Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Mi naona biblia tu inatosha kukupa mwanga jinsi mungu alivyo hasa ukielewa wewe inaelekea hujaielewa

unaweza kudhani umeelewa kumbe kuna mda unakuwa unamkufuru Mungu pia bila kujua kwasabb hiyohiyo ya klutokuelewa. biblia hakuna anaeielewa isipokuwa watu wanaiamini tuu. There is a difference btn understanding and believing.

How can you prove the world that you understand the bible?? For my understanding men do not understand the bible/quran but SWALLOW it, they just copy and paste only!!!!

Ni sawa na elimu yetu ya kikoloni hii, tunamezeshana hatuelimiki. Tunaamini ya kina socrates, pilato, aristotle nk nk... fikra zetu zinapuuzwa na wala ukijaribu kufikiria tofauti unapingwa na kuuliwa ikibidi
 
Umesahau kosa kubwa la 11, ni kukuumba wewe ambaye
umekuja kumkosoa.
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ogomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwani kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwani anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATING THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa....
Tafuta hekima za MUNGU na si kujifanya unamkosoa.
Itajku-cost kijana..
Kwa hali hii " uzima wa milele'' wewe utausikia kwa watu.
 
Kwanza jiulize uzi huu ni kwa masirahi ya nani Mungu au Shetani,then napenda kukuonya acha kushindana na Mungu kwa faida yako na vizazi vyako, Mungu hachunguziki wala kudhihakiwa.
 
We jamaa unanicheke kwel ivi huamini wewe ni mfano wa mungu ndo maaana nkakupa mfano mtoto wako wa kumzaa utatarajia awe jambazi where is the swallow there sifa ya mungu inaanzia kwa kwa mwanadamu mwenyewe
 
Ila i do love philosophy za akina Socrates zina uhai maishani mwetu wewe umegundua nn mpka now just criticism but haona hoja mfano unasema mungu alimuumba shetani kwa kusahau shetani alikua malaika tena mkuu
 
Mungu wetu ni mwema. Kayaweka haya yote ili kumjaribu mwanadam kama kweli anafuata sheria zake. Na ndio maana tuliwekewa Amri kumi. Usimjaribu Mungu bali jitahidi kufuata amri zake kumi ndio utapona na matatizo yote ya dunia hii yetu.
 
Ila i do love philosophy za akina Socrates zina uhai maishani mwetu wewe umegundua nn mpka now just criticism but haona hoja mfano unasema mungu alimuumba shetani kwa kusahau shetani alikua malaika tena mkuu

swali: Je shetani alipokuwa malaika kabla, mungu hakujua ipo cku shetani atamuasi Mungu??? Je shetani alijua ipo siku atamkosea Mungu??? Socrate kiboko mkuu ekessy
 
Ndo mana nkakwambia maishani mwetu ona watu wana tafuta watoto kwa hali na Mali kwa kuamini ni faraja lakin mtoto huyo huyo anakuja kukutukana je ulikua ukiliwaza hilo?
 
ha
Mungu wetu ni mwema. Kayaweka haya yote ili kumjaribu mwanadam kama kweli anafuata sheria zake. Na ndio maana tuliwekewa Amri kumi. Usimjaribu Mungu bali jitahidi kufuata amri zake kumi ndio utapona na matatizo yote ya dunia hii yetu.
hahaa unawezaje kujaribu kitu unachokijua?????? Hvi Mungu aanze kujaribu vitu vyake alivyoviumba na anavijua kabisa vilivyo??? judo2016
 
Ndo mana nkakwambia maishani mwetu ona watu wana tafuta watoto kwa hali na Mali kwa kuamini ni faraja lakin mtoto huyo huyo anakuja kukutukana je ulikua ukiliwaza hilo?

uwezo wa binadamu ni ordinary na wa Mungu ni Extra-ordinary!!!! hauoni tofauti??? ekessy
 
Even you your extra ordinary wengi tu hamjijui kwann kuna baadhi ya watu wanaweza Fanya mambo makubwa you don't know the pass of being extra odinary
 
For example you can practice meditation na ukawa mtu mwingine kabisa
 
Even you your extra ordinary wengi tu hamjijui kwann kuna baadhi ya watu wanaweza Fanya mambo makubwa you don't know the pass of being extra odinary

ahaaaa, nakubaliana naww. sisi tunafanana na Mungu au tupo sawa na Mungu? does extra ordinary we are talking abt the same btn God and mankind?
 
Back
Top Bottom