Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 26,003
- 96,256
Naomba nipite kimyaaa kipengele hili AGNOSTIC wa watuDhbi ni dhambi tu hata kusema uwongo
Binadamu wote ni dhaifu na hakuna mkamilifu hata awe sheikh/padre hakuna akufaye hakiwa hana dhambi labda watoto wadogo na matahira pekee
Maisha bila dhambi hayawezekani
.....