Makapuku Forum

Makapuku Forum

According to Waziri Mwijage
*Ukitafuna miwa 4 tayari una kiwanda cha sukari
*Ukiwa na majiko 4 una kiwanda cha kupikia
*Ukiwa na ng'ombe jike 4 una kiwanda cha Maziwa
*Ukijisaidia kinyesi kutwa X 4 una kiwanda cha mbolea
*Ukiwa na Kali 4 za kuchomea vitumbua tayari ni kiwanda cha vitumbua
*Ukiwa na sindano 4 una kiwanda cha nguo
*Ukiwa na vimada 4 tayari una kiwanda cha kufyatua watoto
*Ukiwa na watoto 4 wenye mabichwa makubwa yaliyojaa nywele tayari una kiwanda cha wigi
........
 
Mimi ni mzima
Ninachoumwa hakinizuii kula,kunywa,kulala wala kuchat
Hivyo nipo OK ndo sababu sikusema hadi juzi wakati ni mwezi mmoja sasa
.........
Hakika kiri uzima kila wakati na Mungu atakupeleka hatua nyingine ya ushindi,si lazima kusema kila unachopitia ,wakati mngine Mungu anaruhusu majaribu ili uuone utukufu wake.
Nafurahia namna unavyochukulia changamoto,Mungu aendelee kukuimarisha. tunakuombea.
 
According to Waziri Mwijage
*Ukitafuna miwa 4 tayari una kiwanda cha sukari
*Ukiwa na majiko 4 una kiwanda cha kupikia
*Ukiwa na ng'ombe jike 4 una kiwanda cha Maziwa
*Ukijisaidia kinyesi kutwa X 4 una kiwanda cha mbolea
*Ukiwa na Kali 4 za kuchomea vitumbua tayari ni kiwanda cha vitumbua
*Ukiwa na sindano 4 una kiwanda cha nguo
*Ukiwa na vimada 4 tayari una kiwanda cha kufyatua watoto
*Ukiwa na watoto 4 wenye mabichwa makubwa yaliyojaa nywele tayari una kiwanda cha wigi
........
hvi viwonder hatari
 
171ea624dc1670894cacb0c2c33b684e.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom