Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
Vizur karibu chakula captainMajukumu kama kawaida ...chief Mungu anasaidiaa

Mkuu SHIMBA kumbe ulimwambia?hukuedit?nilidhani ndio mpangilio ulivyo,hakika akifuata maelekezo itakaa vizuri zaidi,tunashukuru imeeleweka na naamini atafanyia kazi mapungufu.Mkinga, asante kwa kazi nzuri ila ukiendelea hivi nitaacha kazi kama wewe ulivyoacha kazi yako ya ulinzi. Kuna mambo kadhaa hukuzingatia.
Nilisema kuwa jina la hadithi lote ni lazima lianze na herufi kubwa yaani The Little Magic Angel. Sijui kwa nini umempuuza editor wako.
Pia proper names zote ni lazima zianze na herufi kubwa mf. Shimba ya Buyenze. Bado unafanya kosa hili. Halafu unakosea jina langu mimi mhariri wako. Kweli?
Kuwa siriazi bana kama mimi msaidizi wako nilivyo siriazi vinginevyo tutaparaganyika. Sehemu ya pili lini? Editor niko tayari!
Pamoja mkuuNzuri kiongoziii
Hongera zake bitoz
Captain asante mkuu naona kitu cha mixers ....Vizur karibu chakula captainView attachment 515683
HakikaYeah! Duniani tu wapitaji tu kusema kweli...
Vizur karibu chakula captainView attachment 515683
Oohoo huyo hayupo bwana mdogoChijambo dingi mamakubwa mchima
Aaah dingi kweli?Oohoo huyo hayupo bwana mdogo
Yeah..!! Si unajua mwili haujengwi na matofal chief unajengwa na vitu kama hivoCaptain asante mkuu naona kitu cha mixers ....
Kwel kabisa kamanda.!!Aaah dingi kweli?
Kula dona mkuuYeah..!! Si unajua mwili haujengwi na matofal chief unajengwa na vitu kama hivo
Vip huko hali ya hewa ipoje?Aaah dingi kweli?
Sawa dingi nimekwelewaKwel kabisa kamanda.!!
Hapa nilipo leo jua linapiga kwa kwenda mbeleVip huko hali ya hewa ipoje?
Nakumbuka kule Mbeya kipindi soko la Mwanjelwa linaungua kulikuwa na mauza uza kibao 90% ya wafanyabiashara walikuwa ni WakingaMambo safi kabisa. Sema tu Wakinga wabishi halafu wabahili balaa. Huoni hata hadithi yenyewe kiduchuuuu. Wakinga kiboko aisee!
Hicho chakula nakulaga sana captain, ila weekend napenda vitu lainii lainii kama hivo, wewe sio mlaj nin wa huo msocKula dona mkuu
Nashukuru!!!Sawa dingi nimekwelewa
