Makonda ni kama hamtaki Mwana FA pale Wizarani

Najua nachosema. Mimi niko kitengoni tena jikoni yote yanayoendelea nchini nayafahamu na kuwa briefed kila siku.
Wanaotengeneza chuki na fitina mpaka tunaanza kuuana walisema maneno haya haya kwamba wana uhakika na kile wanachokisema.

Sio haki kwa hao wasioweza kujitetea lakini kila kukicha wanasoma mitandaoni tuhuma zenye kuwahusu.
 
Ni kama figisu zimeanza.

Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani.

Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote.

Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye waziri na katibu mkuu wake, Naibu anaachiwa akutane na watu wa Cosota 😂

Uzuri hata mkubwa wao analijua hilo na akawachimba biti ila sasa ndio Makonda akiamua jambo lake ni kama hakuna wa kumzuia.

Anyway, ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia.
Wote wapumbavu.

Kwahiyo tufanyeje??
 
Hebu tuacheni hizi sarakasi za uchonhanishi kuwajengea bifu, waziri na naiba wake, japo ni kweli ikitokea mtu una akili kubwa kama mwana FA, ukaletewa akili ndogo kuwa bosi wako, lazima tuu uwe mdogo ili bosi asijione unamdharau, siku zote NW anasaidia pale Waziri hayupo, hawawi pamoja kama rais na makamo.

Mwana FA atulie too, Konda Boy hapo yupo kwa mpito tuu, alipoteuliwa tuu, niliwauliza waandishi wenzangu
Kwa vile jinai hainaga ukomo,na msingi mkuu wa tasnia yetu is to tell nothing but the truth,baada ya Mhe. PCM kuteuliwa kuwa waziri wetu,na kwasababu ana tuhuma 5 za kijinai,none was ever investigated,Je tumpokee kwa kumfanyia hizi IJ
1.⁠ ⁠Tuhuma za jina DAB
2.⁠ ⁠Tuhuma za kuhonga waandishi wa Cloud TV to concoct sex scandal kumchafua Askofu alietoa tuhuma za DAB
3.⁠ ⁠Baada ya Ruge kuzuia hiyo movie isirushwe alivamia Clouds to recover his movie
4.⁠ ⁠Anadaiwa kupanga na kusimamia utekelezaji wa pyu pyu za TAL pale Dodoma
5.⁠ ⁠Anatuhuma za uhalifu dhidi ya binadamu hivyo amezuiliwa kuingia US.
Media tuna wajibu kumsafisha, au kwa vile sasa ni waziri wetu, tufumbe macho, tuendelee naye as if nothing happened because he is now our boss and the boss is always right?.

Sikumbuki nilijibiwa nini, ila... Kiukweli kabisa bado tuna media oga, baadhi ya waandishi waoga, na baadhi ya Wahariri waoga kama kunguru!. Kama media ya Tanzania hatutaacha uoga, tukasimama na ukweli na ethics, tukaanza calling a spade a spade, our media will never be the fourth estate!
P
 
Mmmhh ?????
 
Acheni majungu,yaani unataka waziri na naibu waziri waambatane kila waendapo, waziri gani anafanya hivyo?
 
Mwana FA na Mchengerwa walipiga hela ndefu sana hapo wizarani. Unaambiwa kwake mwanfa utadhani yard ya magari. Kuna rangerovers autobiography 2025, Toyota prado 2025, wagon 2025, Ferrari siyo hizo tu apartments za kutosha Dubei.

King Kong III RRONDO

adriz de mbusii
ngozi nyeusi imekaa kibinafsi sana...mi natamani tungekuwa bado tunatawaliwa na wazungu
 
Hebu tuacheni hizi sarakasi za uchonhanishi kuwajengea bifu, waziri na naiba wake, japo ni kweli ikitokea mtu una akili kubwa kama mwana FA, ukaletewa akili ndogo kuwa bosi wako, lazima tuu uwe mdogo ili bosi asijione unamdharau, siku zote NW anasaidia pale Waziri hayupo, hawawi pamoja kama rais na makamo.

Mwana FA atulie too, Konda Boy hapo yupo kwa mpito tuu, alipoteuliwa tuu, niliwauliza waandishi wenzangu
Kwa vile jinai hainaga ukomo,na msingi mkuu wa tasnia yetu is to tell nothing but the truth,baada ya Mhe. PCM kuteuliwa kuwa waziri wetu,na kwasababu ana tuhuma 5 za kijinai,none was ever investigated,Je tumpokee kwa kumfanyia hizi IJ
1.⁠ ⁠Tuhuma za jina DAB
2.⁠ ⁠Tuhuma za kuhonga waandishi wa Cloud TV to concoct sex scandal kumchafua Askofu alietoa tuhuma za DAB
3.⁠ ⁠Baada ya Ruge kuzuia hiyo movie isirushwe alivamia Clouds to recover his movie
4.⁠ ⁠Anadaiwa kupanga na kusimamia utekelezaji wa pyu pyu za TAL pale Dodoma
5.⁠ ⁠Anatuhuma za uhalifu dhidi ya binadamu hivyo amezuiliwa kuingia US.
Media tuna wajibu kumsafisha, au kwa vile sasa ni waziri wetu, tufumbe macho, tuendelee naye as if nothing happened because he is now our boss and the boss is always right?.

Sikumbuki nilijibiwa nini, ila... Kiukweli kabisa bado tuna media oga, baadhi ya waandishi waoga, na baadhi ya Wahariri waoga kama kunguru!. Kama media ya Tanzania hatutaacha uoga, tukasimama na ukweli na ethics, tukaanza calling a spade a spade, our media will never be the fourth estate!
P
Huwezi kuwa mwandishi mkweli na wa haki ilihali ni kada mtiifu wa chama tawala. Stories zako siku zote zitakuwa biased. Sekta yenu imejaa vituko tu
 
Ni kama figisu zimeanza.

Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani.

Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote.

Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye waziri na katibu mkuu wake, Naibu anaachiwa akutane na watu wa Cosota 😂

Uzuri hata mkubwa wao analijua hilo na akawachimba biti ila sasa ndio Makonda akiamua jambo lake ni kama hakuna wa kumzuia.

Anyway, ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia.

Hili Lina ukweli kwa 100%, utafiti wangu umebaini mambo yafuatayo:-

1. Makonda ni mtu wa madili Sana, Mzee wa Bandari na ukizingatia kwa sasa hii wizara Ina mpunga mrefu Sana wa ujenzi na ukarabati wa viwanja vya mipira na hizi dili zote Makonda anazitaka kula yeye pamoja na Namba 1, na ikumbukwe Kwamba hizo deal ndizo zilizomtoa MwanaFA ndani ya Miaka 2, Mwana Fa kawa Bilionea kweli kweli hadi kupelekea kuwa na dharau kwa wasanii wenzake.

2. MwanaFA alishawahi kufanya ziara Arusha, wakati Makonda akiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na mbaya zaidi Mwana FA alikuwa anamuunga mkono Gambo, hapo ndipo Bifu lilipoanza, na Mwana FA kwenye ziara yake ya Mkoani Arusha hakupita hata ofisini kwa Mkuu Mkoa wa Arusha wakati huo akiwa Makonda hata kumsalimia, yeye akanyoosha goti kuelekea kwenye ujenzi wa uwanja wa mpira na kumpigia kampeni Gambo kwa wananchi wa Arusha Mjini. Sasa hili Makonda ilimuuma Sana, na ukizingatia ule uwanja unaojengwa pale Arusha, yeye hakuambulia hata senti Tano kwenye mradi huku MwanaFA akiambulia mabilioni kutoka kwa mkandarasi wa ule mradi. Kitendo hicho kilimuuma Sana Makonda.

Sasa kitakachotokea hapo ni MwanaFA kwa sababu Makonda ni mtu wa visasi Sana na ni mtu wa madili Sana lazima atafanya liwezekenalo kumpiga nje Mwana FA, na katika hili Mwana FA maana Mwana FA ni mtu wa ndumba Sana lazima atamwendea kwa wazee kule Tanga wafanye kitu.

Ni hayo tu ninayoyajua, lakini kubwa ni dili za miradi ya uwanja kutaka kula, Sasa MwanaFA janja janja anamzunguka Boss wake na kumfanya Boss wake asile hizo dili vizuri. Na ujenzi wa viwanja una mpunga mrefu Sana.
 
Hebu tuacheni hizi sarakasi za uchonhanishi kuwajengea bifu, waziri na naiba wake, japo ni kweli ikitokea mtu una akili kubwa kama mwana FA, ukaletewa akili ndogo kuwa bosi wako, lazima tuu uwe mdogo ili bosi asijione unamdharau, siku zote NW anasaidia pale Waziri hayupo, hawawi pamoja kama rais na makamo.

Mwana FA atulie too, Konda Boy hapo yupo kwa mpito tuu, alipoteuliwa tuu, niliwauliza waandishi wenzangu
Kwa vile jinai hainaga ukomo,na msingi mkuu wa tasnia yetu is to tell nothing but the truth,baada ya Mhe. PCM kuteuliwa kuwa waziri wetu,na kwasababu ana tuhuma 5 za kijinai,none was ever investigated,Je tumpokee kwa kumfanyia hizi IJ
1.⁠ ⁠Tuhuma za jina DAB
2.⁠ ⁠Tuhuma za kuhonga waandishi wa Cloud TV to concoct sex scandal kumchafua Askofu alietoa tuhuma za DAB
3.⁠ ⁠Baada ya Ruge kuzuia hiyo movie isirushwe alivamia Clouds to recover his movie
4.⁠ ⁠Anadaiwa kupanga na kusimamia utekelezaji wa pyu pyu za TAL pale Dodoma
5.⁠ ⁠Anatuhuma za uhalifu dhidi ya binadamu hivyo amezuiliwa kuingia US.
Media tuna wajibu kumsafisha, au kwa vile sasa ni waziri wetu, tufumbe macho, tuendelee naye as if nothing happened because he is now our boss and the boss is always right?.

Sikumbuki nilijibiwa nini, ila... Kiukweli kabisa bado tuna media oga, baadhi ya waandishi waoga, na baadhi ya Wahariri waoga kama kunguru!. Kama media ya Tanzania hatutaacha uoga, tukasimama na ukweli na ethics, tukaanza calling a spade a spade, our media will never be the fourth estate!
P
Leo uliyemnadi kama mpakwa mafuta unamuanika hivi jamvini...
 
Back
Top Bottom