Makapuku Forum

Makapuku Forum

Duuuuuh za kariakoo unaambiwa waterproof ila mvua ikukute tandale kama hujatafuta nailoni uifiche
427c54e6ba7a76453e60bda7789603a5.jpg
Haziaminili
Sembuse kuingia nayo kwenye maji Coco Beach
....
 
Mkinga, asante kwa kazi nzuri ila ukiendelea hivi nitaacha kazi kama wewe ulivyoacha kazi yako ya ulinzi. Kuna mambo kadhaa hukuzingatia.

Nilisema kuwa jina la hadithi lote ni lazima lianze na herufi kubwa yaani The Little Magic Angel. Sijui kwa nini umempuuza editor wako.

Pia proper names zote ni lazima zianze na herufi kubwa mf. Shimba ya Buyenze. Bado unafanya kosa hili. Halafu unakosea jina langu mimi mhariri wako. Kweli?

Kuwa siriazi bana kama mimi msaidizi wako nilivyo siriazi vinginevyo tutaparaganyika. Sehemu ya pili lini? Editor niko tayari!
Ni jioni ya leo
 
Mkuu Bitoz amekuwa member wa kwanza wa JF kufikisha likes 100k.

Hongera sana Komredi
Wala sikujua km tayari
Nafikiri Jimena naye akiwepo online atafikisha data
Yaani hilo gap tulilowekwa siku likizibwa na wakongwe sijui ...watakuwa wamenuna sana
Shukrani wadau
80% nimezipata humuhumu Ukapukuni
.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom