Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,902
Soma post za nyuma kidogo tu utaona kati ya mimi na huyo jamaa wako ni nani mwenye mchezo wa kukimbia.Hawezi kukujibu atakimbia hilo swali ngoja uone
Soma post za nyuma kidogo tu utaona kati ya mimi na huyo jamaa wako ni nani mwenye mchezo wa kukimbia.Hawezi kukujibu atakimbia hilo swali ngoja uone
Hata sasa nimekuuliza kama umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo, umelikimbia swali.Soma post za nyuma kidogo tu utaona kati ya mimi na huyo jamaa wako ni nani mwenye mchezo wa kukimbia.
Kama unajua imani ndiyo ipo hivyo,iweje tena umekuruka huko na kutaka uthibitisho kwa kitu kama hicho? Haoni kwamba wewe ndio mwenye tatizo?Hajajibu. Kakataa kutoa uthibitisho.
Nikikwambia nioneshe njia ya kutoka Shule ya Uhuru kwenda Ilala, ukaniambia nisiende Ilala niende Kinondoni, hujanionesha njia ya kutoka Shule ya Uhuru kwenda Ilala.
Usitake kulazimisha mtu aliyeshindwa kunijibu awe kanijibu.
Imani unaruhusiwa kuamini hata mavi yako Mungu.
Ukiamini mavi yako Mungu yanakuwa Mungu?
Kwa sababu imani unaweza kuamini chochote.Kama unajua imani ndiyo ipo hivyo,iweje tena umekuruka huko na kutaka uthibitisho kwa kitu kama hicho? Haoni kwamba wewe ndio mwenye tatizo?
Yeah siwezi,nikisema naweza basi huku kuamini kwangu kutakuwa hakuna maana.Kwa hiyo unakubali huwezi kuthibitisha Mungu yupo?
Huwezi, kwa sababu huyo Mungu unayemuamini hayupo.Yeah siwezi,nikisema naweza basi huku kuamini kwangu kutakuwa hakuna maana.
Ingekuwa tunaamini Mungu kwa uthibitisho basi isingewezekana watu kama nyie kuacha misimamo yenu na kukubali uwepo wa Mungu.Umekubali huwezi kuthibitisha Mungu yupo?
Ni imani ...! Jibu ni jepesi lakini unalazimisha liwe gumuHajajibu. Kakataa kutoa uthibitisho.
Nikikwambia nioneshe njia ya kutoka Shule ya Uhuru kwenda Ilala, ukaniambia nisiende Ilala niende Kinondoni, hujanionesha njia ya kutoka Shule ya Uhuru kwenda Ilala.
Usitake kulazimisha mtu aliyeshindwa kunijibu awe kanijibu.
Imani unaruhusiwa kuamini hata mavi yako Mungu.
Ukiamini mavi yako Mungu yanakuwa Mungu?


Muamini hata mavi unaweza kuamini ni Mungu.Ingekuwa tunaamini Mungu kwa uthibitisho basi isingewezekana watu kama nyie kuacha misimamo yenu na kukubali uwepo wa Mungu.
Imani si lazima iwe ukweli.Ni imani ...! Jibu ni jepesi lakini unalazimisha liwe gumu
Ndio maana unaonekana unataka kuoneshwa Mungu!![]()
Napiga Dua ugeuke uwe nguruweAkiachwa bado haitasaidia kupata majibu ya maswali yake haya 10.Muhimu kutafuta majibu ya haya maswali kwanza.Kama wewe unamwamini na unamjua jibu basi hata baadhi au yote.Sasa nyie binadamu ndio mnamlinda Mungu badala ya kuacha Mungu awalinde nyie.Jibu hoja mkuu sio kumlinda Mungu hata kama ni hoja nzima basi wewe unakataza asihojiwe kwa kusema ni dhihaka.
Waswahili walisema "Dua la kuku halimpati mwewe".Napiga Dua ugeuke uwe nguruwe
ShwainiWaswahili walisema "Dua la kuku halimpati mwewe".
That doesn't change a thing you pathetic moron with half a birdbrain.Shwaini
Kama wewe unaona anayeamini mavi ni mungu ni sawa na anayeamini Mungu ambaye ndiye muumbaji,basi wewe utakuwa na tatizo kubwa na ndiyo maana umeshindwa kuona hata signs za kuwepo Mungu.Kwa sababu imani unaweza kuamini chochote.
Unaweza kuamini hata mavi yako Mungu.
Hakuna shurti la kuthibitisha.
Imani sinlazimaniwe ukweli.
Ukweli unapatikana kwa uthibitisho.
Sasa Mungubwakobwa imanibtu ni sawa na mtu anayeamini mavi ni Mungubwake.
Huna tofauti na mtu anayeamini mavi ni Mungu.
Ukitaka kujitofautusha, thibitisha Mungu wako yupo.
Wewe ni Ibilisi?That doesn't change a thing you pathetic moron with half a birdbrain.
Kama wewe hujaweza kuthibitisha Mungu wako yupo na anayeamini mavi yake ni Mungu naye hajaweza kuthibitisha mavi yake ni Mungu, wote mmeshindwa kuthibitisha mnachosema ni Mungu ni Mungu kweli.Kama wewe unaona unayeamini mavi ni mungu ni sawa na anayeamini Mungu ambaye ndiye muumbaji,basi wewe utakuwa na tatizo kubwa na ndiyo maana umeshindwa kuona hata signs za kuwepo Mungu.
Kama wewe unavyoviamini unaweza kuthibitisha basi sawa.Huwezi, kwa sababu huyo Mungu unayemuamini hayupo.
Ibilisi ni nini? Unaweza kumthibitisha yupo?Wewe ni Ibilisi?
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.Kama wewe unavyoviamini unaweza kuthibitisha basi sawa.