Nieleze mara ngapi?
Unajua kusoma?
Kwa kuanzia. Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aliyeumba ulimwengu huu, hayupo.
Hayupo kwa sababu, dhana ya kuwepo kwake ina contradiction.
Contradiction inaonesha Mungu huyo hawezi kuwepo.
Dhana ina contradiction kwa sababu, upande mmoja Mungu ana ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote, lakini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.
Contradiction hii inaonesha Mungu katungwa na watu tu katika hadithi. Hayupo.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.