Hongera kwa kuzinywaahahh mbona mm huwa nazinywa tu bila kulazwa
Hapa walitisha
Cc Obehahahha anjitahidi lakini anaumia ndani kwa ndani
Flying horse ina mfaa sanaNdio shem halaf arudi znz kwake akija anaishia zake posta tu anashangaa maghorofa usiku anapata flying horse anarudi znz
Hiyo itamfaa Leeipake shem halaf nenda porini utuletee mrejesho
Mimi siwezi kabisa kubetMh shemela kuna siku niliona Lee anasifia kuhusu kubet
MmmmmhJe..wajua kwamba kama haudaiwi(deni lolote)...ni kiashiria kwamba wewe sio muaminifu..??..
yaani hukopesheki...![]()
![]()
![]()
..!!!
Huu ni ukweli kabisa![]()
Hata JF baadhi ya thread ukitoa maoni tofauti unaitwa JATER hivyo watu hujikalia kimya na kuwaacha akina "ndiyo mzee for everything"
......
Kuna wanaume ambao hawajawahi kulia kabisa
Atakuwa bitoz huyo![]()
Kuna mtu humu alikuwa akipelekwa shule kwa viboko
.......
