Mwenye akili n threat kwa mpumbavu, muhimu kujua hilo
Kama hadi wewe unamsema DAB, kweli jamaa atakuwa na damu ya kunguni. Waandishi wa habari mnataka mkae na waziri ili mwende sawa😀😭!!Naunga mkono hoja, huwezi kumkosoa msaidizi wako kivile, uzuri mwana FA ni mtoto wa mjini kazaliwa mjini, kasoma mjini, ameishi mjini ile mitaa ya kishua ya Upanga, bosi wake kazaliwa bushi, kasoma bushi ndipo akaingia mjini, atakayeondoka hapo ni boss, mimi namuona kama atakwenda MHA, yule dogo wa pale kule anazengua, yeye ndio aletwe habari maana anazimikia sana wasanii!, watu wanapotea, PT Tanzania wanashindwa kufanya lolote, sijamuona waziri akikaa na makamanda kusemezana nao tatizo ni nini, kila uchao ni yeye na wasanii!.
P
Naunga mkono hoja, huwezi kumkosoa msaidizi wako kivile, uzuri mwana FA ni mtoto wa mjini kazaliwa mjini, kasoma mjini, ameishi mjini ile mitaa ya kishua ya Upanga, bosi wake kazaliwa bushi, kasoma bushi ndipo akaingia mjini, atakayeondoka hapo ni boss, mimi namuona kama atakwenda MHA, yule dogo wa pale kule anazengua, yeye ndio aletwe habari maana anazimikia sana wasanii!, watu wanapotea, PT Tanzania wanashindwa kufanya lolote, sijamuona waziri akikaa na makamanda kusemezana nao tatizo ni nini, kila uchao ni yeye na wasanii!.
P
Bosi wake ni mpakwa mafuta wa Bwana, analindwa kwa damu ya Yesu, hivyo huo utakuwa mpambano utakuwa wa nani zaidi kati ya nguvu za mwanga na nguvu za giza!.MWANAFA ni mtoto wa Tanga Uchawi ulipozaliwa asipodondoshwa mtu Mwaka huu...sijui.
Yetu Tusubiri, Wazee wa Muheza hawatokubali Kijana wao atemwe kijinga jinga watafanya jambo lazima tu
Hapa hatumzungumzii DAB huyo ni fictitious being, hapa ni tunamzungumzia bosi wetu PCM na sio tunamsema, kumsema ni mambo ya umbea, hapa tunamzungumzia!.Kama hadi wewe unamsema DAB, kweli jamaa atakuwa na damu ya kunguni. Waandishi wa habari mnataka mkae na waziri ili mwende sawa😀😭!!
Kila waziri akiteuliwa mahali, ili afanikiwe ni lazima akae na wadau wake, awape vision yake anataka kuipeleka vipi tasnia katika kipindi chake.Tasnia yenu bila kukaa na waziri haiendi? Sawa mnayoitaka ni ipi? Muwe mnafumbia macho habari za serikali kwa kuwa mmepewa bahasha kwenye kikao cha kuwekana sawa??
Hivi watu wa mpira wa chandimu hawana umuhimu kama walivyo wanahabari kwenye wizara hii!?Kama ni kweli, then dogo anaondoshwa pale, ila kwa maoni yako, mtu wa kuondolewa pale ni yeye, amepwaya sana kuvaa viatu vya Nape, huwezi amini toka ameteuliwa, watu wa kwanza aliopaswa kukutana nao na kukaa nao kwa kikao kazi ni wana tasnia ya habari!, hajawahi kukaa nasi kusemezana nasi ukiondoa events za kihabari ambazo yeye ni mgeni rasmi.
Lazima akae nasi kutupa perspective yake ili twende pamoja, yeye toka ameingia ni yeye na ma contents creators badala ya wana tasnia ya habari, hii wizara ni ya habari, ma contents creators wizara yao ni ya mawasiliano chini ya TCRA, sio kila contents ni habari, lakini kila habari ni contents.
P
Bashite anategemea zile picha zake alizovujisha na za #1 kujitengenezea uhalali wa kusema chochote na hakuna wa kumhoji hasa huyo mteuzi. Huyu si wanamchekea? basi hebu wamfanye kitu muone jinsi atakavyo hara na kuchafua ukumbi! Bashite anaishi mbele ya muda kwa kutengeneza miskando kisha ana ku blackmail. Muulizeni mtoto wa Moses N. na wa Yusuph M jinsi walivyokuwa Blackmailed.Ni kama figisu zimeanza.
Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani.
Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote.
Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye waziri na katibu mkuu wake, Naibu anaachiwa akutane na watu wa Cosota 😂
Uzuri hata mkubwa wao analijua hilo na akawachimba biti ila sasa ndio Makonda akiamua jambo lake ni kama hakuna wa kumzuia.
Anyway, ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia.
Yeah yule dogo mwingine ameishiwa ubunifu kabisa akili yake ndio imeishia paleNaunga mkono hoja, huwezi kumkosoa msaidizi wako kivile, uzuri mwana FA ni mtoto wa mjini kazaliwa mjini, kasoma mjini, ameishi mjini ile mitaa ya kishua ya Upanga, bosi wake kazaliwa bushi, kasoma bushi ndipo akaingia mjini, atakayeondoka hapo ni boss, mimi namuona kama atakwenda MHA, yule dogo wa pale kule anazengua, yeye ndio aletwe habari maana anazimikia sana wasanii!, watu wanapotea, PT Tanzania wanashindwa kufanya lolote, sijamuona waziri akikaa na makamanda kusemezana nao tatizo ni nini, kila uchao ni yeye na wasanii!.
P
Duh kumbe jamaa ni Mafia anajua kufosi mambo.Bashite anategemea zile picha zake alizovujisha na za #1 kujitengenezea uhalali wa kusema chochote na hakuna wa kumhoji hasa huyo mteuzi. Huyu si wanamchekea? basi hebu wamfanye kitu muone jinsi atakavyo hara na kuchafua ukumbi! Bashite anaishi mbele ya muda kwa kutengeneza miskando kisha ana ku blackmail. Muulizeni mtoto wa Moses N. na wa Yusuph M jinsi walivyokuwa Blackmailed.
Ni kuwa tu Jiwe alikuwa alishamstukia mapema na kumtosa pamoja na kufikiriwa yeye ni mshamba, lakini kumbe wa pwani ndio washamba zaidi kwani wao ni wajanja kwenye mipasho tuu na nahau.
Wale jama Wana UGANGA kinoma siku kuku ALIPO katwa kichwa gafla na kuachiwaKuna nyimbo MwanaFA ametoa unaitwa Baraka Nyingi na Kuna mstari Mmoja upo kwenye huo wimbo unasema SIKUHIZI SIFUMBUI MDOMO, SO SIINGIZI SHOTI...na pia kwenye huo huo wimbo Kuna mstari unasema THESE MOTHER****S NEVER LOVED US.
Hii nyimbo ni kama Ujumbe kwa Boss wake ni kijembe Fulani...na Ile Chorus ya USINIPIME UTAVUNJA HUO MZANI...Ina maana MGUSE AKIWASHE NA MWANAFA ni mtoto wa Tanga Uchawi ulipozaliwa asipodondoshwa mtu Mwaka huu...sijui.
Yetu Tusubiri, Wazee wa Muheza hawatokubali Kijana wao atemwe kijinga jinga watafanya jambo lazima tu
Hizi nazo ni voices from within?Naunga mkono hoja, huwezi kumkosoa msaidizi wako kivile, uzuri mwana FA ni mtoto wa mjini kazaliwa mjini, kasoma mjini, ameishi mjini ile mitaa ya kishua ya Upanga, bosi wake kazaliwa bushi, kasoma bushi ndipo akaingia mjini, atakayeondoka hapo ni boss, mimi namuona kama atakwenda MHA, yule dogo wa pale kule anazengua, yeye ndio aletwe habari maana anazimikia sana wasanii!, watu wanapotea, PT Tanzania wanashindwa kufanya lolote, sijamuona waziri akikaa na makamanda kusemezana nao tatizo ni nini, kila uchao ni yeye na wasanii!.
P
Wale jama Wana UGANGA kinoma siku kuku ALIPO katwa kichwa gafla na kuachiwa
Alilala Chali Huku amelalia mgongo hii DUNIA imebeba mengi
Hapana, voices from within ya Makonda ilikuwa hii Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam na hii Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... na hii Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje MwanamkeHizi nazo ni voices from within?
Kiongozi ni nguvu za Giza tu kupambana nani concord zaidi maana kwenye siasa hakuna nguvu ya mwanga, kwamba Bashite analindwa na Yesu??Bosi wake ni mpakwa mafuta wa Bwana, analindwa kwa damu ya Yesu, hivyo huo utakuwa mpambano utakuwa wa nani zaidi kati ya nguvu za mwanga na nguvu za giza!.
Najua unajua nani atashinda!, dogo anang'oka!.
P
Kuna nyimbo MwanaFA ametoa unaitwa Baraka Nyingi na Kuna mstari Mmoja upo kwenye huo wimbo unasema SIKUHIZI SIFUMBUI MDOMO, SO SIINGIZI SHOTI...na pia kwenye huo huo wimbo Kuna mstari unasema THESE MOTHER****S NEVER LOVED US.
Hii nyimbo ni kama Ujumbe kwa Boss wake ni kijembe Fulani...na Ile Chorus ya USINIPIME UTAVUNJA HUO MZANI...Ina maana MGUSE AKIWASHE NA MWANAFA ni mtoto wa Tanga Uchawi ulipozaliwa asipodondoshwa mtu Mwaka huu...sijui.
Yetu Tusubiri, Wazee wa Muheza hawatokubali Kijana wao atemwe kijinga jinga watafanya jambo lazima tu
Haya majitu cjui yamechanjia wapi, Mungu atustiri! ni kama Taifa Zima liko chini ya zindiko.. Yale ma mwenge hua yana nini? Watu wa ajabu kina bashite, baba levo, meneja wa diamond wanakuaje viongoziWale jama Wana UGANGA kinoma siku kuku ALIPO katwa kichwa gafla na kuachiwa
Alilala Chali Huku amelalia mgongo hii DUNIA imebeba mengi
Mimi na kaka ni role model wangu yupo 55 nowHaya majitu cjui yamechanjia wapi, Mungu atustiri! ni kama Taifa Zima liko chini ya zindiko.. Yale ma mwenge hua yana nini? Watu wa ajabu kina bashite, baba levo, meneja wa diamond wanakuaje viongozi
Acha Mimi ni mkristo ila siamini uganga Wala uchawiMbona mwenyewe nimeogopa