Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Ni ugonjwa ikiwa unabet kimasikiniKubet hapana kabisa, huo ni ugonjwa mbaya sana
Ni ugonjwa ikiwa unabet kimasikiniKubet hapana kabisa, huo ni ugonjwa mbaya sana
hapana asanteMimi nitakuandalia anqasus.
Safi shemela za wwShemela za mchana
hhahhah shemela umekua T na wwIkiwemo halotel
ahahh mbona mm huwa nazinywa tu bila kulazwa![]()
![]()
![]()
, huwa wanasema hizo zinafaa kunywa ukiwa umelazwa hospital
hahahha anjitahidi lakini anaumia ndani kwa ndaniKwa sasa hateseki
Ndio shem halaf arudi znz kwake akija anaishia zake posta tu anashangaa maghorofa usiku anapata flying horse anarudi znzKisha arudi
Asante mama mchuchu nitajitahidi niacheIla soda si nzuri kwa ujumla wanaweka kk sukari kijiko kimoja cha teaspoon kwenye lita 20 inanoga asali,so mjitahidi kupunguza sukari na artificial drinks kwa ujumla
ipake shem halaf nenda porini utuletee mrejeshoAaahaa ni kweli?
watu na ma swii wenuAsante my swi, niko poa mpendwa wangu
Za hapo nyumbani

Mh nitajitahidiPendelea Fanta passion
Muda si mrefu narudi,niandalie ugari na samaki, bila kusahau mtindi

ahaahah atakufwa bado tunamuhitajiWacha apate kwanza changamoto![]()
![]()
![]()
Hahhaha me ningekufwaJE WAJUA?
Raisi Lyndon B Johnson alimiliki gari lenye uwezo wa kutembea nchi kavu na majini, alipenda kuwatisha wageni wake kwa kuwapandisha kwenye gari lake harafu analitumbukiza kwenye maji akisema breki hazifanyi kazi halafu anaanza kuliendesha ndani ya maji.
Msisahau pichaUcjali dear we andaa tumbo tu