Makapuku Forum

Makapuku Forum

a3c279552981ca29b059bd8f61e69da9.jpg
Kweli lakini
 
According to Waziri Mwijage
*Ukitafuna miwa 4 tayari una kiwanda cha sukari
*Ukiwa na majiko 4 una kiwanda cha kupikia
*Ukiwa na ng'ombe jike 4 una kiwanda cha Maziwa
*Ukijisaidia kinyesi kutwa X 4 una kiwanda cha mbolea
*Ukiwa na Kali 4 za kuchomea vitumbua tayari ni kiwanda cha vitumbua
*Ukiwa na sindano 4 una kiwanda cha nguo
*Ukiwa na vimada 4 tayari una kiwanda cha kufyatua watoto
*Ukiwa na watoto 4 wenye mabichwa makubwa yaliyojaa nywele tayari una kiwanda cha wigi
........
Hii ni kweli
 
3338c8762b19a8bb9503a9169445ea68.jpg

Huu ugonjwa unaitwa Vitiligp hadi sasa hauna dawa na hauambukizi
Michael Jackson aliluwaga nao akaamua kujichubua ili kusawazisha rangi pia kuvaa gloves mkono ni(Hii inaashiria pesa siyo kila kitu)
Hata Wazungu huugua ila hushambulia zaidi watu weusi tena wenye ngozi nyeusi sana

Muwe na Jioni Njema
.............
Asante Bitoz
 
Sasa hivi naona watu wengi wanai,ukioita mahospitalini utakutana nao.

Ubarikiwe asante sana mkuu Bitoz,uwe na wakati mwema na Mungu aendelee kukutetea
Daktari huwa hakatishi tamaa wagonjwa hivyo huwapa tu dawa za kuimarisha kinga ili usisambae sehemu zingine ila siyo kuutibu ugonjwa hata hivyo huu ugonjwa una tabia ya kutokea sehemu zaidi ya moja
Dawa pekee ni kujikubali la sivyo utapoteza pesa hadi ufilisike
0084053945ffefce5c7a218ee0290162.jpg
Huyu ni model huko USA ni mfano wa kuigwa kajikubali na kupiga pesa
.
.Wale akina MziziMbichi ni matapeli na wapigaji hapa JF
Huu ugonjwa hauuwi
Hauumi
Hauwashi
Zaidi hibadili muonekano wa ngozi tu
.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom