Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
KufyatuaUsiku mwema makapuku.
Wenye kufyatua mfyatue kwa amani .
!!KufyatuaUsiku mwema makapuku.
Wenye kufyatua mfyatue kwa amani .
!!Usiku mwema shululuAisee, SHIMBA YA BUYENZE![]()
Nawe piaUsiku mwema makapuku.
Wenye kufyatua mfyatue kwa amani .
Usiku mwema Mamchungaji
Mzee niaje, siku hizi huna ratiba kamiliKufyatua![]()
!!
Nawe pia tetramelyz, unaingia na kutokaUsiku mwema shululu
Hahaha acha tuu.., hapa nimepata kijiupenyo kabla sijasinzia nikaona sio mbaya nipite kona hiiMzee niaje, siku hizi huna ratiba kamili
Leo fainali ya mchezo lazima awepo mshindiUsiku mwema nyote bandugu mnaocheza mkumbuke kucheza salama kuongeza kids ni Hatari kwa maisha yako ktk Awamu hii
Kuongeza kids ndiyo mpango mzimaUsiku mwema nyote bandugu mnaocheza mkumbuke kucheza salama kuongeza kids ni Hatari kwa maisha yako ktk Awamu hii
Nawe pia lala salama ubarikiweUsiku mwema makapuku.
Wenye kufyatua mfyatue kwa amani .
Sema Shululu. Nilikuwa safarini. Huko kwako Kwema?Aisee, SHIMBA YA BUYENZE![]()
Awamu hii, kama vile zilizotangulia, nayo itapita na maisha yataendelea. By the way, mkuu mwenyewe alishasema kuwa watu wafyatue tu kwa sababu watoto watasoma bureUsiku mwema nyote bandugu mnaocheza mkumbuke kucheza salama kuongeza kids ni Hatari kwa maisha yako ktk Awamu hii



Waraka mzuri sana huuMdau shedede , kwanza niseme tu, mwanzo umeanza nao ni mzuri. Ni kitu umekaa chini ukaona na kuamini unaweza kufanya kitu na watu wakapata nafasi ya kukisoma kwa uzuri kabisa. Na ndicho nilichofanya.
Nimeipitia yote na utaona kuna sehemu nimekoleza maandishi, hapo namaanisha sarufi haijakaa sawa na kuna haja ya kuangalia sintaksia na semantikia ya kile unachoandika ili tunaosoma tusiwe na tafasiri mbili mbili (tata).
Najua kabisa unaandika hadithi ya kubuni (fiction) inayohusisha si vitu halisi bali vya kubuni na hisia zaidi. lakini changamoto yangu tu moja kwako, ukiweka vitu vya kubuni halafu ukajidai kuweka miaka basi wapo watu wanasoma sana fition na non-fiction na mmoja wapo ni mimi. Huo mwaka unaosema 1890 unaiongelea karne ya 19 na Amerika haikuwahi kuwa taifa kubwa duniani kipindi hicho, hapo tunaongelea dola la Waingereza, Wafaransa, na Warusi.
Kuwa makini sana, umewahi kusoma vitabu vya Musiba (Wily Gamba) alikuwa akiielezea dola fulani basi utadhani anachoandika si cha kubuni, ni cha kweli kumbe la.
Sikumbuki title ya kitabu lakini aliwahi kuuelezea mji na barabara za Maganzo Shinyanga na kwa kuwa nimewahi kupita maeneo hayo basi nikawa naamini ile hadithi si ya kubuni.
Nadhani umenielewa kwenye kuhakikisha unaweka ukweli kwenye hisia zako unazotaka tuzisome.
Mengine kakuelezea Bitoz na ukiyafuatilia hakyanani utatoka na kitu kizuri na kutufanya Makapuku tujisikie vizuri.
Love
Obe
Kabula => kablamkuu narekebisha kabula hajaja
Bado unakosea jina la mhariri mkuuHabar yako ??
Editor:SHUMBA YA BUYENSE
Alamsiki komrediAnatakiwa yeye mwenyewe aifanye kazi yake kwa mapenzi na moyo km Mussolini na One kwenye segment zao
Kitu cha kwanza kabisa ili ufanikiwe ni lazima ukipende kile unachokifanya
.
.
Ukichunguza hata kwenye historia anazoleta Dikteta huwa simwekei tu picha ilimradi bali nahahakikisha zina ubora/mvuto au kuakisi maudhui na hata zinazoongeza kujifunza
Tukutane kesho
........