Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,466
- 151,501
Falsafa ni haramu kwa sababu inahoji uongo wa kuwepo Mungu.Hawezi kuwa shekhe sababu sisi kwetu falsafa ni haramu.
Na hata wewe hapa mjadala huu kwenu ni haramu pia, kwa sababu una falsafa za kuhoji uwepo wa Mungu.
Mnatakiwa muamini bila kuhoji kwa falsafa, ili msifunguke macho.