Kwani FA ana elimu gani? Diploma ya IFM pale? Na masters feki ya UK? Si bora Bashite alikaa muccobs akakusanya makarai yakeBashite hajasoma, FA kasoma shule, lazima wazinguane. Shida Bashite mazuri waga ni yake tuu,, mabaya ya wenzake....
Nchi ikikosa muongozo wa katiba na sheria huwezi kuwa umenyooka. You gonna die easily!Hebu tuacheni hizi sarakasi za uchonhanishi kuwajengea bifu, waziri na naiba wake, japo ni kweli ikitokea mtu una akili kubwa kama mwana FA, ukaletewa akili ndogo kuwa bosi wako, lazima tuu uwe mdogo ili bosi asijione unamdharau, siku zote NW anasaidia pale Waziri hayupo, hawawi pamoja kama rais na makamo.
Mwana FA atulie too, Konda Boy hapo yupo kwa mpito tuu, alipoteuliwa tuu, niliwauliza waandishi wenzangu
Kwa vile jinai hainaga ukomo,na msingi mkuu wa tasnia yetu is to tell nothing but the truth,baada ya Mhe. PCM kuteuliwa kuwa waziri wetu,na kwasababu ana tuhuma 5 za kijinai,none was ever investigated,Je tumpokee kwa kumfanyia hizi IJ
1. Tuhuma za jina DAB
2. Tuhuma za kuhonga waandishi wa Cloud TV to concoct sex scandal kumchafua Askofu alietoa tuhuma za DAB
3. Baada ya Ruge kuzuia hiyo movie isirushwe alivamia Clouds to recover his movie
4. Anadaiwa kupanga na kusimamia utekelezaji wa pyu pyu za TAL pale Dodoma
5. Anatuhuma za uhalifu dhidi ya binadamu hivyo amezuiliwa kuingia US.
Media tuna wajibu kumsafisha, au kwa vile sasa ni waziri wetu, tufumbe macho, tuendelee naye as if nothing happened because he is now our boss and the boss is always right?.
Sikumbuki nilijibiwa nini, ila... Kiukweli kabisa bado tuna media oga, baadhi ya waandishi waoga, na baadhi ya Wahariri waoga kama kunguru!. Kama media ya Tanzania hatutaacha uoga, tukasimama na ukweli na ethics, tukaanza calling a spade a spade, our media will never be the fourth estate!
P
Hebu tuacheni hizi sarakasi za uchonhanishi kuwajengea bifu, waziri na naiba wake, japo ni kweli ikitokea mtu una akili kubwa kama mwana FA, ukaletewa akili ndogo kuwa bosi wako, lazima tuu uwe mdogo ili bosi asijione unamdharau, siku zote NW anasaidia pale Waziri hayupo, hawawi pamoja kama rais na makamo.
Mwana FA atulie too, Konda Boy hapo yupo kwa mpito tuu, alipoteuliwa tuu, niliwauliza waandishi wenzangu
Kwa vile jinai hainaga ukomo,na msingi mkuu wa tasnia yetu is to tell nothing but the truth,baada ya Mhe. PCM kuteuliwa kuwa waziri wetu,na kwasababu ana tuhuma 5 za kijinai,none was ever investigated,Je tumpokee kwa kumfanyia hizi IJ
1. Tuhuma za jina DAB
2. Tuhuma za kuhonga waandishi wa Cloud TV to concoct sex scandal kumchafua Askofu alietoa tuhuma za DAB
3. Baada ya Ruge kuzuia hiyo movie isirushwe alivamia Clouds to recover his movie
4. Anadaiwa kupanga na kusimamia utekelezaji wa pyu pyu za TAL pale Dodoma
5. Anatuhuma za uhalifu dhidi ya binadamu hivyo amezuiliwa kuingia US.
Media tuna wajibu kumsafisha, au kwa vile sasa ni waziri wetu, tufumbe macho, tuendelee naye as if nothing happened because he is now our boss and the boss is always right?.
Sikumbuki nilijibiwa nini, ila... Kiukweli kabisa bado tuna media oga, baadhi ya waandishi waoga, na baadhi ya Wahariri waoga kama kunguru!. Kama media ya Tanzania hatutaacha uoga, tukasimama na ukweli na ethics, tukaanza calling a spade a spade, our media will never be the fourth estate!
P
Kwani FA ana elimu gani? Diploma ya IFM pale? Na masters feki ya UK? Si bora Bashite alikaa muccobs akakusanya makarai yake
Hapa tulipigwa mno. Zile bil.32 za ukarabati wa uwanja wa Mkapa mh!Ujenzi wa viwanja vya michezo na ukarabati.
Makonda na Gambo ni aina ya watu ambao hawafai hata kidogo kufanya nao kazi. They’re petty tyrants, na fitina kwao siyo mwiko!Ni kama figisu zimeanza.
Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani.
Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote.
Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye waziri na katibu mkuu wake, Naibu anaachiwa akutane na watu wa Cosota 😂
Uzuri hata mkubwa wao analijua hilo na akawachimba biti ila sasa ndio Makonda akiamua jambo lake ni kama hakuna wa kumzuia.
Anyway, ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia.
Konda Boy ni mpakwa mafuta wa Bwana, hizo ndumba zitadunda, ila sio kila mtu wa Tanga ni mtu wa ndumba, Mwana FA ni mtoto wa kishua, mtoto wa maeneo ya kishua Upanga ndumba na Upanga wapi na wapi?.Mwana FA ni mtu wa ndumba Sana lazima atamwendea kwa wazee kule Tanga wafanye kitu.
Kwani wapakwa mafuta ni malaika?, kama Adam na Eva wameumbwa na Mungu mwenyewe, wakakazwa kula tunda, na wakala, itakuwa mpaka mafuta?Leo uliyemnadi kama mpakwa mafuta unamuanika hivi jamvini...
" Ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia"
Mshapatana au bdao?" Ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia"
Mwisho wa kunukuu