BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Shukran kamanda ubarikiweSalam kwenu... Nawasalimu wote na nina watakia siku njema
Wazo langu kwetu sote: Tuwajibike bila kuchoka katika kupambana na maisha ili tuyafurahie maisha baada ya kazi zote halali. Muwe na amani
Siku hizi wote wamejichokeaMechi 10 za Wapinzani wa JADI katika soka la Uingereza ( Football Derbies )
10. Aston Villa Vs Birmingham City ( Second city derby Au Birmingham Derby )
Mechi hii uhusisha timu za Mji wa Birmingham ( Mji wa pili kwa Ukubwa nchini Uingereza baada ya London ).
Timu hizi za Aston Villa na Birmingham city huwa zina upinzani wa hali ya juu.
Mechi ya kwanza ya Derby hii ilipigwa mwaka 1879.
![]()
![]()
![]()
Nitaifanyia kazi hii
Mi nakaa kwa mama mndali ila hapo kwa mama john huwa napitaWewe upo kwa mama john au?
Ngoja nikanunue machungwa muda maana na stress gunia zimaNitaifanyia kazi hii

Dada ungulalusisye abhisukulu bhako bhakwendelela bulebule
Hahaha ugonileMi nakaa kwa mama mndali ila hapo kwa mama john huwa napita
Usianze kunusanusa km ungaNitaifanyia kazi hii
Kuna Mali hazikuteketea japo maduka yaliteketeaKama yapi hayo mauza uza
Hongera sanaWala sikujua km tayari
Nafikiri Jimena naye akiwepo online atafikisha data
Yaani hilo gap tulilowekwa siku likizibwa na wakongwe sijui ...watakuwa wamenuna sana
Shukrani wadau
80% nimezipata humuhumu Ukapukuni
.........
Nataka niweke nyingine maana ile niliyoweka imeondolewa bila taarifaHiyo signature ukienda setting inatoka
Nafikiri ipo kibahati mbaya tu
.....
Mwenye bahati atajipatia 200kna sasa kama jukwaa tunaitafuta 200K
Acheni hizo bhanaNataka niweke nyingine maana ile niliyoweka imeondolewa bila taarifa