shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Iko poa kabisa shemejiJuma pili iko vizur shemeji wewe hapo kibaha vip
Iko poa kabisa shemejiJuma pili iko vizur shemeji wewe hapo kibaha vip
Iko poa kamandaJumapili inaendaje chief
Daah wakulima tutakufa masikini dalali tajiliNi kweli. Madalali ndiyo wananufaika zaidi. Kilimo, kwa maoni yangu, ndiyo mkakati mama utakaoikomboa nchi hii na kuitoa hapo ilipokwama. Hata Wachina walipoweza kuleta mabadiliko ya kilimo ndiyo milango mingine ikafunguka. Sisi tunataka kurukia viwanda. Sijui viwanda bila malighafi za kuaminika itakuwaje. Inatakiwa unaleta mapinduzi ya kilimo kwanza unakuwa na umma unaoshiba na kuzalisha malighafi unazozitaka kwa ajili ya viwanda vyako. Kwa hali hii unainua maisha ya wakulima kwa kuwapatia soko la kuaminika la mazao yao na wakati huo huo unalisha viwanda vyako. Sisi nadhani tunakwenda kinyume nyume....
Shunie wako anakusalimiaIko poa kabisa shemeji
Nzur sana, sijui kwa upande wako
Iko poa Lee ubarikiweWakuu hope jumapili imekaa poaaa kiainaaa ...baada ya kuiona did u know tukapitie UF ...
Mdau simu yako haina kalenda?
Pia post/replies zote za JF juu upande wa kulia huonesha # na muda mfano two days ago, 20Jan 2011, 3 hrs ago
Sijaona sababu yoyote ya msingi
......
Vp za majukumuIko poa kamanda
Leo katika historia, inamaana ni tarehe ya leoAhsante mkuu, ila ni vizuri uwe unatuwekea na tarehe kabisa, mfano leo tarehe 28/1/2017 ili ieleweke hata baada ya tarehe ya leo kupita!
Majukumu kama kawaida ...chief Mungu anasaidiaaVp za majukumu
Chikamoo dingiKwem humu? Jaman
Marahabaa...!! ujambo?? KijanaChikamoo dingi
Pamoja shemejiIko poa kabisa shemeji
AsanteWakuu hope jumapili imekaa poaaa kiainaaa ...baada ya kuiona did u know tukapitie UF ...
Mr Lee habr yakoIko poa kamanda
Hongera kwa 199KMdau simu yako haina kalenda?
Pia post/replies zote za JF juu upande wa kulia huonesha # na muda mfano two days ago, 20Jan 2011, 3 hrs ago
Sijaona sababu yoyote ya msingi
......
Meaning: If you're black, no matter how long you bleach your skin, you will never become white. If you are white, no matter how long you tan your skin, you will never become black. Whatever you are, whether black, white or something else, that is what you will remain forever. We must have the guts and gratitude to accept what we cannot change. In the words of Douglas Malloch, "if you can't be a highway, then be a trail; If you can't be a sun, be a star; It isn't by size that you win or fail, Be the best of whatever you are" . Just like the parts of the body are different and serve different functions, we are also cut for different purposes. Let us not try to push others into our mold. Let us give people the freedom to fulfill their calling in life. To pretend to be what you are not is to live in denial. And denial will lead you into unnecessary discomfort and disappointments! Be real!Chijambo dingi mamakubwa mchimaMarahabaa...!! ujambo?? Kijana
Nzuri kiongoziiiMr Lee habr yako