Duh! We kweli mtambo! Nimesoma tu herufi kubwa!
ameropoka pumba kavu hata punda wangu hamezi zinamkwama koon akhaa ,tumsamehe kabla ya MUNGU.Ungeweka kwanza makosa yako ingekuwa vizuri.
Mungu akurehemu hujui unachokitenda Pole
Duh! We kweli mtambo! Nimesoma tu herufi kubwa!
Yesu rudi uwaokoe watu wako wanaangamia kwa kukosa maarifa
Ngoja nikae pembeni nione mtifuano Wa wajuzi Wa mambo nyie huwaita wanazuoni
Kweli binadamu tunasahau haraka sana.
.............
Ukishiba sana ujue kinachofuata kuvimbiwa
inamtosha mwenyewe akili yake huyoAtakwambia makosa yake ni sehemu ya hayo aliyoyataja hivyo hana makosa!
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ogomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.
2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.
3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.
4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!
5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?
6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?
7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwani kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwani anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?
8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?
9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATING THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.
10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:http://
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?
TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!
===================
Umejitahidi mkuu, umepata 12.5% hongera...marks zako nilizokupa zimepatikana kwa kukiri kuwa hujui....LAKINI NIKUPONGEZE SANAAA UMEJITAHIDI KUJIBU, SIYO SAWA NA BAADHI YA WALAGHAI WALIOJARIBU KUNITISHA NA KUNIHUKUMU...Kuhusu kulalamika kama nisingekuwa na chuchu siyo kwel, mbona sijawahi kulalamika kwa kukosa vitu ambavyo sina???Wakati nasoma huu Uzi wako nilikua nacheka mpaka mbavu zinaniuma.
1. Shetani aliumbwa na Mungu kwa namna ya kipekee sana. Na alikua kiongozi mkuu Wa sifa[Lucifer]
Lakini kiburi kilimpanda akataka kuchukua mamlaka ya Mungu. Ezekiel 28: 16-19
Na Mungu ni mwingi Wa Rehema, hakuweza kumtowesha kabisa, kwa sababu Mungu angeonekana katili wakati hayuko ivo.
2. Mungu hayuko mafichoni, Mungu yupo mahari pote. Hata hapo ulipo Mungu yupo. Mungu ni roho.
Yupo mahali pa siri kwa sababu yeye ni mtakatifu hakai na watu wenye dhambi.
3. Gharika wakati Wa nuhu.
Mungu anachukia uovu [Dhambi] kumbuka Hata sodoma na gomora Mungu aliiangiza, sababu ni uovu Wa watu.
Tofauti tulionayo kizazi hiki ni Neema. Mungu alichofanya ni kumtoa Yesu afe, ili azichukue dhambi zetu. Kupitia Yesu tupate msamaha Wa dhambi.
4. Hapo Mimi sielewi, lakini Ninachoelewa Mungu anafanya atakalo. Na hakuna Wa kuzuia
5. Mungu ametimiza. Ni vizazi vingi vimepita, na hapa huna ushahidi Wa idadi ya watu toka Adam mpaka sasa.
6. Sijui
7. Ni kweli kila alichokifanya Mungu kilikua chema.
Lakini baada tu dhambi kungia ulimwenguni kila kitu kika haribika.
Ndio maana Adam na hawa walipokula matunda mti Wa ujuzi Wa mema na mabaya, Mungu akamwambi hawa, hakika nitakuzidishia uchungu Wa kuzaa kwako. Mwanzo 3:16
Kwa hio tunaishi ktk aridhi ambayo imelaaniwa na Mungu.
Hayo majanga ya tsunami, mafuriko. Ni sehemu ya laana ya aridhi.
8. Hapa nakataa. Hivi viumbe havikuumbwa na Mungu.
Ni aina ya mwanadamu maisha anayoishi husababisha Magonjwa.
Fikiria magonjwa kama ukimwi, cancer, nk. Haya miaka kama 150 iliopita hayakuwepo
9.jehanamu ya moto ipo kwa wewe unaeambiwa usiibe, usizini husikii.
Nakutubu dhambi hutaki.
Mungu ameweka haya makao ili wanaopinga amri zake wakae huko
Ndio mana duniani hapa kuna magereza kwa wale wanaokataa kufuata sheria
Mungu anasamehe. Mangapi unamkosea Mungu bado anakupa nafasi ya kutubu?
Shetani ndio alitakiwa awe mfano kwa malaika wengine, lakini yy ndio aliongoza uasi.
Mungu hana kinyongo, yy ndio anaemiliki na kutawala.
10. Hapa umekufuru ndugu Yangu, umeingilia mamlaka ya uumbaji wa Mungu.
Soma Yohana 9:1-4
Vipofu, viwete zote hizo ni Kazi za Mungu.
Chuchu za kiume??? Daa!! Kweli we ni great thinker.
Mungu alimwuumba MTu kwa mfano wake.
Mwanzo 1:26
Huo ni uumbji Wa Mungu. Na Mungu akaona vote alivyo vifanya ni vyema.
Pia nahis wew ungenyimwa chuchu, ungomhoji Mungu, mbona (Mimi sina chuchu?) Mungu hana upendeleo.
Asante. Akili za Mungu hazichunguziki.
akigeuzwa senene thamani yake itakuwa ya juu sana kwa wahaya...lazima wamgombanie na kumlaSenene Mbona umempendelea maana ni mtamu kushinda nyama
Kama hujuwi we nyamaza!!Hata kama sijui, kuwa makini usije kumwongezea maneno ambayo hakuyatamka.
Unajua mi ni mfia dini, ila jibu lako linanipa ukakasi.Alijua haya yote but he was giving lucifer a chance labda angefanya vyema...mfano ungeambiwa wewe ni wa motoni kabla ya kupewa even a chance to live the life nna imani usingekubaliana na Mungu ndo maana lucifer akapewa fursa akazingua this way atakubali tu eventually kuwa hukumu za Mungu ni sahihi😉
Unajua mi ni mfia dini, ila jibu lako linanipa ukakasi.