Asante sana mwenyekiti
Siku njema na kwako pia
Weka picha basi![]()
![]()
Watu wengi wanawapa nafasi ya kufanya vizuri WC ya 2018 pale Urusi.![]()
![]()
![]()
![]()
Kizazi chao cha sasa naamini kitasumbua World Cup mwaka ni
Kinakaribia kile cha akina Ivan Zamorano(alitamba Inter Milan) na Marcelo Salas{alitamba Parma} ambao walitikisa World Cup 1998 pale Ufaransa
..........
Amen Archduke mwanangu ubarikiwe sanamama mchuchu una ukarimu uliyopitiliza huku kwetu tunaita ukarimu wa standard gauge
mungu akuongezee leo zaidi ya jana....uwe na wiki njema
nice day our mom.....love mingi mingi

Maneno matupu hayalambwi, weka picha kwanza.Nipo, nimeshahitimu masomo yangu na sasa nimerejea nikiwa na nguvu zote
Wamempa Ban maana kuna jamaa amemuanzishia uzi![]()
Haaaa Ungabu
.....
Mkuu tusubiri tuoneWatu wengi wanawapa nafasi ya kufanya vizuri WC ya 2018 pale Urusi.
Mpira unadunda lakini.Mkuu tusubiri tuone
Wanaweza kufanya madudu km ya Wabelgiji EURO 2016 ambapo walionyesha kiwango kibovu tofauti na matarajio ya wengi
......
EnaaUbhaponyange bhosa pakaja
Ban kwake kawaida tuWamempa Ban maana kuna jamaa amemuanzishia uzi
Tununutwa masiku

Masaki, tegeta, kibaha, kimara, ubungo maji. sehemu zote zakoKwa nini shemeji
Oooh kumbe !!!Afadhali umeliona hilo