Makonda ni kama hamtaki Mwana FA pale Wizarani

Hebu tuacheni hizi sarakasi za uchonhanishi kuwajengea bifu, waziri na naiba wake, japo ni kweli ikitokea mtu una akili kubwa kama mwana FA, ukaletewa akili ndogo kuwa bosi wako, lazima tuu uwe mdogo ili bosi asijione unamdharau, siku zote NW anasaidia pale Waziri hayupo, hawawi pamoja kama rais na makamo.

Mwana FA atulie too, Konda Boy hapo yupo kwa mpito tuu, alipoteuliwa tuu, niliwauliza waandishi wenzangu
Kwa vile jinai hainaga ukomo,na msingi mkuu wa tasnia yetu is to tell nothing but the truth,baada ya Mhe. PCM kuteuliwa kuwa waziri wetu,na kwasababu ana tuhuma 5 za kijinai,none was ever investigated,Je tumpokee kwa kumfanyia hizi IJ
1.⁠ ⁠Tuhuma za jina DAB
2.⁠ ⁠Tuhuma za kuhonga waandishi wa Cloud TV to concoct sex scandal kumchafua Askofu alietoa tuhuma za DAB
3.⁠ ⁠Baada ya Ruge kuzuia hiyo movie isirushwe alivamia Clouds to recover his movie
4.⁠ ⁠Anadaiwa kupanga na kusimamia utekelezaji wa pyu pyu za TAL pale Dodoma
5.⁠ ⁠Anatuhuma za uhalifu dhidi ya binadamu hivyo amezuiliwa kuingia US.
Media tuna wajibu kumsafisha, au kwa vile sasa ni waziri wetu, tufumbe macho, tuendelee naye as if nothing happened because he is now our boss and the boss is always right?.

Sikumbuki nilijibiwa nini, ila... Kiukweli kabisa bado tuna media oga, baadhi ya waandishi waoga, na baadhi ya Wahariri waoga kama kunguru!. Kama media ya Tanzania hatutaacha uoga, tukasimama na ukweli na ethics, tukaanza calling a spade a spade, our media will never be the fourth estate!
P
Poleni sana media...
 
FA ana Akili kubwa!?? Kama ana Akili kubwa mpaka Sasa Akili yake imelinufaisha vipi hili Taifa !?

Ni kama figisu zimeanza.

Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani.

Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote.

Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye waziri na katibu mkuu wake, Naibu anaachiwa akutane na watu wa Cosota 😂

Uzuri hata mkubwa wao analijua hilo na akawachimba biti ila sasa ndio Makonda akiamua jambo lake ni kama hakuna wa kumzuia.

Anyway, ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia.
Wote wavaa shanga hao hawana lolote
 
IMG_0246.jpeg
 
Makonda haja wahi kukaa na mtu ambaye hana makando kando.
Maana yeye ni mwizi. Hivyo hatuta shangaa akimkataaa Mwana FA
 
Ni kama figisu zimeanza.

Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani.

Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote.

Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye waziri na katibu mkuu wake, Naibu anaachiwa akutane na watu wa Cosota 😂

Uzuri hata mkubwa wao analijua hilo na akawachimba biti ila sasa ndio Makonda akiamua jambo lake ni kama hakuna wa kumzuia.

Anyway, ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia.
Mambo yanazidi kunoga
 
Bashite hajasoma, FA kasoma shule, lazima wazinguane. Shida Bashite mazuri waga ni yake tuu,, mabaya ya wenzake....
Pia hofu yake nyingine ni kwamba Mwanafa ni msanii automatically ni kioo cha jamii sasa anaona akimpa nafasi na freedom atafunikwa kwa haraka sana.
Juzi nimeona habari moja mtandaoni anamkosoa mwanafa kuchapisha jezi za timu ya Taifa akakosoa kwamba hizo sio jezi za timu ya taifa sizitaki.
Ukishaona Boss wako anakukosoa waziwazi mbele za watu hapo ujue hutakiwi
 
Uzuri hata mkubwa wao analijua hilo na akawachimba biti ila sasa ndio Makonda akiamua jambo lake ni kama hakuna wa kumzuia.
Kama ni kweli, then dogo anaondoshwa pale, ila kwa maoni yako, mtu wa kuondolewa pale ni yeye, amepwaya sana kuvaa viatu vya Nape, huwezi amini toka ameteuliwa, watu wa kwanza aliopaswa kukutana nao na kukaa nao kwa kikao kazi ni wana tasnia ya habari!, hajawahi kukaa nasi kusemezana nasi ukiondoa events za kihabari ambazo yeye ni mgeni rasmi.

Lazima akae nasi kutupa perspective yake ili twende pamoja, yeye toka ameingia ni yeye na ma contents creators badala ya wana tasnia ya habari, hii wizara ni ya habari, ma contents creators wizara yao ni ya mawasiliano chini ya TCRA, sio kila contents ni habari, lakini kila habari ni contents.

P
 
Pia hofu yake nyingine ni kwamba Mwanafa ni msanii automatically ni kioo cha jamii sasa anaona akimpa nafasi na freedom atafunikwa kwa haraka sana.
Juzi nimeona habari moja mtandaoni anamkosoa mwanafa kuchapisha jezi za timu ya Taifa akakosoa kwamba hizo sio jezi za timu ya taifa sizitaki.
Ukishaona Boss wako anakukosoa waziwazi mbele za watu hapo ujue hutakiwi
Naunga mkono hoja, huwezi kumkosoa msaidizi wako kivile, uzuri mwana FA ni mtoto wa mjini kazaliwa mjini, kasoma mjini, ameishi mjini ile mitaa ya kishua ya Upanga, bosi wake kazaliwa bushi, kasoma bushi ndipo akaingia mjini, atakayeondoka hapo ni boss, mimi namuona kama atakwenda MHA, yule dogo wa pale kule anazengua, yeye ndio aletwe habari maana anazimikia sana wasanii!, watu wanapotea, PT Tanzania wanashindwa kufanya lolote, sijamuona waziri akikaa na makamanda kusemezana nao tatizo ni nini, kila uchao ni yeye na wasanii!.
P
 
Back
Top Bottom