwahiyo hizo dhambi asiri yake wapi nan kaziumba mpaka malaika huyo aamue kuzifuata? Pia tambua mungu anajua vyote hata kabla havijafanywa kwann asijue kua huyo malaika ataasi
 
Biblia msitu mnene,ukiisoma kwa kuongozwa na elimu yako,shule uliyonayo,au kwa hisia au mtazamo wa ulimwengu huu wa mwili,huwezi kutoka na jibu hapo!!!inahitaji roho mtakatifu.
 
Hicho kibri kilishawaponza kina Firauni,sasa naona umekaaa ukafurahia neema za Munguu ukashibaaa na sasa umeamua kukufuru kwa sababu ya Qibri,kama wewe ni mwislam ushaaubatilisha uislam wako na unatakiwa usilimishwe na ufanye toba kwa kauli hizo chafu otherwise Mungu hatokuacha salama hata kidogo
 
Jaman niwaombe mcshindane na huyu mwehu mtaingia dhambini,huyu anatakiwa akamatwe arejeshwe Mirembe alikotoroka haraka sana kabla hajaleta maafa mtaani kwao
 
Kuna comments nyingi sijareply siyo kwa sababu sina cha kuwajibu ila ninajiuliza tu hivi haya mawazo ndiyo yaliyo kwenye akili za baadhi ya wengi wa watanzania wenzetu??? ni kweli ndugu zetu hawa wanaishi kwa hofu na wasiwasi hivi??? wanaamini kufikiri na kuuliza ni uasi??? wazungu waliwaambia mababu zetu watii tu bila kuhoji matokeo yake waliporwa walivyokuwa navyo, leo hii wazungu wameacha system zao humu watu wanalishwa confusions kwenye majumba ya ibada bila kuhoji...Ndio maana wakimaliza ibada hawatoi nafasi ya kuuliza maswali coz wanajua wamefundisha confusions ambazo hata wao hawazielewi....matokeo yake watu wamekuwa poor innocent victims...wananyonywa jasho na muda wao bure....alisema J.KENYATTA ''WHEN WHITEMEN ARRIVED, WE HAD OUR LAND AND THEY HAD THIER PRAYER BOOKS. THEY TAUGHT US HOW TO PRAY WITH CLOSED EYES, WHEN WE OPENED OUR EYES, WE HAD THEIR BOOKS AND THEY HAD OUR LAND'' Leo hii ardhi yaweza kuwa pesa au muda!!
 
Dhambi hazijaumbwa Bali zimetokana kwenda kinyume na mipango ya mungu hasa tamaa za mioyo ya wanadamu naona sasa unakuja nukuweke sawa
 
Naufatilia huu uzi kwa ukaribu sana hii ni post ya 595 lakini bado hamjajibu maswali mnatishia kifo tu wakati wote tutakufa...

Bado mna nafasi nadhani Mungu asingependa kukuona umepata nafasi ya kumhubiria neno lake kwa nafsi iliyopotea ili irudi kwake. nafasi yako ndio hii ukienda huko utaulizwa kwanin hukutoa elimu.
 
Ttazo unajaribu kuweka daraja kati ya mungu na mwanadamu wakati haiko hivyo ndo maana unamchukulia mungu ni MTU mwingine wakati hujaelewa tu mfano wake

ekessy the word THE SAME and EQUAL can mean no difference btn the two objects/matters, but the word EQUIVALENT and LIKE can imply two objects/matters being close in status, value or weight BUT are not equal or the same.

mankind and the so called God are NOT EQUAL/NOT THE SAME, maybe can be ALIKE or equivalent. Comparing this creature 'GOD" with men is awkward.

Kuna mipaka ya uwezo wa mwanadamu na Mungu, huwezi tengneza equal balance equation kati ya mtu na Mungu. Kwenye hesabu za SET, tungesema Mungu ni universal set na mwanadamu ni set au element mojawapo ndani yake.
 
[QUOTE uid=370834 name="AMBASSADOR-M" post= 17188812]fikra zetu zinapuuzwa na wala ukijaribu kufikiria tofauti unapingwa na kuuliwa ikibidi[/QUOTE]

hiko ndo kilichokua kinatokea kipindi cha ukoloni, THE ONLY WAY OUR GRANDPAS COULD LIVE WAS TO SUBMIT THEMSELVES TO THE AUTHORITY, AND BECOME CHRISTIANS, OTHERWISE THEY GET KILLED.. wazee wetu walilazimishwa kuwa wakristo, na majina yao wakabadilishwa wakapewa majina ya wakoloni, mfano eric, james, richard n.k..

Ndo mana mimi na wewe hatuna majina ya kibantu, sisi wote majina yetu ni matokeo ya usilimishwaji huu.. na tunapoelekea hata majina yetu ya asili (Surname) yatapotea kama yalivyopotea kwa black americans kama Eddie Griffin, Michael Jordan, Lebron James, Will Smith n.k hawa wote hawana tena majina ya mwisho ya kiafrika.

Mzungu anajua tukiamka na kuujua ukweli basi amekwisha, ndio mana mzungu halali, anatengeneza movies, great music and great TV programmes just to keep your mind entertained..

THE WHITE MAN WILL NEVER TELL YOU TO STOP THINKING CRITICALLY, ANAUA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI KWA KUKUPATIA VIBURUDISHO (ENTERTAINMENTS )
 
Naufatilia huu uzi kwa ukaribu sana hii ni post ya 595 lakini bado hamjajibu maswali mnatishia kifo tu wakati wote tutakufa...

Bado mna nafasi nadhani Mungu asingependa kukuona umepata nafasi ya kumhubiria neno lake kwa nafsi iliyopotea ili irudi kwake. nafasi yako ndio hii ukienda huko utaulizwa kwanin hukutoa elimu.

hahahahah mkuu mzawa098 umeongea busara sana. Tufungukeni hapa na tuache woga na unafiki, Mungu pia anapenda watu wawazi na jasiri kuhoji. inaonesha ukomavu wa imani siyo ndiyo mzeee kila kitu ndiyo mzeeee acheni hizoooo... thiiiiiiiiiiink and argue critically
 
[QUOTE uid=370834 name="AMBASSADOR-M" post= 17188812]fikra zetu zinapuuzwa na wala ukijaribu kufikiria tofauti unapingwa na kuuliwa ikibidi

hiko ndo kilichokua kinatokea kipindi cha ukoloni, THE ONLY WAY OUR GRANDPAS COULD LIVE WAS TO SUBMIT THEMSELVES TO THE AUTHORITY, AND BECOME CHRISTIANS, OTHERWISE THEY GET KILLED.. wazee wetu walilazimishwa kuwa wakristo, na majina yao wakabadilishwa wakapewa majina ya wakoloni, mfano eric, james, richard n.k..

Ndo mana mimi na wewe hatuna majina ya kibantu, sisi wote majina yetu ni matokeo ya usilimishaji huu.. na tunapoelekea hata majina yetu ya asili (Surname) yatapotea kama yalivyopotea kwa black americans kama Eddie Griffin, Michael Jordan, Lebron James, Will Smith n.k hawa wote hawana tena majina ya mwisho ya kiafrika.

Mzungu anajua tukiamka na kuujua ukweli basi amekwisha, ndio mana mzungu halali, anatengeneza movies, great music and great TV programmes just to keep your mind entertained..

THE WHITE MAN WILL NEVER TELL YOU TO STOP THINKING CRITICALLY, ANAUA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI KWA KUKUPATIA VIBURUDISHO (ENTERTAINMENTS )[/QUOTE]

brillnoel sijui nikupe nini, umeona mbali rafiki... We will keep consuming what we dont produce and produce whaat we dont consume. Thats the tragedy of Africa
 
Back
Top Bottom