Na wewe thibitisha kama gari aina ya Toyota zimeundwa!!😁😁😁
Swali lako ni la kijinga kwa namna nyingi sana.
1."Gari aina ya Toyota zimeundwa" ?.
2.Sijawahi kusema gari za Toyota zimeundwa. Unaniambia nithibitishe kitu ambacho sijawahi kusema kipo.
3.Nikiweza au nisipoweza kuthibitisha gari za Toyota zimeundwa, hilo halithibitishi Mungu yupo.
4. Umemlinganisha Mungu wako na gari la Toyota
5. Hujathibitisha Mungu yupo, thibitisha Mungu yupo.[/QUOTE]
Tahadhari:- usitukane kwa sababu ushahidi unainyesha upo mahiri sana katika kutukana kwa sababu ilisomea falsafa ya matusi in the US.
Kwanza unayo tuhuma ya kudanganya umma wa jf, kwamba ulizawadiwa A+ na prof, wako wa falsafa nje ya chumba cha mtihani ulipokuwa unasoma huko The US, ulizawadiwa hiyo credit kwa sababu tu ulimthibitishia huyo prof, kwamba Mungu hayupo na akakuambia kuwa fikra zako ziko juu ya upeo wao na hivyo ukakonga moyo wa huyo prof, na akakuambia usifanye mtihani"
👆🏻Mimi sipendi sana kurejea hilo jambo lakini jambo hilo ulilinathibisha na hoja yako ya kumkana Mungu pale nilipokuuliza kuhusu uthabiti wa hiyo imani yako, kwa maana hiyo napenda watu waone ni kwa namna gani unavyoweza kutumia hila hata za uongo ili kutetea hoja yako!!, na akili ya kawaida tu inasema huwezi kutetea jambo la ukweli katika njia ya uongo, ukweli ni ukweli tu na siku zote unatetewa na ukweli na ni rahisi kutetea ukweli na watu wenye AKILI ni rahisi kujua ukweli na uongo.
Hivyo basi huu ni wasaa wako wa kujisafisha kwanza kutokana na UONGO uliouzua ili upate "cheap popularity" na kudanganya umma kwamba Mungu hayupo wakati kiburi na jeuri uliyonayo ni matumizi mabaya ya vipawa alivyokupa huyo huyo Mungu unayemkana.
Maumbile ya mtu na jinsi mwili wake unavyofanya kazi ni ishara tosha kuwa ipo nafsi "super intelligent" iliyofanya kazi ya kumuumba huyo mtu (through processes) lakini ni wenye deep understanding (wanaoshughulisha akili zao) tu watakaoweza kufahamu lakini sio wale wenye akili za sisimizi wasioweza kuelewa "culculus".😁😁
Nilitoa mfano wa Gari za Toyota nikidhani ninayemuuliza swali atajua Gari za Toyota ni kitu gani kumbe muulizwaji kaona "rigmarole", sasa kama hawezi kujibu swali dogo kama hilo je, mambo yanayohusu Mungu ataweza??!!. Si ataishia kumkana tu!!
Wewe kiri tu uwezo wako wa kumjua Mungu ni finyu ndiyo maana unajaribu kutumia njia hata za UONGO kupotosha ukweli kuhusu kuwepo kwa Mungu, na kukiri udhaifu juu ya jambo si udhaifu bali kujidai huna udhaifu wakati wewe ni dhaifu ndiyo udhaifu pia ujinga bali upumbavu.
Tuambie hiyo A+uliipata vipi ili wenye akili alizotujalia Mungu turidhike ila wale wenye akili finyu watakukubalia na kukupongeza.