Makapuku Forum

Makapuku Forum

Et jaman makapuku wenzangu baada kuiona hii thread ya makapuku kwa mda mrefu humu jf nimevutiwa kuwa mwanakapuku kutoka mitaa ya huku kwetu USHENZINI.

Sasa ni miongozo ipi natakiwa niifuate niwapo humu makapuku forum, na je kuna kiongoz wa makapuku forum? Kama ikitokea kiongoz hayupo kwa heshima zote nitaomba huo wadhifa nipewe mimi kwa sabababu huo ukapuku nauishi huku mtaani kwetu.
===============
Wenu kapuku mtiifu

Kalenga kidamali
 
umekuja leo na leo leo unataka uongozi like seriously??
haya umepata uongozi, leta mapinduzi kama haufai tunakutumbua
 
Et jaman makapuku wenzangu baada kuiona hii thread ya makapuku kwa mda mrefu humu jf nimevutiwa kuwa mwanakapuku kutoka mitaa ya huku kwetu USHENZINI.

Sasa ni miongozo ipi natakiwa niifuate niwapo humu makapuku forum, na je kuna kiongoz wa makapuku forum? Kama ikitokea kiongoz hayupo kwa heshima zote nitaomba huo wadhifa nipewe mimi kwa sabababu huo ukapuku nauishi huku mtaani kwetu.
===============
Wenu kapuku mtiifu

Kalenga kidamali
Humu hakuna kiongozi
Wote yupo sawa
Ila kama shida yako ni kuwa kiongozi
Basi tunakupa uongozi wa upishi
Karibu sana
.......
 
Humu hakuna kiongozi
Wote yupo sawa
Ila kama shida yako ni kuwa kiongozi
Basi tunakupa uongozi wa upishi
Karibu sana
.......
Sawa ila mimi najua kupika magimbi, viaz mchemsho, supu ya makongoro, ugali, maharage, chai ya rangi na mchele ule wa bei ya chini. Mm sizijui bagga sijui chiken nini hizo mm sijui kabsa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom