Mkuu Bibilia is the most generous book ever known to Man.
Historia kupitia bibilia inaonyesha wazi kua kabla ya Judaism ambayo imetangulia ukristo kulikua na dini na imani nyingine. Hivyo. Adam na eva hawakuanza na judaism..
Kulikua na imani hata wakati wa yakobo ambapo walikuwepo wanaoabudi vinyago
Mwanzo 31:19-34
Pia hata utumwa ulikuwepo na waisrael ni wahanga wa huu utumwa
Na civilization ya pale egypt waliijenga. Na wamisri walikua na miungu yao ambapo Judaism ilikua bado.
Yeremiah 43:12-13
So judaism ilianza rasmi wakiwa katika promised Land.
Utaona pia pamoja na kua tunatambua kua Mungu wa Israel ni mkuu, bado waisrael walipitia ups and down kama wanadamu wengine. Lakini kupitia kile wanaamini waliendelea kua thabiti. Unfortunately sisi waafrika hatuna cha kujivunia. Sanasana tumeshaachana na yale ya kwetu ya kipagan. Ukweli ni kua hayakutusaidia.
Jamii nyingi za waafrika tuliishi kama wanyama. Sio civilization bali wanyama pori kabisa. Most savage known to earth.
Ukristo umekuja na kutambua uwepo wa judaism na dini zingine kale ikiwemo ushirikina.
Hata bibilia imeandikwa lakini haikuthubutu kulazimisha kua dini ilianza kristian ama judaism pekee.
Hata hivyo kuna kitabu fulani kimejaribu kwa nguvu zote kuonyesha bibilia ilitangulia, wakati huo kikajinadi kua dini ya kwanza ya ulimwengu Wenye akili wameshang'amua uwongo wao. Ndio maana hakitumiwi kama reference popote.
Tukiachana na hili... Tunaona kua
Bibilia imetoa nadharia zote hizo ikiwemo nadharia ya angel and demons, nadharia ya interactiom kato ya wanadamu na malaika walioasi.
Mwanzo 6:2.
Kimsingi dini zilikuwepo hata wakati wa sodoma na gomorah.
So bado hizO afrikan religions ni dubius kwasababu hazijaeleA broadly kuhusu imani nyingine. Utakuta zimejikita katika rituals zao tu.
Na waandishi wake watakua ni historians ambao hawana uhakika namna zinavyopaswa kufuatwa.
So bibilia haina jelous katika uandishi wake.
Thats why imekua accepted without force all over the Globe as an ideal source.
Kule japan kuna mvumbuzi mmoja alikamatwa akipandikiza artefacts katika ardhi alikua na sylabas zake zinasomwa katika mitaala ya japan kumbe jamaa ni hoax.
So kuna scientific hoax katika hawa wana sayansi.