ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,987
Nimeamka salama Blessed Hope.Nawe pia lala salama ubarikiwe
Nimeamka salama Blessed Hope.Nawe pia lala salama ubarikiwe
Mie nilijua"experience is the best teacher" and experience makes perfect kumbe bureeee!
Asante mkuu. Naomba nikubatize jina LA KAZI utaitwa INKOSIKAZI.View attachment 516376Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa SHIMBA YA BUYENZE
Nawatakieni Jumanne njema
Mwana wa mfalme. Chaka wa wazulu.Asante, maana yake nini
Hapa Sijaelewa... Bibi anaaga.. Bwana anatoa promise ya kuvunja record ya ufyatuaji...kwa hio ndo mnaenda kufyatua sio?

Naomba kujiunga makapuku forumTatizo tupo nyuma kimaendeleo hata magazeti/vyombo vya habari gavijisgughilishi kututangaza mambo yenye kuvutia(Huyu nilishawahi kumsoma) ila hapa tunaongelea mume na mke mmojamonogous family) au wanawake waliozalishwa na wanaume tofauti
.
Source Ni vyombo vya habari vya wazungu hivyo Ni lazima wajipendelee
Ni km segment ya Dikteta inavyokuwa wengi tunatamani historia za kikwetu lakini hazipatikani mtandaoni tunaishia kuwaongelea wazungu tu ila siyo kwa kupenda
........
Shukrani sana mkuu shululu kwa magazetiView attachment 516376Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa SHIMBA YA BUYENZE
Nawatakieni Jumanne njema
Asante editor komaa mpaka mwandishi wetu awe kwenye mstariShedede unaniangusha. Kama editor wako ulipaswa kunitonya kuwa sehemu ya pili iko tayari.
Cha kusikitisha zaidi ni kwamba bado unarudia makosa yale yale ambayo nilikuandikia kwa kina katika sehemu ya kwanza na kukuomba sana kuwa usiyarudie tena. Miami7i Beech ni nini? Sikulizungumzia suala hili? Vipi kuhusu common nouns pamoja na titles kuwa ni lazima zianze kwa herufi kubwa? Vipi kuhusu kuepuka misentesi mirefu yenye korogesheni na kuzingatia alama za uandishi. Tazama kwa mfano sentensi ya mwisho ambayo kimsingi ni aya nzima
"Ndani ya miaka kumi paradise nevada ilikuwa ndo nchi pekee yenye mabavu ya dunia nzima kifupi ilikuwa ikitawala kwakila kitu miongo ikaenda mpaka sasa ndo nchi pekee yenye kupewa kipaumbele zaidi ndani ya bara la America kwaiyo majeshi au wazamizi wakipanga kuiangamiza dunia lazima waanze na taifa kubwa kama America"
Ni nini hichi️? Aya yenye sentensi moja? nevada?
Kaa utulie. Andika kwa kituo. May be kwa vile ni makapuku basi hujali sana. Ungekuwa unaipeleka kule kwingine ungeipeleka ikiwa na makosa haya ya wazi? Hakuna kitu kinachopoteza credibility ya mwandishi kama makosa ambayo hata mtoto wa darasa la tatu anayakwepa. Maadam umeamua kuandika basi please kuwa siriazi.
Nategemea kuona mabadiliko makubwa huko mbele ya safari. Ni afadhali hadithi zichelewe lakini zitoke zikiwa zimekamilika. Blessings!
Ubarikiwe Mama mchungajiMITHALI 18
10. Jina la BWANA ni ngome imara,Mwenye haki huikimbilia,akawa salama.
Asante BABA kutuamsha salama tena tunakimbilia jina lako maana ni ngome imara ili tuwe salama.
AMEN
SIKU NJEMA![]()
Sent from my itel it1406 using JamiiForums mobile app

Asante mkuu.View attachment 516376Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa SHIMBA YA BUYENZE
Nawatakieni Jumanne njema
Karibu sanaNaomba kujiunga makapuku forum
Asante Chaplin kwa kuyapitiaShukrani sana mkuu shululu kwa magazeti
Ubarikiwe sana
Pamoja mkuuAsante mkuu.
Tuko pamojaAsante Chaplin kwa kuyapitia
Hayuko siriazi bado. Ngoja nimtafute mkewe. May be they are having marital problems...
