Dhambi zetu ndiyo chanzo cha laana zote sasa Mwenyezi Mungu kosa lake lipi? Wamlaumu kwa makosa ya wenye viburi na tamaa zisizosikia sheria!
Suala la imani ya uwepo wa Mungu/Miungu linahusiana sana na upungufu wa maarifa kwa binadamu juu ya maisha na kila kilichopo duniani. Pale ambapo binadamu maarifa yalimpungukia na akakosa majibu ya baadhi ya mambo aliamini kuwa kuna kitu mahali kinaweza kuwa na majibu. Zaman hata kupatwa kwa jua au mwezi kulihusishwa na Mungu kwa kuwa hakukuwa na maelezo kutokana na maarifa kuwa finyu. Kadri maarifa na ujuzi unavyopanuka suala hili linapungua nguvu. Maana saiz watu hata wana uwezo wa kufahamu Jua (kama mojawapo ya nyota ndogo tu ndani ya Milky way galaxy) linatoa wapi mwanga na joto lake na kwamba nuclear fusion hiyo inaweza kukoma lini, n.k. Na mifano ya kutengeneza nuclear fusion kama inayotokea juani imeshaonekana hapa duniani bila suala la Mungu au likiumbe likubwa linalokaa sehemu flani kuhusika. Kwahiyo mtoa mada amekuwa mwanafalsafa kiasi ingawa baadhi walioamini na hawapendi kuhoji (kama wewe) watamshambulia.