Astronomer The Great
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 978
- 576
Sawa wasalimie.
"WA IDHAA JAA AKA LADHIYIINS YU-UH MINUUNA BII AYATIINA FAQUL SALAM ALEYKUM"
"Na wanapokujia wanaoziamini ishara zetu waambie,Amani iwe juu yenu" Al anaam 6:54
Sawa wasalimie.
Kaka wewe ndio huujui muda. Kabla sijajibu swali lako,nataka ukiri ya kuwa wewe na wa mfano wako ndio huujui muda.Labda nukuulize unajua kama mpaka sasa hakuna anaejua muda?
Ngoja nikuthibitishie hilo leo siku gani na tarehe ngapi?
Bro nilikukanya kuhusu huu mtindo wa kuandika aya za Qur'an kinyume na asili yake,jambo hili lina chukiza sana na linaondoa asili bali hata maana ya aya."WA IDHAA JAA AKA LADHIYIINS YU-UH MINUUNA BII AYATIINA FAQUL SALAM ALEYKUM"
"Na wanapokujia wanaoziamini ishara zetu waambie,Amani iwe juu yenu" Al anaam 6:54
Bro unanipa simanzi sana. Unanukuu aya halafu unasema hakuna anae jua MUDA ?"WA IDHAA JAA AKA LADHIYIINS YU-UH MINUUNA BII AYATIINA FAQUL SALAM ALEYKUM"
"Na wanapokujia wanaoziamini ishara zetu waambie,Amani iwe juu yenu" Al anaam 6:54
Ok sawa."WA IDHAA JAA AKA LADHIYIINS YU-UH MINUUNA BII AYATIINA FAQUL SALAM ALEYKUM"
"Na wanapokujia wanaoziamini ishara zetu waambie,Amani iwe juu yenu" Al anaam 6:54
Wewe binafsi unaamini Allah yupo??
Kwanza lazima ujue kuwa Mungu hatumuoni kwa macho baliThibitisha Mungu yupo.
Kwanza lazima ujue kuwa Mungu hatumuoni kwa macho bali
tunamfahamu kwa akili zetu katika
kuchunguza dalili mbali mbali
zilizotuzunguka.
Kingine matumizi ya kwanza ya akili
tulizotunukiwa ni kuyakinisha kuwepo kwa
Muumba na sifa zake. Msisitizo wa
matumizi ya akili na fikra zetu katika kazi
hii ya kumjua Mungu na sifa zake kwa mujibu wa uislam kupitia Qurani unabainishwa katika aya zifuatazo:
"Na katika ishara zake, (za kuthibitisha
kuwepo kwake na uweza wake) ni kuwa
amekuumbieni wake zenu katika jinsi yenu
ili mpate utulivu kutoka kwao, naye
amejaalia mapenzi na huruma baina yenu.
Bila shaka katika haya zimo ishara kwa
watu wanaofahamu" (30:21)
"Na katika
ishara zake (za kuonyesha uwezo wake) ni
kuumba mbingu na ardhi na kuhitalifiana
lugha zenu na rangi zenu na (mengine
yenu na hali ya kuwa muumbaji ndiye huyo
huyo mmoja). Kwa yakini katika haya zimo
ishara kwa wenye ujuzi". (30:22).
"Na
katika ishara zake ni kulala kwenu usiku na
(kuamka) mchana, na kutafuta kwenu
fadhila yake. Hakika katika hayo zimo
ishara kwa watu wanaosikia." (30:23)
"Katika kuumbwa mbingu na ardhi na
mfuatano wa usiku na mchana ziko hoja
(za kuonyesha kuwepo Mwenyezi Mungu ) kwa wenye akili". (3:190).
Pia Na katika watu na wanyama wanaotambaa
na wanyama (wengine), pia rangi zao ni
mbali mbali, kwa hakika wanaomcha Allah
miongoni mwa waja Wake ni wale
wataalamu (wanazuoni).
Mkuu Tumia Lugha ya Kiswahili .Alas, why quoting the Qur'anic verses for an agnostic atheist to ponder over them??
He consistently denies His (God) existence how can he then incline to His words??
The only thing,I suppose, he should be made to understand is the surrounding nature and its embodiments including himself, he needs be made conscious of himself as the most complex being to ever be made-------- be made by WHO?? , Can his complexity just came into being be a chance??, is the whole creation the game of chance or the game of chess?? and etc.
Mkuu Tumia Lugha ya Kiswahili .
Kwanza lazima ujue kuwa Mungu hatumuoni kwa macho bali
tunamfahamu kwa akili zetu katika
kuchunguza dalili mbali mbali
zilizotuzunguka..
Kingine matumizi ya kwanza ya akili
tulizotunukiwa ni kuyakinisha kuwepo kwa
Muumba na sifa zake. Msisitizo wa
matumizi ya akili na fikra zetu katika kazi
hii ya kumjua Mungu na sifa zake kwa mujibu wa uislam kupitia Qurani unabainishwa katika aya zifuatazo:.
"Na katika ishara zake, (za kuthibitisha
kuwepo kwake na uweza wake) ni kuwa
amekuumbieni wake zenu katika jinsi yenu
ili mpate utulivu kutoka kwao, naye
amejaalia mapenzi na huruma baina yenu.
Bila shaka katika haya zimo ishara kwa
watu wanaofahamu" (30:21).
"Na katika
ishara zake (za kuonyesha uwezo wake) ni
kuumba mbingu na ardhi na kuhitalifiana
lugha zenu na rangi zenu na (mengine
yenu na hali ya kuwa muumbaji ndiye huyo
huyo mmoja). Kwa yakini katika haya zimo
ishara kwa wenye ujuzi". (30:22)..
"Na
katika ishara zake ni kulala kwenu usiku na
(kuamka) mchana, na kutafuta kwenu
fadhila yake. Hakika katika hayo zimo
ishara kwa watu wanaosikia." (30:23)
"Katika kuumbwa mbingu na ardhi na
mfuatano wa usiku na mchana ziko hoja
(za kuonyesha kuwepo Mwenyezi Mungu ) kwa wenye akili". (3:190)..
Pia Na katika watu na wanyama wanaotambaa
na wanyama (wengine), pia rangi zao ni
mbali mbali, kwa hakika wanaomcha Allah
miongoni mwa waja Wake ni wale
wataalamu (wanazuoni).
Wewe umejuaje makosa wakati umeshindwa kutengeneza hata kimoja wapo hapo1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.
2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.
3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.
4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!
5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?
6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?
7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?
8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?
9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.
10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?
TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!
===================
Hapa hujathibitisha Mungu yupo, umeandika tu Mungu hatumuoni.
Sijaomba unioneshe Mungu kwa macho, nimekutaka uthibitishe Mungu yupo.
Hapa umefanya tamko ambalo halijatakiwa na wala halina sababu, kwa kuwa hakuna chochote nilichoandika kilichotaka unioneshe Mungu, kwa kifupi, umeandika kitu irrelevant.
Kama ungepewa idadi maalum ya maneno ya kutumia kunithibitishia Mungu yupo, ungeipunguza idadi hiyo kwa maneno hayo 19 ya juu bila sababu.
.
Hii ni abracadabra tu, matumizi ya kwanza ya akili ni yapi? Unayajuaje haya ni ya kwanza? Unatumia nini kujua matumizi ya kwanza ya akili? Yanayakinishaje kuwepo kwa Mungu na sifa zake? Sifa gani? Unajuaje yanayakinisha kuwepo kwa Mungu tu na si kitu kingine chochote?
Qquran ina contradictions kibao, unajua hilo? Unajua kwamba kitabu kilichojaa contradictions hakiwezi kuangaliwa kama kitabu kinachoweza kutuambia ukweli kuhusu uwepo wa Mungu?
Hujathibitisha Mungu yupo, unahubiri kutoka kitabu kilichojaa uongo na contradictions.
Huu si uthibitisho kwamba Mungu yupo, unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Nina shaka kama hata unaelewa uthibitisho ni nini.
Allah angekuwepo asingewanyima wanayama akili za kujua mambo mengi, wakafanywa watumwa wa watu.
Wwanyama kuwa hivyo si haki, Mungu wa haki asingeumba hivyo.
Kuwepo kwa tofauti hii ni uthibitisho kwamba Allah hayupo, ni hadithi tu.
Bro hivi uthibitisho kwako wewe ni nini ? Yaani ili mtu akuthibitishie jambo au suala fulani inabidi atimize vigezo gani ?
Mimi nina jua uthibitisho ni nini. Ila nataka wewe useme ili ukithibitishiwa usilete talbisi za ibilisi.
Ndio maana kule nilikuwekea masharti ili tuende sawa.
Ndugu jipe muda angalao dakika moja kuwaza wakati mgumu waliopitia watu waliozama na kivuko huko Ziwa Victoria. Hakuna Mungu mkatili kiasi hicho. Eti tunasema ni mapenzi ya Mungu. Dhana ya Mungu ni ukomo tu wa kufikiri. Hakuna kitu Mungu ndugu, ni dhana inayowakilisha fikra za watu tu.Mola ametuumba kwa hiyari na uone ni jinsi gani huruma ya Mola kwa waja wake ni kamili,leo watu wanamtukana na kumdhihaki lakini anawapa rizki na mfano wake.
Huu wote ni kuthibtisha uwepo wake na ukamilifu wake katika sifa zake.
Kaka mwanadamu ni mwingi wa kusahau ndio maana akaitwa Insaani anakufuru neema za Mola wake. Allah aliyejuu ana mpa muda huenda ipo siku akamkumbuka.
Ikiwa watu wanazaliwa wakiwa wajinga, kosa ni la nani? Muumbaji, siyo? Kwa hivyo yeye ndiye atakuwa na ujinga kwa kushindwa kutumia uwezo wake kuumba watu werevu. Simple logic.Mkuu Baba Swalehe.
Hata mimi nakuunga mkono unaposema kuwa Mungu yupo, lakini unaposema kwamba kuna watu wanaozaliwa wakiwa wajinga hapo sikuelewi hata kidogo,je waweza kufafanua hapo ??!!.
Elimu ni bahari
![]()
Inakuwa ngumu mtu kukuelewa mkuu ikiwa hujavunja hoja za misingi ya hiyo dhana,ukiishia tu kupinga yale yenye kuelezwa kuhusu Mungu bila kupinga msingi wenyewe wa hiyo dhana inakuwa sawa na bure.Ndugu jipe muda angalao dakika moja kuwaza wakati mgumu waliopitia watu waliozama na kivuko huko Ziwa Victoria. Hakuna Mungu mkatili kiasi hicho. Eti tunasema ni mapenzi ya Mungu. Dhana ya Mungu ni ukomo tu wa kufikiri. Hakuna kitu Mungu ndugu, ni dhana inayowakilisha fikra za watu tu.
Mungu anayesujudiwa hapaswi kuwa mkatili namna hiyo. Watu 200 wanakufa kwenye ajali ya ndege. Is God doing organised deaths to save time? Haiingii akilini. Hakuna kitu Mungu ambacho watu wanajenga picha kipo mahali fulani kinaratibu maisha ya kila kiumbe. Hakuna. Ni kwa kuwa tu tumejipa ukomo wa kufikiri.
Ndugu jipe muda angalao dakika moja kuwaza wakati mgumu waliopitia watu waliozama na kivuko huko Ziwa Victoria. Hakuna Mungu mkatili kiasi hicho. Eti tunasema ni mapenzi ya Mungu. Dhana ya Mungu ni ukomo tu wa kufikiri. Hakuna kitu Mungu ndugu, ni dhana inayowakilisha fikra za watu tu.
Mungu anayesujudiwa hapaswi kuwa mkatili namna hiyo. Watu 200 wanakufa kwenye ajali ya ndege. Is God doing organised deaths to save time? Haiingii akilini. Hakuna kitu Mungu ambacho watu wanajenga picha kipo mahali fulani kinaratibu maisha ya kila kiumbe. Hakuna. Ni kwa kuwa tu tumejipa ukomo wa kufikiri.
Umesema kwanza awali uthibitisho lazima uweze kupimika,lakini hujasema ni ipi mizani ya kuipima hiyo ithibati.Unarudia rudia tu maswali yale yale, tushajadili haya.
Awali kabisa, uthibitisho ni lazima uweze kupimika. Usipoweza kupimika hauwezi kuwa uthibitisho.
Pili, uthibitisho ni lazima uwe logically consistent. Sio uthibitisho hauna logical consistency. Sio nakuuliza kuthibitisha kwa njia inayoweza kuwa falsified, wewe unahubiri kwa ushairi vague ambao hausemi lolote linaloweza kuwa fasified.
Tatu, uthibitisho ni lazima usiwe self contradictory, usiwe na elements zinazojipinga zenyewe. Sio tunathibitisha wewe umeoa, unaniambia umeoa, halafu hapo hapo unniambia wewe ni bachelor huna mke.This is a special case of lacking logical consistency.
Nne, uthibitisho ni lazima uweze kutabiri vitu specific, kwamba vitatokea mbeleni, katika muda specificna realistic, kwa namna specific,vinayoweza kupimwa, katika maisha yetu haya na si habari za baada ya kufa ambako hatujui hata kama tutaweza kupima chochote.
Tano, uthibitisho ni lazima uwe na ushahidi usiopingika kimantiki katika fremu yenye kukubalika na pande zote. Sio unathibitisha mambo kwa mistari ya Quran, wakati Quran yenyewe kwangu ni kitabu chenye makosa mengi sana ya kujipinga chenyewe.
Hayo ni machache tu kwa sas.