Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Saaana ingekuwa ni bongo Bashite angesubiri sanaHapa walitisha
Ha ha ha ha ha ha ha.... Nimekwambia Lee ni rafiki yangu..... Sasa ngoja nikwambie bila wewe kuuliza.... Hii Anqasus ni aina ya kahawa....ambayo imechanganywa na spice formula ambayo ukiinywa saa zote utataka Lee awe pembeni yako. Ha ha ha ha ha haacha nikushangaze tu ila asante
Kweli tupu![]()
Ukweli mtupu
Watu wenye matendo/roho mbaya nafasi zao huwa zinawasuta
.......
Asante mm sio mpenzi wa kahawaHa ha ha ha ha ha ha.... Nimekwambia Lee ni rafiki yangu..... Sasa ngoja nikwambie bila wewe kuuliza.... Hii Anqasus ni aina ya kahawa....ambayo imechanganywa na spice formula ambayo ukiinywa saa zote utataka Lee awe pembeni yako. Ha ha ha ha ha ha
CC:Lee empire
Ni Jorowe, au mzee wa saa mpyaCc Obe
Dj Mark atakupotezaKama Kawa
Kama dawa
Shululu mbona unantishia ngumi.... Sikuelewi ha ha ha
Dj Mark atakupotezaKama Kawa
Kama dawa
Shemela kwenye ubora wakoAsante mm sio mpenzi wa kahawa
Na hizi pia nimeekewa mimi?
Hiyo ni Salam tuShululu mbona unantishia ngumi.... Sikuelewi ha ha ha
Lengo lao ni moja tu utumie pesa yako yote sababu ukiona jua limechomoza au kuzama utashtuka, vivyo hivyo ukiona muda utaweza kuondoka
Wa wapi huyoDj Mark atakupoteza
Nimemrudishia shemela wanguNa hizi pia nimeekewa mimi?
nipo mimi shemelaShemela kwenye ubora wako

Hio ukiinywa kutokana na mambo yake utaanza kuwa mpenziAsante mm sio mpenzi wa kahawa
Ahsante sana mkuu Bitoz![]()
Huu ugonjwa unaitwa Vitiligp hadi sasa hauna dawa na hauambukizi
Michael Jackson aliluwaga nao akaamua kujichubua ili kusawazisha rangi pia kuvaa gloves mkono ni(Hii inaashiria pesa siyo kila kitu)
Hata Wazungu huugua ila hushambulia zaidi watu weusi tena wenye ngozi nyeusi sana
Muwe na Jioni Njema
.............
Asante jaman mm sihitajiHio ukiinywa kutokana na mambo yake utaanza kuwa mpenzi