Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Nakuunga mkono! Kama Mungu aliumba Adam na Eva wawili tu weupe wakazaana. Uzao wao ukawa mweupe, sasa sisi waafrika weusi tulitoka wapi? Ukiuliza unaambiwa unakufuru!
Mbona wanapatikana Albino kutoka kwa wazazi weusi?
 
God I serve is perfect and complete. If you doubt this is because your home is hell!
 
Mbona wanapatikana Albino kutoka kwa wazazi weusi?
najua umemaanisha mwafrika anaweza kuzaa mzungu ila kumbuka albino sio mzungu kwa hio mwafrika kwa mwafrika hawawezi kuzaa mzungu na mzungu kwa mzungu hawawezi kuzaa mwafrika.
 
najua umemaanisha mwafrika anaweza kuzaa mzungu ila kumbuka albino sio mzungu kwa hio mwafrika kwa mwafrika hawawezi kuzaa mzungu na mzungu kwa mzungu hawawezi kuzaa mwafrika.
Kwani mzungu au mwaafrika unamtambua kwa lipi?
 
najua umemaanisha mwafrika anaweza kuzaa mzungu ila kumbuka albino sio mzungu kwa hio mwafrika kwa mwafrika hawawezi kuzaa mzungu na mzungu kwa mzungu hawawezi kuzaa mwafrika.
Em pitia hapa
http://nypost.com/2010/07/21/blond-bombshell/[
1470730739289.jpg
 
Nianze kujibu swali moja baada ya lingine kwani ,mimi nilijua mmejibiwa lakini kuna watu bado wanaona maswali hayajajibiwa
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ogomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

Kwanza Mungu hakumuumba shetani,shetani ni jina alilopewa huyo malaika(Lucifa) baada ya kuasi,mwanzoni shetani alikuwa anaitwa Lucifa,hili lilikuwa ni jina lake la utukufu alikuwa ni malaika anahusika na sifa,tena ni mmoja wa malaika waliokuwa karibu sana na Mungu.Wala shetani si mbaya wa sura kama michoro ya kianadamu inavyoonyesha hiyo inatumiwa tu kuonyesha yeye ni mbaya lakini malaika wana sura nzuri kama ni issue ya sura.Kumchora shetani sura mabaya hakubadilishi sura yake ,ni sawa na picha za yesu zilizo zoeleka ka kwenye movie zile si sura halisi za Yesu.
Lucifa ni jina la ibilisi/shetani kabla hajamasi Mungu kipindi kile akiwa malaika.
Sasa issue ya kumuumba shetani haina nguvu labda tujiulize je Mungu alijua kwamba Lucifer ata asi?Jibu ni ndiyo kwani Mungu anajua yote(Omniscient),Ayubu 37:16;Zaburi 139:2-4;Isaya 46:9-10.Biblia haijasema kwanini Mungu alimuumba Lucifer wakati akijua ata asi,ninachotaka ujue kuna mambo tumefunuliwa hayo ni yetu mengine ambayo hayajafunuliwa hayo si yetu.lakini mtu binafsi unaweza enda mbele za Mungu kwa kufunga na kuomba na ukamwuliza hilo swali huwa anajibu ila majibu mengine yanaweza kuwa magumu kwako kama Ayubu alivyoulizwa alivyoenda na maswali yake.

Kwa hiyo Mungu hakukosea kumuumba shetani.kwani Mungu huwa hakosei ,yeye ni perfect.Katika hari ya kawaida mtu hata akifanya mazuri kwa wengine wataona kama amekosea .Ni kawaida yetu wanadamu kutaka watu wangefanya tunavyotaka sisi lakini ufahamu na akiri za Mungu ziko juuu sana kuliko wewe mwanadamu,kama hauamini tumia akili zako basi kuongeza kimo chako kama unaweza.Kama ufahamu wetu ungekuwa juu kuliko Mungu basi hata siku zetu za kufa tungezijua lakini zimefanywa kuwa siri for a reason.
Kama ambavyo msanii mchanga hutafuta kutoka kwa kuwa na ugomvi na wasanii wakubwa wanadamu hujaribu kutafuta umaarufu kwa kujaribu kusema mambo yatakayogusa watu walio wengi.Wana habari wanajua "bad news sells"
 
  • Thanks
Reactions: k29
najua umemaanisha mwafrika anaweza kuzaa mzungu ila kumbuka albino sio mzungu kwa hio mwafrika kwa mwafrika hawawezi kuzaa mzungu na mzungu kwa mzungu hawawezi kuzaa mwafrika.
1470731178690.jpg
1470731184910.jpg
1470731190640.jpg
1470731200513.jpg
1470731213347.jpg
 
2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

Hizi tabia za kukopy bila kutumia ubongo zetu si nzuri,mleta mada baada ya kuona haya maswali yaliulizwa na profesa akajua profesa yeye anajua vyote.Ukisoma biblia utajua kwamba Mungu ni roho ,haonekani ila unaweza ukaona kazi zake.Tumekuwa tukisema siku zote kwamba kama ambavyo huwezi kuuona upepo bali unaweza ona athari zake kama vitu kupeperushwa,matawi kucheza au wewe mwenyewe kufeel,ndiyo hivyo na Mungu huwezi kumwona kwa macho.So pamoja aliyeuliza ni profesa katika elimu za dunia lakini ni mchanga sana katika mambo ya Rohoni.
Mungu amesema "wanapokusanyika wawili au watatu kwa jiri yangu nami nipo katikati yao".Kitu kingine nilishasema ,wasomi wengi wanapata shida kuhusu Mungu.Jameni huu ni ukweli haimanishi kwa kuwa wewe hujawahi kukutana na nguvu ya Mungu au Mungu hajawahi kukufanyia jambo wewe then unageneralize nakusema Mungu hayupo,mara nyingi watu huwa nawauliza is that opinion or facts.Tunachanganya sana opinion za watu na facts,huyo profesa aliuliza katika opinion zake wala si fact.
Jitahidi muwepo penye uwepo wa Mungu hata mtamsikia anaongea nanyi,labda nielezee njia mojawapo ambayo Mungu anaweza ongea na watu ni kwa kupitia watumishi wake au manabii.
Majini/mapepo ni roho,kwa wale mlio wahi kwenda kwa waganga wanaotumia majini,akipandisha majini sasa utaanza kuongea na jini hilo ambalo ni roho inakuwa ndani ya yule mtu.Sasa kuna mtu alishawahi kuona majini?
Vivyo hivyo na Mungu ni roho manapokuwa katika maombi,mkimwita Bwana anaweza sema nanyi kwa roho yake kuingia ndani ya mtu na yule mtu atasema,si yeye anayesema bali ni Mungu.Anaweza akasema kwa lugha inayofahamika au kama akisema kwa lugha isiyofahamika mwingine atatafasiri.wote hawa watafanya hivyo wakiwa katika maombi na si kama wakalimani ulio wazoea wanavyofanya.Biblia imesema akiwepo wa kunena kwa lugha na mwingine atafasiri haya yanatokea.Huwezi jua mambo haya kama uko nje,ni nani aliyejifunza somo fulani wakati hakuhudhuria linapofundishwa au kujisomea vitabu vinavyohusu somo hilo?
Swali hili kwa kifupi limekaa kimwili zaidi halina hata element za kiroho .
 
Magu alisema wale walioimba 'wana imani na nani sijui' angewatimua wote siku hiyo hiyo... Mimi nasema kama ningelikuwa Mungu pindi tu kidole chako kinabonyeza kitufe cha kupost hapo hapo ningekugeuza senene!!

Unafanya dhihaka kama hizi na bado uko hai! Aisee Mungu ana uvumilivu wa hali ya juu sana... Mwacheni Mungu aitwe Mungu!!
Eti senene
 
KWANZA KABISA,MUNGU HAKUMUUMBA SHETANI,

Mungu alimuumba Lucifer Malaika aliyekuwa amekamilika tena mwenye vipaji lukuki,Shetani amekuja kutokea baada ya kuasi.Kila kilichoumbwa na Mungu tambua ya kwamba kiliumbwa kwa kusudi maalamu...

Jibu kuu kulio yote ambalo naweza kukupa kwa sasa ni kuwa,Dunia iliumbwa kuwa sayari ya Mfano Kwa viumbe vya Mungu,Hii ni kwa sababu Lucifer alianza Chokochoko mapema kabla hata ya Adam na Eva Kuumbwa,so God decided Kuiumba Dunia (Since he was aware that Lucifer atafukuzwa Mbinguni na Obvious makazi yake yatakuwa duniani)Kumuachia Uhuru wa kufanya kila atakacho hapa Duniani ilikuwa ni kwa ajili ya kumprove wrong kwa Malaika ambao hawakuasi kuwa yeye Mungu wetu siyo Dictator kama Lucifer alivyokuwa akimpotray...
 
hapo uliposema Yesu ni Mungu tupaweke pending mpaka tukimaliza hili...

umesema hakuna aliyewahi kuuona uso wa Mungu, then ukasema Mungu ni roho, as if umemaanisha roho haina sura..
sasa kama roho haina sura inakuaje tena Mungu anao uso angali Mungu ni roho?
na kulikua na maana gani kuandika kwenye biblia hakuna aliewahi kuuona uso wa Mungu wakati wanajua Mungu ni roho na roho haina uso?
Mkuu unaishi mkoa gani nikuelekeze sehemu utakapojibiwa haya maswali yako yaliyo mepesi?Kwa kuandika mni ngumu sana kuelezea vitu.Kama nilivyosema tatizo lako ni aidha umesoma sehemu tu ya biblia na inawezekana umekuwa ukiisoma kutafuta vitu vya kukosoa na hivyo ukajifunga ufahamu wako.
Wewe pia hujui kama roho inaweza chukua sura ya kitu chochote?Yesu alivyokuwa anabatizwa na Yohana Roho wa Bwana alishuka juu yake kama mfano wa hua(njiwa) hii haimanishi Mungu ni njiwa.
Kuna sahemu kwenye biblia inasema
upepo ukavuma mara ya kwanza ,lakini Bwana hakuwemo
upepo ukavuma mara ya pili lakini Bwana hakuwemo
Upepo ulipovuma mara ya tatu Bwana alikuwa katika upepo ule,hii haimanishi Mungu ni upepo.
Mkuu hujui hata roho ya wachawi inaweza kuja kama panya au paka au mbwa?Bado elimu yako ni ndogo haya maswali watu watachoka kukujib u ,ushauri wangu nenda sehmu jifunze si lazima uamini wanachoamini kaa hapo jifunze neno la Mungu lakini hivi unavyotaka ujue huku moyo wako haujafunguka una mambo kibao utapotea.

Roho ya mwanadamu inakaa ndani ya mwili,Roho wa Mungu anaweza kaa ndani ya kitu ambacho Mungu ataamua ikae kwa wakati ule.Mussa aliambiwa aende kwa farao,Musa akamwuliza Mungu farao akiniuliza wewe ni nani nimwambieje.
Mungu akamwambia "Mini ni niko ambaye niko" in English " I am that I am".Nifuate kwa umakini hapa Mungu alivyosema "I am that I am" alimanisha anaweza akawa katika form yeyote atakayotaka yeye kwa wakati ule.Soma maandiko ndugu,kama website yangu ikiwa tayari kwa ajiri ya kuwaamusha mlio lala utajulishwa.
 
Aqua:
umenena vizuri, kwamba roho huwa inaweza kuwa kwenye form yoyote, kwa maana hio roho haina umbo, so haiwezi kuwa na uso.

na pia umesema hili neno "roho ya Mungu" kwa maana hio Mungu anayo roho, sasa kama Mungu ana roho na yeye mwenyewe ni roho huoni kama haileti maana?
mtu au kitu chochote ambacho kina uso basi na umbile pia lipo, kwa hio Mungu analo umbile, na roho ndani yake. na hapo ndipo lile neno la hakuna aliewahi kuuona uso wa Mungu linapotimia.
 
Back
Top Bottom