dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Yeah ni kwel kabisaaNi mpangilio tu
Yeah ni kwel kabisaaNi mpangilio tu
Ndo nimejua leo
Naam, nakulaga mara moja moja sana kamanda huo msoc ni balaa tuSema usizoee kamanda ...machips hachanaa nayo
Hata mim nilikuwa najua niNdo nimejua leo
.....
Hiyo signature ukienda setting inatoka
Kuna wakati huwa hamna namna inakulazimu ule tu chips, ili usisababishe madhara kwenye mfumo wa chakulaNaam, nakulaga mara moja moja sana kamanda huo msoc ni balaa tu
Naam!! hasa ukiwa sehemu ambapo chips tu ndo msoc unaopatikana au kama umechelewa kurud kwenye majukumu yakoKuna wakati huwa hamna namna inakulazimu ule tu chips, ili usisababishe madhara kwenye mfumo wa chakula
Yaaah tunajuzana ata mm nilikuwa sijuiNdo nimejua leo
.....
Alafu kachange simuHiyo signature ukienda setting inatoka
Nafikiri ipo kibahati mbaya tu
.....
Hapa mbeya mjinWacha bana wap huko huku jiji la bashite ni mvua toka asubuh mpak sasa
Hongera kwa 199kMdau simu yako haina kalenda?
Pia post/replies zote za JF juu upande wa kulia huonesha # na muda mfano two days ago, 20Jan 2011, 3 hrs ago
Sijaona sababu yoyote ya msingi
......
Sasa huko ndo ilibid mvua inyesheHapa mbeya mjin
Hapa mjini hatutaki mvua mvua ianatakiwa inyeshe mbalali rungwe usokelo kyela ndo sehemu zenye mazao hapa mjini tunalima lamiSasa huko ndo ilibid mvua inyeshe
Wewe upo kwa mama john au?Hapa mjini hatutaki mvua mvua ianatakiwa inyeshe mbalali rungwe usokelo kyela ndo sehemu zenye mazao hapa mjini tunalima lami