Makonda ni kama hamtaki Mwana FA pale Wizarani

Ni kama figisu zimeanza.

Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani.

Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote.

Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye waziri na katibu mkuu wake, Naibu anaachiwa akutane na watu wa Cosota 😂

Uzuri hata mkubwa wao analijua hilo na akawachimba biti ila sasa ndio Makonda akiamua jambo lake ni kama hakuna wa kumzuia.

Anyway, ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia.
Wizarani kunachemka.
 
Bosi wake ni mpakwa mafuta wa Bwana, analindwa kwa damu ya Yesu, hivyo huo utakuwa mpambano utakuwa wa nani zaidi kati ya nguvu za mwanga na nguvu za giza!.
Najua unajua nani atashinda!, dogo anang'oka!.
P
Mnadogosha sana neno "mpakwa mafuta wa Bwana". Nadhani ingetosha tu kuishia kusema "ni mpakwa mafuta" wakulungwa wangeelewa
 
Ukisema mpakwa mafuta tuu bila kusema wa Bwana, sio wote wataelewa kasababu siku hizi, kuna wapaka mafuta wengi!, kuna mafuta ya kwa Mwamposa, kuna mafuta ya Kuhani Musa, sisi Wakatoliki tuna mafuta ya Krisma, mgonjwa akipakwa kabla hajafa, anakuwa amepewa sakrament ya upako mtakatifu, anafutiwa dhambi zake zote na kwenda mbinguni straight.
Hivyo ni muhimu kusema kabisa Mpakwa mafuta wa Bwana.
P
 
Kiongozi ni nguvu za Giza tu kupambana nani concord zaidi maana kwenye siasa hakuna nguvu ya mwanga, kwamba Bashite analindwa na Yesu??
Wewe Achineme, Archnemesis 2-0 , utakuwa huijui Bible, kuna viongozi wanakuwa wamepata upako wa uongozi kutoka kwa Bwana, hao wanakuwa ni wapakwa mafuta wa Bwana, ila pia na shetani nae pia anakuwa na mafuta yake anawapaka wale wa kwake!.
P
 
Ni kama figisu zimeanza.

Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani.

Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote.

Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye waziri na katibu mkuu wake, Naibu anaachiwa akutane na watu wa Cosota 😂

Uzuri hata mkubwa wao analijua hilo na akawachimba biti ila sasa ndio Makonda akiamua jambo lake ni kama hakuna wa kumzuia.

Anyway, ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia.
Makonda na Msigwa tabia zao zinafanana.Mama analijua hilo cjui ni sababu zipi zilimfanya kumteua awe pamoja na mwanaFA.ni kumdhalilisha kijana wa watu.sababu kaingia kwenye mfumo huo mchafu basi hana namna.kiuhalisia Makonda na mwana FA hawako pamoja.basi tu waachie wenyewe waparuane.
 
Wewe Achineme, Archnemesis 2-0 , utakuwa huijui Bible, kuna viongozi wanakuwa wamepata upako wa uongozi kutoka kwa Bwana, hao wanakuwa ni wapakwa mafuta wa Bwana, ila pia na shetani nae pia anakuwa na mafuta yake anawapaka wale wa kwake!.
P
Ni kweli siijui bible Mkuu, unaweza nipa dalili au facts za kusema Makonda amepata upako wa bwana? Ulifikaje hii conclusion?
 
Wewe Achineme, Archnemesis 2-0 , utakuwa huijui Bible, kuna viongozi wanakuwa wamepata upako wa uongozi kutoka kwa Bwana, hao wanakuwa ni wapakwa mafuta wa Bwana, ila pia na shetani nae pia anakuwa na mafuta yake anawapaka wale wa kwake!.
P
Hapo mwisho umemalizia vizuri, ndiomaana nikakushauri useme tu "mpakwa mafuta". Hata Baby care na yale mengine ya kwenye vichupa vidogo vya mnara yaliyopata umaarufu siku za karibuni nayo ni mafuta na watu wanapakwa
 
Back
Top Bottom