Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Thanks mkuu, hua ninafikiria pale waheshimiwa sana wachungaji wanapokomalia fungu la 10 huku mishipa imewasimama as if wamezifanyia kazi. Kwamba unamtolea Mungu wakati namuona kabisa Kakobe anainunulia prado mi hua sielewi kwa kweli. Na usipotoa unaonekana muasi, hakuna hata mmoja kati ya wanaokuhukumu anaekumbuka kwamba hilo kanisa analosali nalo lilianzishwa kwa uasi in the sense that mchungaji/askofu aliwahi kua wa kanisa fulani wakashindwana (mara nyingi sababu ya maslahi) na yeye akaanzisha kanisa lake. Mifano iko mingi tu ya watu kujipumbaza na kupumbaza wenzao kwa kisingizio cha Mungu, ifike mahala kijiko kiitwe kijiko tu kama kilivyo. Asilimia kubwa watu wanaenda kwenye nyumba za ibada just to find a place to belong, na wanatoa sadaka ili wajisikie kwamba wamefanya kitu chema walau katika mlima wa vitu vibaya wanavyovifanya.
Wanaotoa fungu la kumi ni wapumbavu sana, yaani kama unamshahara wa 1M kila mwezi utoe 100,000...kwa mwaka 1.2M kuwapelekea hao mamwinyi wanaojiita religious leaders...hivi mwisho wa hizo pesa ni nini??? maana hatujawahi kumwona huyo Mungu anayepelekewa akiwa anafanya shopping Dubai, akiwa anajaza petrol kwenye range yake petrol station...au akiwa supermarket akinunua vitu vya gharama kwajili ya familia yake. Zamani fungu la kumi lilichomwa moto na moshi ukapaa juu ila leo linaingia kwenye a/c zao...imagine 1.2M/year kwa miaka 20 ni 24M, kama anawatu 100 wenye mshahara wa 1M ndani ya miaka 20 anayo 480M kwenye fungu la kumi tu, achana na michango pamoja na sadaka nyingine.Hawasaidii watu zaidi ya kuwanyonya na kuwatisha kwa illusion hell fire...THIS IS BULLSHIT.
 
CHAMITON:
umeongea bonge la point mzee na mi naomba kushindilia kabisa na hii..

"YOU CANT BE FREE IF YOU KEEP ON DOING SOME SLAVERY SHIT."

By, Brill Noel.

Nakuunga mkono! Kama Mungu aliumba Adam na Eva wawili tu weupe wakazaana. Uzao wao ukawa mweupe, sasa sisi waafrika weusi tulitoka wapi? Ukiuliza unaambiwa unakufuru!
Haya Sasa Naona Wafuasi Wa Mleta Thread Wameanza Kupatikana!!
 
Wanaotoa fungu la kumi ni wapumbavu sana, yaani kama unamshahara wa 1M kila mwezi utoe 100,000...kwa mwaka 1.2M kuwapelekea hao mamwinyi wanaojiita religious leaders...hivi mwisho wa hizo pesa ni nini??? maana hatujawahi kumwona huyo Mungu anayepelekewa akiwa anafanya shopping Dubai, akiwa anajaza petrol kwenye range yake petrol station...au akiwa supermarket akinunua vitu vya gharama kwajili ya familia yake. Zamani fungu la kumi lilichomwa moto na moshi ukapaa juu ila leo linaingia kwenye a/c zao...imagine 1.2M/year kwa miaka 20 ni 24M, kama anawatu 100 wenye mshahara wa 1M ndani ya miaka 20 anayo 480M kwenye fungu la kumi tu, achana na michango pamoja na sadaka nyingine.Hawasaidii watu zaidi ya kuwanyonya na kuwatisha kwa illusion hell fire...THIS IS BULLSHIT.
hahhahahaaha laiti ungefunuliwa yaliyofichika usingethubutu hata kuyaongea haya yote someni Biblia acheni kuongea bila mpango ndugu yangu.
 
Nijibu Nn Wakat Qur An Na Bible Vshaeleza N Wew T Ndo Mvivu Kusoma Unataka Majbu Ya Harak Hark Wkt Il Uelew Soma Vtab Vya Din Na C Usome Haya M1 No Maan Elmu Y Dni N Saw N Elimu Nyngne N Lazm Ujfunze Mwanzo Mwsho Ndo Hutaelew, Na Kuw Padr Et Haruhs W2 Kufikir No! Kwan N Yey Ndo Mweny Ksomo Kat Y Weng Hvyo Anawaelimish kama ww unavyohtaj elmu ya dini, ww n mvivu ksma, kasome utaelew,
Kwa heri! Level mbili tofauti kabisa.
 
Mtoa thread, kama upo akilini mwangu nimeshindwa tuu kuwasilisha hoja hapa. Lkin hizi hoja siyo za kupuuza kabisaaaa, wenye nidhamu za woga utawaona wanatetea ujinga tuu. Ukiwa open minded utajua tuu hizi hojaa zina mashiko sana.
mimi japo najua Mungu yupo lkn bado sijui haya anawezaje kunijibu bila jazba wala papara.

lkn kosa lingine ni UDIKTETA- Anajipambanua kama yeye ni mwema, kama yeye ni mwanzo na mwisho. hiki kinanikera sana, kwann awe mwanzo na mwisho mwenyew?

kosa lingine la msingi NI UWEZO WAKE WA KUJUA MAISHA YA VIUMBE ALIVYOVIUMBA KABLA HAJAVIUMBA KUISHI. yaani anakuwa anaijua FUTURE ya mtu kabla hajamuumba. Sasa kwanini akimuumba akimkosea Mungu husema ametenda dhambi wakati alijua kuwa itatokea hivyo?????

Mtu kama unamtetea Mungu jitahidi utimize kwanza sheria zake na mapenzi yake pia. Siyo unatetea hivi kwa unafiki wakati wewe pia matendo yako ni sifuri hufanyi mema.

The only person who can defend God must be glorified and hollified!!!
 
Dhambi zetu ndiyo chanzo cha laana zote sasa Mwenyezi Mungu kosa lake lipi? Wamlaumu kwa makosa ya wenye viburi na tamaa zisizosikia sheria!

Hizo dhambi asili yake wapi???? ziliishi wapi kabla ya kuja kwetu???? Kati ya Mungu na Shetani nani alijua hizi zambi zilikoishi kabla hatujatupiwa kesi????? Majibu plz, usilete uliyokaririshwa hapa. LET YOUR BRAIN THINK come on
 
Rejea kitabu cha mwanzo hayakua matakwa ya mungu kwan kumbuka baada ya kula tunda ndo chanzo cha mambo yote
 
Rejea kitabu cha mwanzo hayakua matakwa ya mungu kwan kumbuka baada ya kula tunda ndo chanzo cha mambo yote

Ukisimamia biblia peke yake utazidi kunyima independent thinking, kwasabb ipo closed imeandikwa kiukatilikatili tuu.

Didn't God know that one day men could commit the sin???? Was even a surprise to God??? Are we really thinking or expressing what others have fed up us??
 
BIG UP MKUU....Huu ni wakati wa kuamka na kufikiri kwajili yetu wenyewe siyo watu wengine wafikiri kwajili yetu!

Afu hawajui tuu, hata Mungu anayaelewa haya yaliyozungumzwa. Na kwakweli Mungu anatufundishaje kusamehe saba mara sabini (bila kikomo) afu yeye anashindwa kumsamehe shetani?
 
Wanaotoa fungu la kumi ni wapumbavu sana, yaani kama unamshahara wa 1M kila mwezi utoe 100,000...kwa mwaka 1.2M kuwapelekea hao mamwinyi wanaojiita religious leaders...hivi mwisho wa hizo pesa ni nini??? maana hatujawahi kumwona huyo Mungu anayepelekewa akiwa anafanya shopping Dubai, akiwa anajaza petrol kwenye range yake petrol station...au akiwa supermarket akinunua vitu vya gharama kwajili ya familia yake. Zamani fungu la kumi lilichomwa moto na moshi ukapaa juu ila leo linaingia kwenye a/c zao...imagine 1.2M/year kwa miaka 20 ni 24M, kama anawatu 100 wenye mshahara wa 1M ndani ya miaka 20 anayo 480M kwenye fungu la kumi tu, achana na michango pamoja na sadaka nyingine.Hawasaidii watu zaidi ya kuwanyonya na kuwatisha kwa illusion hell fire...THIS IS BULLSHIT.

Hahahahaaa mkuu CHAMITON wakoloni na wazungu walituathiri sana na hizi dini. Umenichekesha sana, mimi ndyo maana naona bora nitoe msaada mtaani kwa wahitaji kuliko hko msikitin/kanisan maana itakuwa sawa na kumsaaidia aliyepo kivulini kumpa kivuli wakati ww upo juani. Tulilishwa ujinga na wakoloni kuwa tuwe OBEDIENT kwa Mungu, dini na watumishi hahaaaaaa masikharaaaaa kabisaaaaaaaaaa ili tunyonywe kweupeeeee siyo usiku...hahahaaaaaaaa
 
Aliamini watakua mfano wake coz tunaambiwa sisi ni mfano wake kumbuka hata shetani hakuumbwa alikua malaika ni kama wewe ukazaa mtoto do you expect mtoto wako atakua jambazi? No nadhan umenielewa hapo nmesimamiaje biblia tu
 
Mi naona biblia tu inatosha kukupa mwanga jinsi mungu alivyo hasa ukielewa wewe inaelekea hujaielewa
 
Back
Top Bottom