Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mkinga, asante kwa kazi nzuri ila ukiendelea hivi nitaacha kazi kama wewe ulivyoacha kazi yako ya ulinzi. Kuna mambo kadhaa hukuzingatia.

Nilisema kuwa jina la hadithi lote ni lazima lianze na herufi kubwa yaani The Little Magic Angel. Sijui kwa nini umempuuza editor wako.

Pia proper names zote ni lazima zianze na herufi kubwa mf. Shimba ya Buyenze. Bado unafanya kosa hili. Halafu unakosea jina langu mimi mhariri wako. Kweli?

Kuwa siriazi bana kama mimi msaidizi wako nilivyo siriazi vinginevyo tutaparaganyika. Sehemu ya pili lini? Editor niko tayari!
Tunawatakiaa kazi njemaa

Story itakuwa tamu
 
DID YOU KNOW?
22af1b57350e526eafcba74c36035569.jpg
 
Ahsante mkuu, ila ni vizuri uwe unatuwekea na tarehe kabisa, mfano leo tarehe 28/1/2017 ili ieleweke hata baada ya tarehe ya leo kupita!
Mdau simu yako haina kalenda?
Pia post/replies zote za JF juu upande wa kulia huonesha # na muda mfano two days ago, 20Jan 2011, 3 hrs ago
Sijaona sababu yoyote ya msingi
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom