Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Hapo sawaNinamzidi kama seven![]()
![]()
![]()
![]()
Naona kama ni ndani ya siku mbili zijazoWiki hii tunatarajia kufikia 200k
Wiki hii tunatarajia kufikia 200k

Marahaba dear za uzima nakumissMama mchuchu shikamoo mama yangu
Hivi binamu umemuona mama mchuchu tu ndio wa kumsalimia sisi wengine hatuna umuhimu kwako
Marahaba dear za uzima nakumiss
ndio shemela asiitwe mkuu hiyo vipi na wakati ni mojawapo ya sheria za jf
za uzima namshkuru Mungu aliye juu naendelea vyediMarahaba dear za uzima nakumiss
.... aunty yangu nawe, huna dogo, wewe huwa nakuamkia nikija kula sasa BH ndo hivyo tena nisipomsalimia kabla hajaleta flowers kwa mkongo ndo simuoni tena.
Uko poa lakini aunty yangu mrembo
werrason unapenda maua eeh mdau?
flowers ndio habari ya binamu yangu mimi
hahahaha umejilazimisha kumisikaHata me nimekumiss.
Wapo wazandiki watakaosema sijamisiwa Mimi, who cares
Hakika Obe,Namshukuru Mungu me mzima Obe UbarikiweBlessedHope na shululu asanteni kwa sala ya kupendana na kutiana moyo asubuhi, asante kwa magazeti.
Makapuku wenzangu tuwe na wiki njema, tuwe na afya njema wiki yote na furaha huku kile tunachofanya kifanikiwe na tukumbuke kusema asante kwa kila anayeiwezesha siku iwe njema. ima ni shoeshiner, ama housegirl/boy, kondakta au mpigadebe au chizi anayekufahamu, daktari au mwalimu, polisi au hakimu, muuza maziwa au mchoma mahindi. Ilmradi tu tuseme asante na kutabasamu.
BH hujambo

RIP 200,000 Xining people.Leo Katika Historia:
1927 - Karibu na eneo la Xining huko China kunatokea tetemeko na kuua takribani watu 200,000 katika moja kati ya matetemeko makubwa kuwahi kutokea Duniani.

Goodmorning sir have a Blessed and wonderful week and mondayGoodmorning guys

Mtu aliyezoea kula nyama za watu hawezi acha.mbaya sana1957 - Serikali ya makaburu huko South Africa yatangaza kuwatenga wanafunzi wa chuo vyuo vikuu kutokana na rangi zao.
RIP 2,000 Chile people1960 - Tetemeko kubwa la ardhi kuwahi kurekodiwa Duniani lapiga huko Chile na kuua takribani watu 2,000.
Karibu sanaAsante mama mchungaji
Sijui lini tutafika nawaza tu1972 - Nchi ya Ceylon yabadili katiba na baadae kubadili na jina na kuanza kujulikana kama Sri Lanka.