Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Hbr ya asubuhi hnyKumekucha salama kabisa
Hbr ya asubuhi hnyKumekucha salama kabisa
Nzuri My mke, umeamkajeHbr ya asubuhi hny
1913 - Mkataba wa London ( The treaty of London ) wasainiwa na kuhitimisha vita ya kwanza ya Balkan.
Kampuni za vifaa vya michezo zinashindana sana kwenye ubunifu wa bidhaa zaoNew season![]()
New kit !!
.....
Aisee1966 - Waziri Mkuu wa zamani wa Congo, Evariste Kimba na baadhi ya wanasiasa wananyongwa hadharani huko Kinshasa kwa amri ya Rais Joseph Mobutu
1917 - Alexander wa I awa mfalme wa Ugiriki.
1922 - Lincoln memorial yazinduliwa huko Jijini Washington Dc
Ni taasisi inayotunza kumbukumbu za Rais Abraham Lincoln.
1961 - Dikteta wa muda mrefu wa Dominica, Rafael Trujillo anauwawa huko Santo Domingo.